City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la miyaneh
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la miyaneh
Ila kipanya amezidi yani idadi anotoa kipanya unaweza kusema moscow yootee wameuliwaMzee wa milipuko mikubwa bwana!! Yaani ni full @kpkipanya kwenye ule uzi wa russia vs ukraine.
Utamsikia. Leo tumechinja 1500 wanajeshi wa russia. Yaani ni uwehu kabisa.
angalia ulivyo yaani unamaanisha kwa kuwa hizbolah ni shia hawawezi kuwa ni wapalestina waliokimbilia Lebanon na kwa taarifa tu ni kubwa Lebanon ilikuwa nchi ya amani kabisa na ndoa nchi iliyokuwa na wakristo wengi zaidi hapo mashariki ya kati lakini walipokubali kuwapokea hao wakimbizi wa kipalestina (hizbolah wa sasa) wakaanzaHezbollah= Shia
Palestine = Sunni
1950s Iran ipo chini ya Shah vibaraka watiifu kwa Marekani, Serikali ya Shia imeingia madarakani Mapinduzi ya 1970s. Kila ukifungua mdomo ni uongo juu ya Uongo, huna tofauti na huyo Trump wenu mnayemtetea.