Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Yaani hawa jamaa ni kama watoto wadogo wanavyofanganywa kwa pipi wanaleta habari hapa za kujifurahisha wakati wenzao huko wanaumia.
Nashindwa kuelewa hawa watu, eti tel Aviv inawaka moto kwa kichapo kizito kutoka kwa Iran 😀

Iran anauwezo wa kulipua nyumba ila hana uwezo wa kuharibu runway na airbase za Israel

sasa hivi anatumia cluster munition dhidi ya Israel, wahuni wakianza kuzimwaga hapo Tehran kelele sitakua nyingi sana

USA amefanya maajabu ambayo Russia huu mwaka wa nne ameshindwa kwa Ukraine
 
Pwagu na pwaguzi
Ilikuwa Us mara Russia
 
Yeye kama yupo Atoke tu asijifiche kama Panya book

Iran's military vows to 'pursue and kill' Israeli PM Netanyahu​

Iran's military has vowed to kill Israel's Prime Minister Benjamin Netanyahu, state media reports.

Published at 10:20

Nashindwa kuelewa hawa watu, eti tel Aviv inawaka moto kwa kichapo kizito kutoka kwa Iran 😀

Iran anauwezo wa kulipua nyumba ila hana uwezo wa kuharibu runway na airbase za Israel

sasa hivi anatumia cluster munition dhidi ya Israel, wahuni wakianza kuzimwaga hapo Tehran kelele sitakua nyingi sana

USA amefanya maajabu ambayo Russia huu mwaka wa nne ameshindwa kwa Ukraine
Punguza kidogo Sumu
Cheza kamziki kidogo
 
Nashindwa kuelewa hawa watu, eti tel Aviv inawaka moto kwa kichapo kizito kutoka kwa Iran 😀

Iran anauwezo wa kulipua nyumba ila hana uwezo wa kuharibu runway na airbase za Israel

sasa hivi anatumia cluster munition dhidi ya Israel, wahuni wakianza kuzimwaga hapo Tehran kelele sitakua nyingi sana

USA amefanya maajabu ambayo Russia huu mwaka wa nne ameshindwa kwa Ukraine
Maajabu gani ?
 
Maneno ya kishujaa sana haya

"Iran won't stop this war until the level of victory is achieved,this is war of survival and existence".
Huu ushujaa na ubishi ndio kitu USA hawapendi.
Kuna hatari kubwa ya nuclear bomb kutumika. Kheri jamaa watafute suluhu mapema maana ikipitiliza hapa yale ya Nagasaki huwenda tukayaona tena.
 
Ukiona hivi, ujue hawataki ukweli ujulikane!!!!!!!!!

FCC Chair threatens broadcast licences over Iran war 'hoaxes'
​

The head of the US federal communication agency has accused American broadcasters of "hoaxes and news distortions" during their coverage of the conflict in the Middle East.

Published at 08:40

Wanamgambo wa Iraq wametangaza dau kwa watakao fichua walipojificha wanadiplomasia na wanajeshi wa US,maana kambi zimelipuliwa balozi zimelipuliwa sasa hivi wanajificha hotelini. Juzi Pentagon iliomba msaada serikali ya Iraq, iwape ulinzi wanadiplomasia pamoja na wanajeshi wake. Kwa kifupi US ameipoteza Iraq mazima,kwani kambi wamelipua,Balozi wamelipua,sasa hivi wanatangatanga.
 
Wanaishi kama panya
 
Bro nuclear ya nini sasa, kuna miundombinu Trump alisema amewacha kama akiba ikiwemo vyanzo vya kuzalisha umeme%, wakipiga hivyo kwisha habar
Wameshaanza kutishia nuclear hao kina Trump unaowasemea.
Pia tusitizame hili jambo kwa wepesi Iran ni nchi ngumu sana kivita.
Kama iliweza kuhimili vita ya miaka 8 tena ikiwa Iran dhaifu ya mapinduzi 1980 hadi 1988 sidhani kama watashindwa kukaza sasa hivi.
Na hao jamaa hawatanii.
Vita dhidi ya Iraq Saddam Hussein alipewa sapoti ya kijeshi na Urusi,Ufaransa,Uingereza na Marekani tena kila aina ya msaada.
Miaka mitano kaunzia 1980 hadi 1985 Iran ilipokea kichapo kiasi watu walisema utawala wa mapinduzi unaenda kuisha,ila kuanzia hiyo 1985 hadi 1988 kilichomkuta Saddam Hussein hatokisahau. Japo tuwasifie Israel maana ndio walimsaidia Iran kisilaha na kitaarifa kuanzia 1985 hadi 1988.
Kwa kuitizama tu vita hiyo kwa miaka mitano tu ingekua nchi nyingine wangeshasalimu amri muda sana.
Sizungumzi mimi tu hata wataalamu wa geopolitics wanasema hilo kuwa HUWENDA KAMA IRAN IKAWA MBISHI BASI NUCLEAR IKATUMIKA.
 
Back
Top Bottom