Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

😀😀 Hio vita ukiangalia kiushabiki utaona kama USA alishindwa ila ukiingia ndani utaona kua USA haikushindwa kivita bali ilishindwa kisiasa

USA ilijiondoa mwaka 1973 baada ya makubaliano ya amani ya Paris hili hua mnalikwepa sana

Hii vita ndugu ilikua mbaya sana kwa wavietnam, vifo vilikua zaidi ya million 3, nchi ilibaki na umaskin wa kutupwa na hadi leo kuna baadhi ya maeneo bado yaweathirika na mabomu ya kemikali ya USA

DARPA walifanya unyama sana kwa wavietnam
USA alishindwa hiyo vita.
Mkakati wa hiyo vita ilikua USA awasaidie South Vietnam dhidi ya North Veitnam communism entity.
Ila ilifeli na askari wengi wa USA walikufa.
Kusaini huo mkataba wa amani wa Paris hakuondoi kuwa USA alipigiga.

Mwaka 1993 USA alivamia Somalia,je USA alishinda!?
 
Kamtafute Secunder hata FB yupo.
Ukimkosa ndio uniambie.

Wacha UFALA wewe,kama Israel ina intercept kila kombora kwanini Imezuia taarifa zisitoke??
Kwanini wakazi wa Galilaya wamekimbia Galilaya!?
Hivi ninyi mnatuchukulia sisi WAPUUZI WENZENU!??
Unesema Israel imezuia taarifa hapo hapo unasema niende kwa secunder nitakuta hizo taarifa za Israel 😀😀"logically fallacy"

kama taarifa zipo mitandaoni unasemaje kua Israel imezuia, huyo secunder yeye anazitoa wapi au anazunguka mtaa kwa mtaa kutafuta matukio

Unaweza kuniambia sababu ya Iran kuzima internet?
 
😀😀 Hio vita ukiangalia kiushabiki utaona kama USA alishindwa ila ukiingia ndani utaona kua USA haikushindwa kivita bali ilishindwa kisiasa

USA ilijiondoa mwaka 1973 baada ya makubaliano ya amani ya Paris hili hua mnalikwepa sana

Hii vita ndugu ilikua mbaya sana kwa wavietnam, vifo vilikua zaidi ya million 3, nchi ilibaki na umaskin wa kutupwa na hadi leo kuna baadhi ya maeneo bado yaweathirika na mabomu ya kemikali ya USA

DARPA walifanya unyama sana kwa wavietnam
Siasa hii
 
Iran jana usiku alipiga wave ya 50 ya missiles na drones inshort kashapiga mamia ya missiles na maelefu ya drones kama kweli Iron dome na arrows au mifumo ya himars ingekuwa hazifanyi kazi basi Israel na nchi za ghuba saivi ingekuwa ni magofu... Iran anapigika ila ni vile tu huwa hawajali sana kuhusu matatizo wanayopitia raia tofauti na Israel na nchi nyinginezo wanachohitaji ni usuper power Middle east wakati hawana hata air defences😀
Lakini si tumekubaliana kuwa uwezo wa makombora umefutwa kwa mujibu wa Trump sasa hayo makombora yaliyo tumika jana ni yapi tena?
 
Iran jana usiku alipiga wave ya 50 ya missiles na drones inshort kashapiga mamia ya missiles na maelefu ya drones kama kweli Iron dome na arrows au mifumo ya himars ingekuwa hazifanyi kazi basi Israel na nchi za ghuba saivi ingekuwa ni magofu... Iran anapigika ila ni vile tu huwa hawajali sana kuhusu matatizo wanayopitia raia tofauti na Israel na nchi nyinginezo wanachohitaji ni usuper power Middle east wakati hawana hata air defences😀
KWANINI ISRAEL INAKATAZA TAARIFA NA IMEKAMATA WANAHABARI WANNE WA CNN!?
 
