hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
😁😁😁 Watu wanarusha missile wakiwa ghetto tu hawana muda sijui wakutumia ndege Wala Aircraft Na watu wanakaa Israel inageuka unknown place noma sanaTena apo ndio Marekani wanapigana Bega kwa bega na Israel yenyewe km yenyewe haàaaaaaaa!!!!
1) Wkt Dunia haijui Netanyahu yupo wapi wkt
2) Wkt miji ya nchi 11 imeteteleka vibaya!!
Ikiongozwa na miji ya Israel Haifa Tela Aviv
3) Wasomaji wa Jamii forum tukumbuke. Bado Islamic Republic of Iran Wanapigana wakiwa ndani ya mipaka yao !!
Ndiomana wajuzi waanaamini Iranian ndio Yahudi Og !!!
Awa wengine sio Wayahudi ni Mashoga kutoka Ulaya wameidandia Bible kwa mbele na kujivika Ukweli usio wao wamebebwa na MEDIA na pesa basi.
Kimsingi Kiakili hakuna kitu weupe kama Weupe!!!
Kivita ni Iranian ndio mwenyekushangaza Dunia ya Technology Vita sio Israel
Hatujawai kuona Makombora ya mfano wa Iran kwenye Dunia
yani mwendo wa Draft tu kufikia sasa. Dunia ikitetemeka Zaidi ya km2000+ miji inawashwa MOTO. Na Watoto wa Iran wakiwa kwenye mipakayao.