MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,097
- 35,478
Kuna msemo mmoja maarifu sana kwenye Geopolitics unasema "military operations must serve as clear political objectives"😀😀 Hio vita ukiangalia kiushabiki utaona kama USA alishindwa ila ukiingia ndani utaona kua USA haikushindwa kivita bali ilishindwa kisiasa
USA ilijiondoa mwaka 1973 baada ya makubaliano ya amani ya Paris hili hua mnalikwepa sana
Hii vita ndugu ilikua mbaya sana kwa wavietnam, vifo vilikua zaidi ya million 3, nchi ilibaki na umaskin wa kutupwa na hadi leo kuna baadhi ya maeneo bado yaweathirika na mabomu ya kemikali ya USA
DARPA walifanya unyama sana kwa wavietnam
Wao waanamini Marekani ni Alfa na OmegaKuna msemo mmoja maarifu sana kwenye Geopolitics unasema "military operations must serve as clear political objectives"
Kwa mantiki hiyo kama political objectives umeshindwa kuzi-achieve automatically umeshindwa vita.
Political objectives ya USA in Vietnam ilikua ni kuwazuia Vietnam kujiunga na umoja wa kikomonist..
Matokeo yake Marekani alishindwa vita, akapigwa na kupoteza wanajeshi wake zaidi ya 60,000 lakini pia zaidi ya wanajeshi million 1 wa USA waliathirika na vita hiyo.
Na Vietnam alifanikisha kujiunga na ukomonisti
Kwa Maelezo hayo unasemaje USA alishinda vita?
USA alicho kua akifanya ni civilian targeting pamoja na biological warfare ndiyo maana alikua raia wengi sana wa Vietnam lakini malengo yake hayakutimia.
ACheni ushabiki, bila fact.
Hata Iran wanaamini hivyo, Media za Iran wakireport kiongozi mkubwa wa Israel amekua admitted hospital akiwa mahututi, Hospital husika ina ulinzi mkubwa haijapata tokea.Nacho hisi mm Jamaa Yupo ila Alijeruhiwa na Anatibiwa akiwa hali mbaya
Kwanza Jamaa wapo zao NdaniSema Iran wamebadili Sana Vita, baada ya hivi vita kila nchi inabidi ijifkirie Silaha zake,
Gharama ya Sniper na vifaa vyake inafika Hadi $20,000, wakiwa sniper kadhaa hapo juu hasogei MTU.
Ila Iran anatuma kidrone Tu cha $5000 anafuta wote, hakuna haja ya kuja kurushiana risasi, so Askari wote hao train zao, vifaa vyao vyote ni useless kwenye vita vya sasa.
Si mlesema hapo Tel aviv watu hawachukui habar? Au nimesahau?Nimeona habari muda si mrefu kupita Al Jazeera.. raia wa Israel hapo Tel Aviv wameandana kupinga vita.
Raia wanasema hii haikubaliki kabisa., hawalali kwa amani
Anachofanya hata kama hayakuhsu ila yatakuathiri kwa namna moja au nyingine, kwa sasa au hata wakati ujao. Trump keshasema akimalizana na Iran, anafuata Cuba, hii haikustui mkuu? Kuna sababu ya msingi kwanini Marekani bado hajapata usaidizi rasmi toka kwa washirika wake NATO. Hakuna logic ya uvamizi wa marekani na israel kwa mataifa mengine.Kwani sababu ni nini? Nawashangaa mnaoumia. Nishasema humu kwa US au Israel au Iran watu weusi kwao ni nyani tu wala hawakujali. Sasa wakiamua kuchapana nihuzunike iki iweje? Acha wauane. Hii vita kwangu ni kama naangalia mafahari wawili wakidundana au Mayeeather vs Pacman wacha wachapane. Wakichoka wataacha.