Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

kwani hiyo Iran haukuwepo hiyo 1958 Na kwa usikchokijua wengi wa walioanzisha hizbolah ni waarabu wa palestina wengi wakiwa wapokewakama wakimbizi mjinga wewe
Hezbollah= Shia
Palestine = Sunni
1950s Iran ipo chini ya Shah vibaraka watiifu kwa Marekani, Serikali ya Shia imeingia madarakani Mapinduzi ya 1970s. Kila ukifungua mdomo ni uongo juu ya Uongo, huna tofauti na huyo Trump wenu mnayemtetea.
 
WAISRAEL Vita washapoteza viongozi wao wengi wameuwawa!!!

Kwasasa wasiwasi kubwa imetawala Akili za wazayuni vip Vita hii itaisha!!

IRAN. nayo inataka kumaliza viongozi wengi wapenda Vita ndipo itafutwe Suluhu.. yenyewe inajua ishafeka wangapi.
 
💥💥💥💥
Trump: nimesikia kuwa mojtaba amefariki, lakini kama hajafa basi anapaswa kufanya kktu muhimu kwa ajili ya nchi yake ambacho ni kusalimu amri

Iran wanataka tuzungumze, lakini sitaki sababu bado hawana vigezo vizuri
Kwani Netanyahu yupo wapi!!!!!!!!

mbona mwanzo kuhusu Ayatollah ni Netanyahu ndio katwanbia kwanza!!!

kisha ndio tukamsikia na Trump..
 
Trump ana akili sana hapa anataka kutawala hilo eneo la mfereji sasa hatak kwenda mwenyewe anataka aiingize dunia nzima kwenye utawala ila kiuhalisia yeye ndio atakuwa anatawala.
Trump ana akili sana? Hapa umedhihirisha kiwango cha akili ulizonazo!

Trump ndiye Rais kilaza kupita marais wote wa Marekani.
 
Back
Top Bottom