Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Hakuna mtu mwenye hoja za KITOTO humu ndani kama wewe.
Sasa wewe ungekuwa unatumia akili za kiutuzima unaweza kuamini Iran anaweza pigana na US? Kama si utoto ni nini? Mlimuona Maduro ni mjinga alivyokamatwa kama kuku? tena angalau yeye alikamatwa peke yake na mkewe huyu mwingine kapotezwa na serikali yake yote. Unaweza ukawa huipendi Marekani sawa ila usiifananishe ni nchi za ajabu, ule ni muunganiko wa nchi zenye nguvu zenye 52 ndugu utambue hilo kuanzia leo.
 
Bado utasikia pro Iran wanasema kua Israel haina Air defense 😀😀

Hapa iron beam inaonekana ikifanya kazi yake 🔥🔥🔥🔥

Anga la Iran hauwezi kuona mambo kama haya JDAM zinashuka tu kama mvua
 

Attachments

  • MASHAMBULII YA HEZBOLLAH KASKAZINI MWA ISRAEL___Machi 11_ 2026_ kundi la wanamgambo wa Lebanon...mp4
    2.3 MB
taarifa yeyote kubwa haiwezi kutoka kwenye page za udaku halafu Al Jazeera wasiiweke, video zote za Iran kushambulia Israel wanaweka.... Al Jazeera wana beef na serikali ya sasa ya Israel ni ngumu sana taarifa kama hizo wasiziweke

Pili Kuna watu humu bado wanaamini kwamba Israel inachakazwa na Iran 😀, hawa watu kinachoendelea Tehran hawakioni au shida ni ushabiki

USA na Israel sasa wanatumia JDAM... Idadi ya JDAM kwa USA ni unlimited 😀, kwasasa zinamwagwa hapo Tehran kama mvua
Aljazeera unayoelezea hapa haifanyi kazi kama TBC kijana.
Aljazeera huwa wanatoa clarified news na waandishi wa habari wao wenyewe,huwenda hujui Aljazeera inafanyaje kazi.

Iran sawa inaangamia ila nikikuuliza kuhusu Israel UNAKANA HUZUNGUMZII.
Iran anarusha cluster munitions Israel na hizbollah inashambulia kwa wakati huo huo,UNATAKA KUSEMA KUWA HAKUNA MAAFA!?
Embu kamtafute Secunder ambaye ni international correspondent wa kisiasa uone video alizoweka za Israel ilivyo.
Galilaya kule watu washakimbia na kupaacha mahame.
Ila humu hamleti na mkiulizwa ya Israel MNARUKA.
Wacheni uongo na chanja chanja.
Israel kwa udogo wake ina hali mbaya mara kumi ya Iran.
Hizbollah inashambulia kule North Israel pasi na kupumzika. Ila mnataka kutudanganya Israel imeharibika kidogo!??

Ttttt wabongo bana!
 
Wameshaanza kutishia nuclear hao kina Trump unaowasemea.
Pia tusitizame hili jambo kwa wepesi Iran ni nchi ngumu sana kivita.
Kama iliweza kuhimili vita ya miaka 8 tena ikiwa Iran dhaifu ya mapinduzi 1980 hadi 1988 sidhani kama watashindwa kukaza sasa hivi.
Na hao jamaa hawatanii.
Vita dhidi ya Iraq Saddam Hussein alipewa sapoti ya kijeshi na Urusi,Ufaransa,Uingereza na Marekani tena kila aina ya msaada.
Miaka mitano kaunzia 1980 hadi 1985 Iran ilipokea kichapo kiasi watu walisema utawala wa mapinduzi unaenda kuisha,ila kuanzia hiyo 1985 hadi 1988 kilichomkuta Saddam Hussein hatokisahau. Japo tuwasifie Israel maana ndio walimsaidia Iran kisilaha na kitaarifa kuanzia 1985 hadi 1988.
Kwa kuitizama tu vita hiyo kwa miaka mitano tu ingekua nchi nyingine wangeshasalimu amri muda sana.
Sizungumzi mimi tu hata wataalamu wa geopolitics wanasema hilo kuwa HUWENDA KAMA IRAN IKAWA MBISHI BASI NUCLEAR IKATUMIKA.
hio vita ya miaka 8 Israel alikua anasaidia Iran, USA pia alikua anauza siraha kwa Iran

USA hua anapiga kama mwehu, angalia nchi ambazo USA amehusika kwa kiasi kikubwa miji hua inabaki magofu na vifo vingi sana..

