Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Jamaa yako anadai Israel ina intercept makombora yote na Israel HAIPATI MADHARA.
Labda hamjaelewana tu. Pia kuficha taarifa ni tactic pia. Adui yako asione kama kafanikwa kulenga target au la. Iran anatumia missiles tofauti na Israel anatumia ndege ambazo zinachukua footage ya target.
 
💥💥💥💥
Moja ya jengo Tel aviv likiwa limeangukiwa na fragments (vipande) za makombora ya Iran baada ya interception
20260315_154945.jpg
 
Wanamgambo wa Iraq wametangaza dau kwa watakao fichua walipojificha wanadiplomasia na wanajeshi wa US,maana kambi zimelipuliwa balozi zimelipuliwa sasa hivi wanajificha hotelini. Juzi Pentagon iliomba msaada serikali ya Iraq, iwape ulinzi wanadiplomasia pamoja na wanajeshi wake. Kwa kifupi US ameipoteza Iraq mazima,kwani kambi wamelipua,Balozi wamelipua,sasa hivi wanatangatanga.
Usa aliitaka uarabuni yote ila sasa anaenda kupoteza hata na kidogo alichokuwa nacho
 
Tunaendelea
Hapa Wana wa Israel wakishangaa watu wamekwama kwenye Jengo na Miili ikionekana baada ya Mashambulizi ya Iran hii leo

📍🇮🇱 NOW: A large crowd of Zionists is watching the extraction of the trapped, dead & injured from the building targeted by an Iranian missile in Tel Aviv


View: https://x.com/i/status/2033151525875245183
 
Back
Top Bottom