Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Usa inabidi afanikishe azma yake ya kuubadili utawala wa Iran kwa gharama yoyote ile. Tofauti na hapo, Iran itatengeneza makombora ya masafu marefu ikijua kwamba uchokozi utakaofuata atadili directly na USA ili kukata mzizi wa fitina.
 
Na huo Uwezo hana
 
😅😅😅😅😅Nimemuelewa aswaa!!

anasema Netanyahu alikuwa kwenye chooo kama icho!!

anakata Gogo sasa bahati mbaya Simu ya kumtaka akimbie kwenye Pango kaiyacha Chumbani.

Jamaa anashangaa Intel. ya Iran imejuaje muda wa Netanyahu kukata gogo😆😆😆😆😆
Na kama Kapona hana hamu na Iran😂😂
 
More missiles fired at Israel, IDF says​

​

A few minutes ago, the Israel Defense Forces (IDF) said it had detected another wave of Iranian missiles being fired at Israel.

Published at 14:27

Iran hawapi muda wa kutulia ni mwendo wakuwafanya Panya kwemye Mashimo
 
Back
Top Bottom