Angalia kwa Vietnam..... Wavietnam hawawezi kusahau hio vita, walichokishuhudia ni zaidi ya jehanam😀
 
Nashindwa kuelewa hawa watu, eti tel Aviv inawaka moto kwa kichapo kizito kutoka kwa Iran 😀

Iran anauwezo wa kulipua nyumba ila hana uwezo wa kuharibu runway na airbase za Israel

sasa hivi anatumia cluster munition dhidi ya Israel, wahuni wakianza kuzimwaga hapo Tehran kelele sitakua nyingi sana

USA amefanya maajabu ambayo Russia huu mwaka wa nne ameshindwa kwa Ukraine
Muda mwingine huwa tunawaambia tumieni akili walau hata kidogo.
Viongozi wa USA kina Murphy na Ms.Warren wao wanasema kabisa USA amekosea kimahesabu kuingia hii vita kiasi anaonekana kuwa desperate na kushambulia kusave face we unasema amefanya jambo kubwa ambalo Urusi haikuweza fanya.
-Unasahau kambi 27 za USA mid east zimeteketea.
-Unasahau kuwa balozi zaidi ya 6 pale mid east za USA zimeteketea na wafanyakazi wa hizo balozi wameuawa humo ndani.
-Unasahau kuwa maslahi ya USA yamelengwa katika nchi nyingi hadi PAKISTAN kwa kuanzishwa hii vita.

Unasemea kuhusu Tel Aviv, kwani hatuoni picha mtandaoni namna ilivyoharibika??
Sio tu nyumba hata baadhi ya kambi za Israel ndani ya Israel zimeharibika. Ikiwemo kambi za GALILAYA tena zimeteketea vibaya sana.
Ila mna comment kishabiki.
 
hio vita ya miaka 8 Israel alikua anasaidia Iran, USA pia alikua anauza siraha kwa Iran

USA hua anapiga kama mwehu, angalia nchi ambazo USA amehusika kwa kiasi kikubwa miji hua inabaki magofu na vifo vingi sana..

Angalia kwa Vietnam..... Wavietnam hawawezi kusahau hio vita, walichokishuhudia ni zaidi ya jehanam😀
Nani alishinda vita ya Vietnam?
 
Iran jana usiku alipiga wave ya 50 ya missiles na drones inshort kashapiga mamia ya missiles na maelefu ya drones kama kweli Iron dome na arrows au mifumo ya himars ingekuwa hazifanyi kazi basi Israel na nchi za ghuba saivi ingekuwa ni magofu... Iran anapigika ila ni vile tu huwa hawajali sana kuhusu matatizo wanayopitia raia tofauti na Israel na nchi nyinginezo wanachohitaji ni usuper power Middle east wakati hawana hata air defences😀
 
Aljazeera unayoelezea hapa haifanyi kazi kama TBC kijana.
Aljazeera huwa wanatoa clarified news na waandishi wa habari wao wenyewe,huwenda hujui Aljazeera inafanyaje kazi.

Iran sawa inaangamia ila nikikuuliza kuhusu Israel UNAKANA HUZUNGUMZII.
Iran anarusha cluster munitions Israel na hizbollah inashambulia kwa wakati huo huo,UNATAKA KUSEMA KUWA HAKUNA MAAFA!?
Embu kamtafute Secunder ambaye ni international correspondent wa kisiasa uone video alizoweka za Israel ilivyo.
Galilaya kule watu washakimbia na kupaacha mahame.
Ila humu hamleti na mkiulizwa ya Israel MNARUKA.
Wacheni uongo na chanja chanja.
Israel kwa udogo wake ina hali mbaya mara kumi ya Iran.
Hizbollah inashambulia kule North Israel pasi na kupumzika. Ila mnataka kutudanganya Israel imeharibika kidogo!??

Ttttt wabongo bana!
Leta hizo videos hapa, kwa style anayotunia Iran kuiharibu Israel ni ndoto za mchana, Air defense husoma trajectory ya kombora na kujua wapi linaenda kutua, wao huamua walilock ili liwe intercepted au waliache

Hii ndio sababu Kila siku ndege za Israel zipo juu ya anga la Iran na hakuna Iran itafanya
 
Nilisema siku watu wanazipuuzia Israel na Marekani

Kwa target walizopiga Iran wanaweza kuteka nchi zaidi ya 20 Africa kwa mwezi
Stori za vijiweni hizi, huku JF ukiingia ni kama USA na ISRAEL hawapigwi, USA hana base hata moja hapo mashariki ya kati, zote zimepigwa na hatumii na ameshasema Askari wote waondoke bado unaamini USA ameshinda hiyo Vita? USA anaomba msaada wa kutumia Base za nchi zingine huoni kuwa amefeli? Kwanini USA asiende pale ISRAEL aweke kila kitu chake kisha awe anashambulia kutokea pale Israel? Mbona anahangaika kuomba Base za UK, France, Uswizi, Spain nk? Uko timamu kichwani wewe jamaa?
 