Iran jana usiku alipiga wave ya 50 ya missiles na drones inshort kashapiga mamia ya missiles na maelefu ya drones kama kweli Iron dome na arrows au mifumo ya himars ingekuwa hazifanyi kazi basi Israel na nchi za ghuba saivi ingekuwa ni magofu... Iran anapigika ila ni vile tu huwa hawajali sana kuhusu matatizo wanayopitia raia tofauti na Israel na nchi nyinginezo wanachohitaji ni usuper power Middle east wakati hawana hata air defences😀
KWANINI ISRAEL INAKATAZA TAARIFA NA IMEKAMATA WANAHABARI WANNE WA CNN!?
 
USA alishindwa hiyo vita.
Mkakati wa hiyo vita ilikua USA awasaidie South Vietnam dhidi ya North Veitnam communism entity.
Ila ilifeli na askari wengi wa USA walikufa.
Kusaini huo mkataba wa amani wa Paris hakuondoi kuwa USA alipigiga.

Mwaka 1993 USA alivamia Somalia,je USA alishinda!?
Duuh! US akachukue nini Somalia wakati hakuna mafuta wala dhahabu? Tofautisha vita na operation.
 
Unesema Israel imezuia taarifa hapo hapo unasema niende kwa secunder nitakuta hizo taarifa za Israel 😀😀"logically fallacy"

kama taarifa zipo mitandaoni unasemaje kua Israel imezuia, huyo secunder yeye anazitoa wapi au anazunguka mtaa kwa mtaa kutafuta matukio

Unaweza kuniambia sababu ya Iran kuzima internet?
HIVI UNAMJUA CORRESPONDENT WA KISIASA KUWA ANA KINGA YA KISIASA!??
Huyo ni mtu ambaye ana Kinga ya kisiasa KIAZI WEWE.
Kama Israel hawazuii taarifa,KWANINI WALIWAKAMATA WAANDISHI HABARI WANNE WA CNN??
UNAWEZA KUNIPA JIBU HAPA???

Iran haijazimwa internet bali kuna limitation za matumizi ya internet,kama Iran wamezima Internet vyombo vya habari BBC,CNN,ALJZEERA wana correspond vipi utoaji wa taarifa!??
 
Duuh! US akachukue nini Somalia wakati hakuna mafuta wala fhahsbu? Tofautisha vita na operation.
Una uhakika Somali hakuna kitu!??
Somalia kuna malighafi nyingi tu ikiwemo dhahabu,tena dhahabu ya somalia ni ya carat 18 kiubora hadi carat 22.
Pia geopolitically Somalia ina ukanda mzuri wa bahari horn of Africa.
Hiyo operation waliyoifanya walivamia Somalia ili kumkamata Farah Aidid,je USA walifanikiwa??
 
Screenshot_20260314_093712_TikTok Lite.jpg
 
Kumbe walikuwaga marafiki sasa Ilikuwaje mpaka wakageukana?
Iran kuanzia 1990 ilianza kujitegemea kisiasa na kinguvu ya jeshi.
Mageuzi ya uundwaji silaha na sayansi ya nuclear yalianza 1990.
Hili Israel aliliona kuwa ni tishio kwake.
Hapo ndipo kina Netanyahu wakaanza kuiandama Iran kuanzia 1995 hadi sasa.
Hata hiyo Jordan si unaiona ni nchi rafiki na Israel,ngojea siku watangaze kujitegemea kijeshi na kiuchumi uone balaa lake.
 
Iranian Foreign Minister Abbas Araghchi says Israel may be responsible for attacks on civilian targets in gulf countries in an attempt to damage Tehran’s relations with its neighbors.In separate remarks cited by Iran’s Fars News Agency, Araghchi also alleged that the U.S. has developed drones resembling Iranian models and is using them to strike targets in Gulf states.

Sema Iran moja ya uwezo mkubwa ni kutunga Story
 
Back
Top Bottom