Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Simuelewi waziri wa vita wa marekani (Pete Hegseth) anavyomuita Mojtaba coward wakati yeye hata uwanja wa kivita tu hajakanyaga ilihali mwenzie yuko eneo linalovurumishiwa mabomu kila siku. Netanyau mwenyewe wamemficha kama kweli hajauawa
Yule kama hajauwawa itakuwa yupo Wounded near death wasziri kiongozi mkuu hawezi kukaa kimya siku 5 mfululizo bila ya kutoa speech yoyote ile kwaajili ya kuwapa motisha wananchi na wanajeshi wa Taifa husika , Kuna namna Ipo wasitufanye wajinga
 
🤣🤣

Trump bana! Sasa kama Marekani ishashinda vita kikamilifu, hayo mengine yote ya nini?
Huyu mzee kuna namna kichwani hamzimtoshi kutokana na kauli zake za kukinzana kila siku. Heshima ya marekani kwa mataifa yanayojielewa haitakuwa kama zamani kiushawishi, kijeshi na hata kiuchumi. Watu watatafuta mbadala wa marekani.
 
Piga mbwa haoooooooooo🔥🔥🔥 😁😁😁🎶🎵🎵🎵🔊🔊

Raha sana 😄🤸🤸🤸
Walokole wananishangaza Bible wanaiyamini kwa %100!!!

sasa linapokuja jambo km ili Marekani Taifa kubwa na Iran ni Taifa dogo !!!

lkn kwenye Bible kuna simulizi nzuri ya GOLIATH na DAUDI sasa hatuoni kutuletea Maandiko yao kuifananisha Iran na Daudi na Marekani GOLIATH !!!!

au ndio kwakua Trump ni Mlokole mwenzao!!!😛😛😛😛😛😛
 
Ingekuwa USA ndiye Iran then Iran ndiye USA now wangeanza kusema USA ni Goliath huu ni utabiri wa mungu miaka mingi kuwa Taifa kubwa litapigwa na Taifa dogo kama alivyo fanya Saudi Kwa Goliath,

Dini ni uchizi
 
Namwonea huruma sana nentanyahu wa tandahimba ndugu Echolima1 🤣🤣🤣

Watu wa karibu yake wamlinde asije kujinyonga
Kwa nini nijinyonge!!! Israel ilipata ushindi mnono siku ya kwanza ya vita Febr 28,2026 kwa kumuua Gaidi Marehemu Ayatollah Ali Khamenei na jopo lake la Makamanda waandamizi wa IRGC.

Sasa hivi tuna furaha kubwa mnaotakiwa kujinyonga ni ninyi watetezi wa Magaidi°°
 
Walokole wananishangaza Bible wanaiyamini kwa %100!!!

sasa linapokuja jambo km ili Marekani Taifa kubwa na Iran ni Taifa dogo !!!

lkn kwenye Bible kuna simulizi nzuri ya GOLIATH na DAUDI sasa hatuoni kutuletea Maandiko yao kuifananisha Iran na Daudi na Marekani GOLIATH !!!!

au ndio kwakua Trump ni Mlokole mwenzao!!!😛😛😛😛😛😛
Vita iliyoko ni ya Iran na Israel kwa maana Iran ilivyo kubwa inalinganishwa na Goliath na Israel kwa udogo wake inalinganishwa na Daud.

Matokeo ya vita hivyo vya David na Goliath vinaenda sawa na vita vya Israel na Iran kwa dubwasha kubwa kama Iran kushikishwa adabu na nchi ndogo kama Israel!!!
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kambi ya jeshi Dezful
20260315_154235.jpg
 
Back
Top Bottom