Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Sielewi!! Why Iran hajarusha hata kombora moja kwenda new York au hata California kwenye makao makuu ya jeshi la Marekani au CIA!
One step at a time.
Zimeanza kwanza kupigwa base, Zinapigwa balozi zake, zitapigwa melivita na kisha kuondoshwa Gulf countries zote, WAmarekani wote wataondoka middle east. Bàada ya hapo atafuatwa huko huko (Washington & othrer states) kuendelea kupewa kichapo.
Marekani ni haki yake kupewa kichapo 😁😁😁🤓😀 Just kidding.
 
💥💥💥💥
Jeshi la Israel: timemaliza kushambulia maeneo ya serikali ya kidikteta ya Iran katika eneo la hamedan magharibi mwa Tehran
 
Hii sasa ni kujijaza upepo wa matumaini hewa tu!
196.jpg

Jamaa ameshalamba mchanga tangu march 12.
 
Moja ya hoja za kijinga kabisa za Israel na Marekani ni kwamba hawataki Iran iwe na makombora.

Wao wanayo hayo makombora lakini hawataki Iran awe nayo.

Yaani Iran asiwe na zana zozote za maana za kujilinda ili baadaye wakitaka kumvamia, wamvamie kirahisi bila shida yoyote ile.

Huo ni ucenge na unafiki wa kiwango cha pekee kabisa.

Nani mwenye akili timamu na mwenye kujiheshimu anayeweza kukubali huo ucenge?
 
Back
Top Bottom