Namwonea huruma sana nentanyahu wa tandahimba ndugu Echolima1 🤣🤣🤣Hao Israel walivyokuwa wanaitaka vita Sasa ,😄😁
Utadhani wana ubavu , kinacho watokea Sasa mamaeee hawana hamu na Iran mkong'oto heavy Aibu kubwa sana hii ,
Mtoto kautaka mtoto kautaka mtoto kautaka mtoto kautaka
Aweee🎵🎵🎶🎶🔈🔊
Acha watu wajifurahishe ni haki yao.taarifa yeyote kubwa haiwezi kutoka kwenye page za udaku halafu Al Jazeera wasiiweke, video zote za Iran kushambulia Israel wanaweka.... Al Jazeera wana beef na serikali ya sasa ya Israel ni ngumu sana taarifa kama hizo wasiziweke
Pili Kuna watu humu bado wanaamini kwamba Israel inachakazwa na Iran 😀, hawa watu kinachoendelea Tehran hawakioni au shida ni ushabiki
USA na Israel sasa wanatumia JDAM... Idadi ya JDAM kwa USA ni unlimited 😀, kwasasa zinamwagwa hapo Tehran kama mvua
Mtu akipost akipendacho simshangai ila kuna mmoja naona yuko busy kutukana ambao anahisi hawaipendi Iran au wanaipe da USA. Ana kazi ya kuita watu majina ya kashfa? Kwanini utukane wenzio kisa watu usiowajua wanauawa?Nashindwa kuelewa hawa watu, eti tel Aviv inawaka moto kwa kichapo kizito kutoka kwa Iran 😀
Iran anauwezo wa kulipua nyumba ila hana uwezo wa kuharibu runway na airbase za Israel
sasa hivi anatumia cluster munition dhidi ya Israel, wahuni wakianza kuzimwaga hapo Tehran kelele sitakua nyingi sana
USA amefanya maajabu ambayo Russia huu mwaka wa nne ameshindwa kwa Ukraine
Hamna nchi inaweza kuzuia kika missile. Hata Israel wanasema ni 70-80% efficiency. Ukirusha 100 at least 10 yanaweza kupita na ndio maana Iran anarusha nyingi mara moja.Kamtafute Secunder hata FB yupo.
Ukimkosa ndio uniambie.
Wacha UFALA wewe,kama Israel ina intercept kila kombora kwanini Imezuia taarifa zisitoke??
Kwanini wakazi wa Galilaya wamekimbia Galilaya!?
Hivi ninyi mnatuchukulia sisi WAPUUZI WENZENU!??
NaSababu inayofanya Benjamin Netanyahu kutoonekana hadharani kwangu binafsi ni tatu:
1) Kuhofia usalama wa maisha yake:
Inaonekana Iran imedhamiria kumuuwa kwa njia yoyote ile!! Kwa maendeleo ya teknolojia kwa dunia ilipofika ukitoa video,picha n,k wazee wa kazi ni rahisi kuunganisha nukta!!!!!!!!! Hata mauaji ya Ayatollah yalifanyika kwa njia hii!!!!!!
Iran denies supreme leader dead after Trump comments - and vows to kill Netanyahu
Sunday 15 March 2026 10:45
![]()
Iran war latest: Iran denies supreme leader dead after Trump comments - and vows to kill Netanyahu
Donald Trump says he's "hearing" Iran's new leader is dead - and calls for him to surrender should he still be alive. Meanwhile, the Iranian military has vowed to kill Israel's prime minister. Follow the latest below...news.sky.com
2) State inaweza kuwa imemfanya mateka!
State inaweza kuwa imechoshwa na matendo yake! Wakaamua wafanye yao!
![]()
‘Fake news’: Israel rejects rumours on Netanyahu's death after 'six fingers' video goes viral - The Times of India
Middle East News: Israel has dismissed social media claims suggesting Prime Minister Benjamin Netanyahu had been assassinated, calling the reports “fake news” as tensio.timesofindia.indiatimes.com
![]()
Iranian media pushes false Benjamin Netanyahu death conspiracy | The Jerusalem Post
The IRGC-linked outlet pointed to a gap in recent footage, a reported security buildup, and other fragments of public information, but offered no proof that the Israeli prime minister was killed.www.jpost.com
3) Ni mgonjwa.
Kwa umri wake plus mikikimikiki ya hii vita, inawezekana akawa anaumwa coz siyo ajabu sana.
Nb: Ni mtazamo wangu.
Ila ww unaona Taabu wanayopitia Wa IsraelSijui kama mnaona tabu wanayopitia watu wa IRAN.
ukiwazidi tu hoja lazima joto lipande😀Mtu akipost akipendacho simshangai ila kuna mmoja naona yuko busy kutukana ambao anahisi hawaipendi Iran au wanaipe da USA. Ana kazi ya kuita watu majina ya kashfa? Kwanini utukane wenzio kisa watu usiowajua wanauawa?