hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Hapa ni Israhell Wanakuambia Hakuna hata Jiwe linaweza Piga
View: https://x.com/i/status/2032995756488143118
Ngoma Kali 😄😄😁
Hapa ni Israhell Wanakuambia Hakuna hata Jiwe linaweza Piga
View: https://x.com/i/status/2032995756488143118
OhoooMarekani ineanza kutishia kuwafutia leseni wanahabari na vyombo vyao kwa kusema ukweli kuhusu kinacho endelea kwenye vita na Iran.
Kaliwa kichwa yule Kiongozi mkuu anakuwaje kimya nyakati kama hizi !? Kwanza Kwa tabia yake ilivyo mtu wa kupenda misifa he can't remain silent,Bibi anaweza kuwa amejeruhiwa kweli!!
Watajitahidi kuficha lakini Ukweli Unajulikana Israhell kapokea Kipondo
View: https://x.com/i/status/2032983314189951172
Kwenye Dunia ya utandawazi bado Mabeberu wanataka kuzima Ukweli usijulikane !!Marekani ineanza kutishia kuwafutia leseni wanahabari na vyombo vyao kwa kusema ukweli kuhusu kinacho endelea kwenye vita na Iran.
Watajitahidi kuficha lakini Ukweli Unajulikana Israhell kapokea Kipondo
View: https://x.com/i/status/2032983314189951172
Sasa wanadai ni AIWenyewe wana kuambia ni AI 😄😄🙌
Wanaona watu wajingaS
Sasa wanadai ni AI
uku wakiona kijana na Simu yake wanamtoa nduki hasichukue Picha 😜😜
pale wamechelewa kuzuiya picha imetoka ndio tunaambiwa ni AI 😄😄😄😄
Nadhani hii ndo BRICS walipaswa kuitumia kama kweli wanataka kuiangusha currency ya mmarekani, wangemsapoti Iran kwa kukazia sheria kuwa meli zote zinazopita hapo zisiuze kwa kutumia $, badala yake wapo kimyaaa huenda kisingizio ni BRICS sio military partneship, sasa watalindaje maslahi bila nguvu za kijeshi? $ itaendelea kuwa na ushawishi mno iwapo Iran itafeli kudhibiti hilo eneo.