Sasa wewe ungekuwa unatumia akili za kiutuzima unaweza kuamini Iran anaweza pigana na US? Kama si utoto ni nini? Mlimuona Maduro ni mjinga alivyokamatwa kama kuku? tena angalau yeye alikamatwa peke yake na mkewe huyu mwingine kapotezwa na serikali yake yote. Unaweza ukawa huipendi Marekani sawa ila usiifananishe ni nchi za ajabu, ule ni muunganiko wa nchi zenye nguvu zenye 52 ndugu utambue hilo kuanzia leo.
Hata hii ni hoja ya kitoto.
Kwanza unaizungumzia Iran ambayo ina vikwazo vya kiuchumi tangu 1979.
Pia unajisahaulisha kuwa kitendo cha Iran kulipua balozi za USA mashariki ya kati ni sawa na KUILIPUA USA yenyewe.
Hiki kitendo kinatosha kusema IRAN ANA UWEZO WA KUPIGANA NA USA labda kama USA atumie nuclear.
Ukiacha UTOTO na kutumia facts Maduro alikua na intelijensia dhaifu na jeshi dhaifu sio sawa na Iran.
Kama Iran nyepesi kwanini USA hadi sasa hajaingiza wanajeshi katika ardhi ya Iran??
Kama Iran nyepesi kwanini USA anatafuta kina Putin wahusike katika kuimaliza hii vita??
Kama Iran nyepesi kwanini hadi sasa USA anakataa kusindikiza meli Hormuz kama alivyoahidi??

Nasema kuwa una HOJA ZA KITOTO kwasababu hutumii facts zilizopo bali ni hisia zako zinazokutuma.
Hisia zako hizo hizo ulikataa kuwa China hawezi iuzia silaha Iran.

Ukiacha utoto utajadili hoja kimashiko.
 
Leta hizo videos hapa, kwa style anayotunia Iran kuiharibu Israel ni ndoto za mchana, Air defense husoma trajectory ya kombora na kujua wapi linaenda kutua, wao huamua walilock ili liwe intercepted au waliache

Hii ndio sababu Kila siku ndege za Israel zipo juu ya anga la Iran na hakuna Iran itafanya
Kamtafute Secunder hata FB yupo.
Ukimkosa ndio uniambie.

Wacha UFALA wewe,kama Israel ina intercept kila kombora kwanini Imezuia taarifa zisitoke??
Kwanini wakazi wa Galilaya wamekimbia Galilaya!?
Hivi ninyi mnatuchukulia sisi WAPUUZI WENZENU!??
 
Bado mkuu ila data zinaonesha wamechapika mno na kama Marekan wataendelea kutumia B-2 bombers had kufikia tareh 28 mwezi huu nahis Netanyahu anaweza akawa anapiga misele kwenye viunga vya Tehran maana jamaa watakuwa wameisha na waliopo watakuwa wanajificha pangoni maana Amerika wameshaweka dau watu watoe location sasa kwa maisha ya wa Iran yalivyo magumu wanaweza kweli achia hilo donge nono la Amerca? Hata ingekuwa ni wewe mkuu unaweza achia donge nono wakati wa njaa kali?

Kifupi ni kuwa raia wa Iran kwa sasa wana uhuru wa kunivinjari kwenye nchi yao kuliko viongozi wao na wanavaa watakavyo hakuna mtu wa kuwabuguzi
😅😅😅😅😅 Humu mnapenda Stori za vijiweni kweli. Israel anachapika wewe unaleta habari za kwenu Mwanalumango?
 
Nani alishinda vita ya Vietnam?
😀😀 Hio vita ukiangalia kiushabiki utaona kama USA alishindwa ila ukiingia ndani utaona kua USA haikushindwa kivita bali ilishindwa kisiasa

USA ilijiondoa mwaka 1973 baada ya makubaliano ya amani ya Paris hili hua mnalikwepa sana

Hii vita ndugu ilikua mbaya sana kwa wavietnam, vifo vilikua zaidi ya million 3, nchi ilibaki na umaskin wa kutupwa na hadi leo kuna baadhi ya maeneo bado yaweathirika na mabomu ya kemikali ya USA

DARPA walifanya unyama sana kwa wavietnam
 
hio vita ya miaka 8 Israel alikua anasaidia Iran, USA pia alikua anauza siraha kwa Iran

USA hua anapiga kama mwehu, angalia nchi ambazo USA amehusika kwa kiasi kikubwa miji hua inabaki magofu na vifo vingi sana..

Angalia kwa Vietnam..... Wavietnam hawawezi kusahau hio vita, walichokishuhudia ni zaidi ya jehanam😀
-Israel alianza kuisaidia Iran mwaka wa 5 wa vita.
-Usitufanye sisi wajinga wenzako USA alikua hauzi silaha kwa Iran ilhali alimsaidia Saddam Hussein ili waangushe utawala wa kishia.

Vietnam ilimpiga USA na kumfanya aondoke Vietnam.
Unasahau kuwa kuna wanajeshi wa USA kule Vietnam hawakurudi na maiti zao hazikupatikana hadi leo hii wapo raia wanaolalamika kuhusu hao ndugu zao.
 
Back
Top Bottom