Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

⚡️⚠️🛩🇮🇷🇺🇸🗣 Zelensky continues to insist that the US asked him for help with drones.
📍Today, Trump stated that they do not need Ukraine's help and that they are not taking any part in repelling Iran's attacks.
Trump anaona Aibu 😁
 
Mkuu marekani Wana ndege za aina hiyo zaidi ya 600. Zinazotumika kwenye hii Vita ni karibu 100. Hapo gap utaliona vip?
Ndege 100 na bado Iran anatoa mkong'oto wee jamaa mbona muongo muongo sana !? Yaani ndege 100 zitumike katika operation and still Iran bado wako strong basi kama ni hivyo Iran sio watu ni invisibles
 
Hii habari ya masaa kumi na sita yaliyopita kuhusiana na meli.

View: https://m.youtube.com/watch?v=0eosUT_PVzE&t=20s&pp=ygUkTGluY29sbiBhaXJjcmFmdCBnZXQgc3RyaWNrZWQgYnkgYm9t0gcJCcUKAYcqIYzv
Na hii masaa kumi na tano yaliyopita.

View: https://m.youtube.com/watch?v=DoqQ9z4iiTc&pp=ugUEEgJlbg%3D%3D
👇👇👇 huu upuuzi wa kila baada dk 1,kama watoto wanarushiana mawe,una any references yoyote.

Mwengine huu

Mwengine huu.

Mwengine

Reference hauna na umeujaza kibao,yaani utazani watoto wanarushiana mawe.

🤣🤣🤣
 
Ndege 5 za kujaza mafuta zineharibiwa kwenye shambulizi la Iran huko nchini Saudi Arabia ,baadhi ya maafisa wa Marekani ambao hawakutajwa wamedhibitisha.
Trump kadandia mtumbwi wa kibwengo🤣🤣🤣🤣

Aiseee Iran inapeleka MOTO💥💥💥💥💥 nchi kibao kwa wakati m'moja!!
Ichi kizee Trump kitakuwa kinapewa taarifa za kumpa Moyo tu!!!

lkn Uwanja wa Vita sio rafiki kabisa..
 
Attachments

  • 1773460056653.jpg
    1773460056653.jpg
    75.7 KB · Views: 15
Hujui tunazungumzia nini?? Ndio mana nilikueleza punguza jazba

Nakukumbusha: mwanzo tulianza na ndege za mafuta, ukaacja hiyo habari ukahamia meli za kivita.ukasema uss Abraham Lincoln imepigwa imeondoka, nikakuambia si kweli ukasema niwrke references, nikakuwekea. Sasa hivi umehaiakwrnte updates nazotoa

Bado hueleweki unataka tunajidili jambo gani kwa unamilufu. Ndege za mafuta za marekani? Meli za kivita? Au updates nazotoa?
nilikwambia jamaa wanakuchukua utadhani wewe ndo mwalimu wa marubani wa USA na Israel. we saa nyingine andika tu Iran Kaintercept ndege za washirika (hata kama si kweli) labda ndo utawapendeza
 
Hizo chai zako I don't buy it ndio maana sitaki kureply hata comment zako najua ni uongo. Ndege anazo ila sio eti ndege 100 angani, pili hiyo ndege yenyewe inayotumika kama radar inatumia tech ya zamani (Source: Hindustan Times),wanaitumia sababu mifumo yao mingi ya anga imelipuliwa so hawana jinsi. Kwa anga la Middle East hawezi kweka ndege 100 US sio chizi,kwani sasa hivi si US wala Myahudi maanga yao yamekuwa kama chujio.

Wamepata hasara kwa meli zao za Ford na Lincoln kupigwa ,hawawezi wakarisk kuweka ndege mia,vita yenyewe NATO wamemchunia, we mpaka Canada kamchomolea. Lile Lincoln ni USD 2.5bil ,Ford yenyewe linahali mbaya, hawawezi risks kuweka ndege mia wakati ya hali anga haieleweki,wewe mpaka wanamgambo matoi yao yanadungua ndege, Hisbolah siku mbili juzi na jana katia hasara kubwa kwenye ardhi ya Myahudi, mpaka kachukua askari wake wa akiba wakakabiliane na Hisbolah.
Kwanza, hakuna ushahidi wowote kuwa carrier za Marekani zimepigwa.

