Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Trump ana akili sana hapa anataka kutawala hilo eneo la mfereji sasa hatak kwenda mwenyewe anataka aiingize dunia nzima kwenye utawala ila kiuhalisia yeye ndio atakuwa anatawala.
Hilo eneo ni muhimu sana kwa $. Imagine BRICS wakapatumia hapo kupigana na $ kwa kuisapoti IRAN kuhakikisha meli zote zinazopita hapo haziuzi kwa $.
 
Hilo eneo ni muhimu sana kwa $. Imagine BRICS wakapatumia hapo kupigana na $ kwa kuisapoti IRAN kuhakikisha meli zote zinazopita hapo haziuzi kwa $.
Sawa BRICS wamefeli basi waambie viongozi wako wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiongozwa na wewe Afisa Mipango Mwandamizi kwenda kutekeleza hilo wazo lako kikamilifu.
 
Sawa BRICS wamefeli basi waambie viongozi wako wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiongozwa na wewe Afisa Mipango Mwandamizi kwenda kutekeleza hilo wazo lako kikamilifu.
Sijasema BRICS wameshafeli, nimehoji kutokuitumia hiyo nafasi kwa upeo wangu binafsi. Pengine kuitumia hiyo nafasi ndo kungewafelisha zaidi, who knows wanachoona wao? EAST africa sisi ni wasindikizaji, nafasi yetu ni finyu mno.

NB: Kama unaipenda sana USA, na hoja zako zitatokana na mapenzi yako kwa USA hatuna haja ya kubadilishana mawazo boss maana naijua nguvu ya wazalendo wa USA, Urusi au Iran, mwisho wake huwa ni kukoseana heshima tu pengine hata matusi.
 
Tena apo ndio Marekani wanapigana Bega kwa bega na Israel yenyewe km yenyewe haàaaaaaaa!!!!

1) Wkt Dunia haijui Netanyahu yupo wapi wkt

2) Wkt miji ya nchi 11 imeteteleka vibaya!!
Ikiongozwa na miji ya Israel Haifa Tela Aviv

3) Wasomaji wa Jamii forum tukumbuke. Bado Islamic Republic of Iran Wanapigana wakiwa ndani ya mipaka yao !!

Ndiomana wajuzi waanaamini Iranian ndio Yahudi Og !!!

Awa wengine sio Wayahudi ni Mashoga kutoka Ulaya wameidandia Bible kwa mbele na kujivika Ukweli usio wao wamebebwa na MEDIA na pesa basi.

Kimsingi Kiakili hakuna kitu weupe kama Weupe!!!

Kivita ni Iranian ndio mwenyekushangaza Dunia ya Technology Vita sio Israel

Hatujawai kuona Makombora ya mfano wa Iran kwenye Dunia

yani mwendo wa Draft tu kufikia sasa. Dunia ikitetemeka Zaidi ya km2000+ miji inawashwa MOTO. Na Watoto wa Iran wakiwa kwenye mipakayao.
 
Jamaa wapo mbele ya muda....shule mkuu!
 
Kwenye Dunia ya utandawazi bado Mabeberu wanataka kuzima Ukweli usijulikane !!

tatizo pengine zile Meli zake3 zimefubazwa💥💥💥 haziwezi kushiriki Vita kama onyo tu. Kutoka Iranian..

Trump kaagiza ziende Meli nyingi uku anaomba msaada Ufaransa China uyo ndio SUPER power wa Kilokole 😜😜😜😜😜
Imagine 😄
 
Kama umeona ile video ya vyuma vilivyopigwa jana pale Isfahan, Iran kaficha vifo eti ni 15 majeruhi kadhaa... Kwa yale mashambulizi pale huwezi kutoka hata kama una mganga wako sumbawanga😁
 
kwani hiyo Iran haukuwepo hiyo 1958 Na kwa usikchokijua wengi wa walioanzisha hizbolah ni waarabu wa palestina wengi wakiwa wapokewakama wakimbizi mjinga wewe
Iran ya 1958 ili chini ya PAHLAVI SHAH ambaye ni KIBARAKA TUKUKA wa USA na Israel.
Iran ambayo ilikua ikimsapoti Hizbolah ni ya mapinduzi kuanzia 1979.
Hizbollah haikuanzishwa na Palestina. Nenda kasome kuhusuBEIRUT CRISIS vizuri utajua kwanini Hizbollah ilianzishwa na walebanon wenyewe.
Hao hizbollah ndio walizuia utawala wa kikristo usiangushwe hapo Lebanon dhidi ya sunni ambao walipewa sapoti na Israel.
 
Maisha bila Vita yanawezakana tatizo kuu ni Marekani wanyang.anyi sana !!!

kama ndio Demokrasia ile Venezuela basi Demokrasia mm nitaipinga kabisa

Wizi wa rasilimali za Mataifa masikini sasa upo waziwazi tuseme hapana!!!

kutwangwa Marekani Israel na mipangoyao ya Uchumi ni Ukombozi wa Dunia yote.

So watoto wa Iranian wanaenda kuikomboa Dunia kutoka kwenye Mikono ya Jambazi Kuu sugu.
 
Back
Top Bottom