🤣🤣
Mashambulizi makubwa sana yanafanyika muda huu 👆💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la shiraz
Mmhh💥💥💥💥
Israel imetoa tangazo la kufunguliwa kwa shughuli mbalimbali ndani ya Israel ikiwemo mikusanyiko, kufungua shule, kazi n.k
View attachment 3558028
Duh!Mashambulizi makubwa sana yanafanyika muda huu 👆
Msisitizo wa nilichoweka juuDuh!
Mbona sasa unaji quote mwenyewe? 🤣