USS Gerald R. Ford wala
USS Abraham Lincoln hazijawahi kupigwa na Iran wala wanamgambo wake. Hizo ni propaganda zenu tu.

Pili, kusema Marekani haiwezi kuweka ndege nyingi Middle East sio sahihi. Marekani ina carrier strike groups ambazo peke yake hubeba zaidi ya ndege 70+. Ukiweka carrier mbili na ndege kutoka base kama Al Udeid Air Base na Al Dhafra Air Base
idadi ya ndege zaidi ya 100 angani sio kitu cha ajabu kwa US.

Halafu B-2 hiyo sio radar plane kama unavyosema.

Northrop B‑2 Spirit ni stealth strategic bomber, moja ya ndege za kisasa zaidi duniani. Teknolojia yake bado ni advanced kuliko mifumo mingi ya ulinzi wa anga ya Iran., kama kweli anga la Israel limekuwa chujio basi kwanini Israel bado inaendelea kufanya mashambulizi ndani ya Syria na maeneo ya wanamgambo bila kuzuiwa?
 
Ali mufuruki, Engineer wa Benz na alikuja Tanzania akawekeza na kukuza Makampuni makubwa kama Voda.

kishimba waanzilishi wa Mwanzo wa Ma Mall na madupermarket makubwa, Real estate zake ndio wahindi wengi wanatumia sasa hivi majumba ya Cinema etc.

Bakhresa mwenyewe sio Mwarabu/Mhindi kama wengi wanavyofkiri, ni mngazija kama kumbukumbu zipo Sawa ambao ndio OG watu wa pwani kabla ya makabila mengi kuja.
Bakresa ni mwarabu pure baba yake alikuwa Kiziwi wakati wa mapinduzi
 
Trump kadandia mtumbwi wa kibwengo🤣🤣🤣🤣

Aiseee Iran inapeleka MOTO💥💥💥💥💥 nchi kibao kwa wakati m'moja!!
Ichi kizee Trump kitakuwa kinapewa taarifa za kumpa Moyo tu!!!

lkn Uwanja wa Vita sio rafiki kabisa..
Hizi propaganda,ukweli Iran kapigwa vibaya sana ,

Soon ukweli utakuwa wazi , propaganda za Iran Zina mwisho
 
Dakika chache zilizopita, kwa maelekezo yangu, Kamandi ya Kati ya Marekani ilitekeleza moja ya mashambulizi makali zaidi ya mabomu katika Historia ya Mashariki ya Kati, na kuyaharibu kabisa KILA shabaha ya KIJESHI katika kipande cha taji cha Iran, Kisiwa cha Kharg.

Silaha zetu ndizo zenye nguvu na za kisasa zaidi ambazo Dunia imewahi kuzijua lakini, kwa sababu za kiungwana, nimechagua KUTOHARIBU Miundombinu ya Mafuta kwenye Kisiwa hicho. Hata hivyo, ikiwa Iran, au mtu mwingine yeyote, atafanya jambo lolote kuzuia Usafiri wa Meli kwa Uhuru na Usalama kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz, nitaiangalia upya uamuzi huu mara moja.

Wakati wa Uongozi wangu wa Kwanza, na sasa hivi, niliijenga upya Jeshi letu kuwa Kikosi chenye Nguvu zaidi, cha Kutisha, na chenye Ufanisi Zaidi, kwa mbali, popote Duniani. Iran haina Uwezo wowote wa kulinda chochote tunachotaka kukishambulia — Hakuna jambo wanaloweza kufanya sasa! Iran HAITAKIWI kamwe kuwa na silaha ya nyuklia, wala haitakuwa na uwezo wa kutishia Marekani, Mashariki ya Kati au, kwa mambo yote, Dunia nzima!

Ingefaa Jeshi la Iran, na wengine wote wanaohusika na Utawala huu wa Kigaidi, waweke chini silaha zao, na kuokoa kilichobaki cha nchi yao, ambacho si kikubwa! Asante kwa umakini wenu kuhusu suala hili." RAIS DONALD J. TRUMP
FB_IMG_1773464908976.jpg
 
View attachment 3557736
Maneno yakwenye Khanga kila Muda walisasha mzoea Huyo na mijisifa yake
Ila Awamu hii Kaingia mtumbwi wa Vibwengo
 
Back
Top Bottom