Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

-Israel alianza kuisaidia Iran mwaka wa 5 wa vita.
-Usitufanye sisi wajinga wenzako USA alikua hauzi silaha kwa Iran ilhali alimsaidia Saddam Hussein ili waangushe utawala wa kishia.

Vietnam ilimpiga USA na kumfanya aondoke Vietnam.
Unasahau kuwa kuna wanajeshi wa USA kule Vietnam hawakurudi na maiti zao hazikupatikana hadi leo hii wapo raia wanaolalamika kuhusu hao ndugu zao.
Wewe jamaa unashida gani kichwani 😀.. nimekwambia Israel ilikua inaisaidia Irani siraha na intelligensia ulitakuwa ukubali kwanza ndio..

kama Iran alikua anajiweza kwa nini alikubali msaada wa Israel huo mwaka wa Tano😀

Rudi kasome historia vizuri kijana hasa Iran-cotra affair... Hio vita USA alikua anapiga miguu yote acha ubishi kijana

Tukirudi kwenye vita ya Vietnam, USA haikutoa majeshi yake kwa kupigwa na hao migambo ila ilijitoa kwa pressure ya kisiasa sio kijeshi

Rudi darasani ukasome jinsi USA ilivyokua inawafanya hao migambo 😀..

Hio vita ilikua chini ya ARPA kwasasa inaitwa DARPA.. hawa wahuni waliigeuza Vietnam kua sehemu ya majaribio ya siraha za kivita

Kijana wangu nenda kasome hizi projects zote zilikua chini ya ARPA
Project agile, igloo white, operation Popeye nk

BIla siasa, Vietnam ilikua inaenda kua jangwa😀😀 kasome vizuri project agile utaelewa nini namaanisha
 
Kamtafute Secunder hata FB yupo.
Ukimkosa ndio uniambie.

Wacha UFALA wewe,kama Israel ina intercept kila kombora kwanini Imezuia taarifa zisitoke??
Kwanini wakazi wa Galilaya wamekimbia Galilaya!?
Hivi ninyi mnatuchukulia sisi WAPUUZI WENZENU!??
Wehu hao 😁😁

Jamaa wanashindana na Aljazeera BBC CNN and co
 
Iranian Foreign Minister Abbas Araghchi says Israel may be responsible for attacks on civilian targets in gulf countries in an attempt to damage Tehran’s relations with its neighbors.In separate remarks cited by Iran’s Fars News Agency, Araghchi also alleged that the U.S. has developed drones resembling Iranian models and is using them to strike targets in Gulf states.

Sema Iran moja ya uwezo mkubwa ni kutunga Story
Mossad walikamatwa Riyadh wakipanga false flag attack.
Unataka kusema Iran wanatunga stori!??
Au wale Mossad waliokamatwa Riyadh wametengenezwa na IRAN!?
 
Netanyahu alikufa mwanzo mwanzo wa Vita !!

wenyekusoma watu Usoni tulielewa kuna kitu hakipo sawa kwann.... !

Kuna kikao cha Trump kilifanyika uko uko Marekani Trump na wajumbe wa ule Mkutano ukiwausisha Wanajeshi wao walikuwa kwenye Uzuni nusu ya kilio!!!!

Inaonekana kabla ya kikao kuanza Walitonywa kuhusu Netanyahu na Viongozi wengine waliouwawa!!

Ndio mana Trump Akasema fursa ya kusitisha Vita kwasasa haipo tena!!!!
Hesabu imeenda mlama!!!

Trump akadai niliwapa nafasi ya kumaliza Vita lkn sasa haipo tena.!!

Mpaka mm yeye Trump ndio ataamua lini Vita visimame!!!

IRANIAN Ikajibu alaka💪💪 ni wao ndio wataamua lini Vita viishe. Sio Trump tena.!!✍️
Wenyewe wanasema lakuvunda halina ubani.
Ngoja tuone mkuu watasema tu.
 
HIVI UNAMJUA CORRESPONDENT WA KISIASA KUWA ANA KINGA YA KISIASA!??
Huyo ni mtu ambaye ana Kinga ya kisiasa KIAZI WEWE.
Kama Israel hawazuii taarifa,KWANINI WALIWAKAMATA WAANDISHI HABARI WANNE WA CNN??
UNAWEZA KUNIPA JIBU HAPA???

Iran haijazimwa internet bali kuna limitation za matumizi ya internet,kama Iran wamezima Internet vyombo vya habari BBC,CNN,ALJZEERA wana correspond vipi utoaji wa taarifa!??
Wewe jamaa ni mpumbafu.. kwamba umeshindwa hata kuwasikiliza watanzania walikua wamekwama huko Iran juz wametua bongo media nyingi zimewahoji kasikilize wanasema nini😀

haujajibu swali langu, huyo sijui secuda anatoa wapi taarifa, anatumia njia gani kupata hizo taarifa ambazo serikali ya Israel imezizima?

Huyo secuda ana kikundi ambacho kipo ndani ya Israel kazi yake ni kukusanya taarifa za maafa ya Israel tu au ni watu wa kawaida wanatumia yeye tu😀

Ich finde,,, deine Argumente wirken etwas kindisch du kannst aber gerne weiter deine Sichtweise vertreten😀
 
Kutokana na utandawazi plus AI vita zimejaa propaganda nyingi na source kibao za account za watu wanaosaka followers, cha muhimu tu ni kupata taarifa kutoka source za kueleweka na kusubiri siku ya mwisho ya maamuzi kipi kitajiri... Hata vita ya Urusi na Ukraine ilikuwa hivi ila hadi sasa wote wapo choka mbaya... Ukitaka taarifa zaidi nenda uwanja wa vita ukashikwe mbupu na drone😎
 
Sasa wewe ungekuwa unatumia akili za kiutuzima unaweza kuamini Iran anaweza pigana na US? Kama si utoto ni nini? Mlimuona Maduro ni mjinga alivyokamatwa kama kuku? tena angalau yeye alikamatwa peke yake na mkewe huyu mwingine kapotezwa na serikali yake yote. Unaweza ukawa huipendi Marekani sawa ila usiifananishe ni nchi za ajabu, ule ni muunganiko wa nchi zenye nguvu zenye 52 ndugu utambue hilo kuanzia leo.
 

Attachments

  • Cnn.jpg
    Cnn.jpg
    134.7 KB · Views: 11
Back
Top Bottom