MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,097
- 35,478
Tangu vita ianze Iran hajapiga shambulio kubwa Israel kama lile la jana Isfahan au kwenye research center ya mchongo😊Hizi ndizo targets za Iran😀, kelele ni kubwa kuliko uhalisia
😀😀 Pro Iran hua nashindwa kuwaelewa kabisa, kipigo kinacho shuka Iran sijui hawakioniTangu vita ianze Iran hajapiga shambulio kubwa Israel kama lile la jana Isfahan au kwenye research center ya mchongo😊
Na wanapewa dozi mchana na usiku, halafu wanasema kwenye research center pale alikufa mtu mmoja😎 yaani majengo yote yale alikuwemo mtu mmoja sijui alikuwa mlinzi😁😀😀 Pro Iran hua nashindwa kuwaelewa kabisa, kipigo kinacho shuka Iran sijui hawakioni
Haaa Marekani umeiweka wapi???Vita iliyoko ni ya Iran na Israel kwa maana Iran ilivyo kubwa inalinganishwa na Goliath na Israel kwa udogo wake inalinganishwa na Daud.
Matokeo ya vita hivyo vya David na Goliath vinaenda sawa na vita vya Israel na Iran kwa dubwasha kubwa kama Iran kushikishwa adabu na nchi ndogo kama Israel!!!
Iran kwa sasa ni mwendo wa matetemeko tu.. B-2 spirit B-1B na B-52 stratofortress zinatema moto sio poaNa wanapewa dozi mchana na usiku, halafu wanasema kwenye research center pale alikufa mtu mmoja😎 yaani majengo yote yale alikuwemo mtu mmoja sijui alikuwa mlinzi😁
Poleeee Mlokole ndio maisha kutesa kwa Zam!!Lete habar mkuu hili jukwaa limevamiwa na wana mipasho sisi wengine tunatafuta tu uldate zako nikiona nyota 4 ndio nasoma.
Na ule mfereji lazima uchukuliwe, huwezi acha sehemu ya mhimu kama ile kwa mojitaba kiongozi ana wiki 2 hajaliona hata juaIran kwa sasa ni mwendo wa matetemeko tu.. B-2 spirit B-1B na B-52 stratofortress zinatema moto sio poa