Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kaliwa kichwa yule Kiongozi mkuu anakuwaje kimya nyakati kama hizi !? Kwanza Kwa tabia yake ilivyo mtu wa kupenda misifa he can't remain silent,
angalia mnavyojiaibisha kiasi hata mnacholeta humu hata kama kina ukweli mnaonekana waongo
 
Tena apo ndio Marekani wanapigana Bega kwa bega na Israel yenyewe km yenyewe haàaaaaaaa!!!!

1) Wkt Dunia haijui Netanyahu yupo wapi wkt

2) Wkt miji ya nchi 11 imeteteleka vibaya!!
Ikiongozwa na miji ya Israel Haifa Tela Aviv

3) Wasomaji wa Jamii forum tukumbuke. Bado Islamic Republic of Iran Wanapigana wakiwa ndani ya mipaka yao !!

Ndiomana wajuzi waanaamini Iranian ndio Yahudi Og !!!

Awa wengine sio Wayahudi ni Mashoga kutoka Ulaya wameidandia Bible kwa mbele na kujivika Ukweli usio wao wamebebwa na MEDIA na pesa basi.

Kimsingi Kiakili hakuna kitu weupe kama Weupe!!!

Kivita ni Iranian ndio mwenyekushangaza Dunia ya Technology Vita sio Israel

Hatujawai kuona Makombora ya mfano wa Iran kwenye Dunia

yani mwendo wa Draft tu kufikia sasa. Dunia ikitetemeka Zaidi ya km2000+ miji inawashwa MOTO. Na Watoto wa Iran wakiwa kwenye mipakayao.
Aljazeera reports.
-Mohsen Razaeia Iranian government official " Iran will continue to be patient and resilient,Iran won't stop this war until the level of victory is achieved,this is war of survival and existence".

Hapa naona nuclear inaweza kutumika dhidi ya Iran. Kuna 85%+ hawa USA na Israel wakafikiria nuclear options kama Nagasaki na Hiroshima.
Maana Iran analeta ubishi wa kiJapan wa 1944.
bado sana kufikia huko ya Japan inaweza tumika nyuklia lakini ni yale mabomu ya kimkakati USA alishasema kuwa zile silaha zake za nyuklia za kipindi hicho ni kubwa sana kwa ulimwengu wa leo kuzitumia ndo akaunda silaha za kimkakati bomu kikipigwa linaweza kuathi sehemu ndogo tu. maana hebu fikiria leo apige hapo Tehran si atakuwa hata raia ambao wanamsapoti
 
Muda mwingine huwa tunawaambia tumieni akili walau hata kidogo.
Viongozi wa USA kina Murphy na Ms.Warren wao wanasema kabisa USA amekosea kimahesabu kuingia hii vita kiasi anaonekana kuwa desperate na kushambulia kusave face we unasema amefanya jambo kubwa ambalo Urusi haikuweza fanya.
-Unasahau kambi 27 za USA mid east zimeteketea.
-Unasahau kuwa balozi zaidi ya 6 pale mid east za USA zimeteketea na wafanyakazi wa hizo balozi wameuawa humo ndani.
-Unasahau kuwa maslahi ya USA yamelengwa katika nchi nyingi hadi PAKISTAN kwa kuanzishwa hii vita.

Unasemea kuhusu Tel Aviv, kwani hatuoni picha mtandaoni namna ilivyoharibika??
Sio tu nyumba hata baadhi ya kambi za Israel ndani ya Israel zimeharibika. Ikiwemo kambi za GALILAYA tena zimeteketea vibaya sana.
Ila mna comment kishabiki.
yaani hata mtoto mdogo anaweza akikataliwa eti Israel limepigwa vibaya sana huko kutwa nzima midege inapeleka moto tena bila upinzani wowote hali ikoje
 
Screenshot_20260315_224516_Photos.jpg

Kamanda anaumia,halafu huku kuna watu wanakwambia Iran anahali mbaya. Iran kawa suprise watu hata wao hawaamini,General Kenneth anaongea kwa uchungu.Kila resources za kijeshi zilizo Middle East karibia zote zimelipuliwa na huo uwekezaji uliwachukua US miaka hamsini na sizani kama kuna nchi za middle east kama zitakubali US aweke base.
 
Vitu vinashuka tu kama mvua, kwa msio fahamu hizi Mk-82-83 na 84 zinapewa kit za JDAM zinakua GBU-31,32,38 nk

Kibaya zaidi kwa timu Iran ni kua hayo mabmu ya MK 82,83 na 84 ni unlimited kwenye jeshi la marekani 😀😀

Kama ulikua unajiuliza kwanini Israel iliigeuza Gaza mavumbi ni sababu ya haya mabomu

Kama anga la Iran litaendelea kua chujio Tehran kua magofu ni suala la muda tu

Gharama ya hayo mabomu ni sawa na yaani Dola elfu 3 hadi 10 ukiongeza na kit za JDAM inafika hadi Dola 25k
awa Iran kwani hawana kabisa hata AD moja ya maana au si na wao warushe ndege zao ziwe zinafanya intercept maana naona jamaa wanajichagulia tu pa kupiga
 
angalia ulivyo yaani unamaanisha kwa kuwa hizbolah ni shia hawawezi kuwa ni wapalestina waliokimbilia Lebanon na kwa taarifa tu ni kubwa Lebanon ilikuwa nchi ya amani kabisa na ndoa nchi iliyokuwa na wakristo wengi zaidi hapo mashariki ya kati lakini walipokubali kuwapokea hao wakimbizi wa kipalestina (hizbolah wa sasa) wakaanza
kuwauwa wote waliokuwa kinyume na imani yao mpaka kuna waziri Mkuu mkristo walimuuwa
Unajiaibisha Tu kila unapofungua mdomo, Hizbollah ni chama cha kisiasa cha kishia, kama Kuna mfano Tanzania ni kama unavyosema Chama cha wakatoliki. Unachotuambia hapa ni kama Wasabato toka Kenya wakaja Tanzania wakaanzisha Chama cha Ukatoliki. Unaongea Tu nonsense sijui unaokoteza wapi.

Hizbollah na Sunni ni mafuta na Maji,

Pia Before Hamas ambayo ni ya juzi tu hapa, Wapalestina walikua ni Baath wing, same to SAdam Hussein, Bashar Al Asad na wengineo, Yaser Arafat alikua ni Baath pia. Kwenye Vita vya Iran na Iraq Yaser Arafat alikua anam support SAdam Hussein kama Baath mwenzake,

Mahusiano ya Iran na Wapalestina yameanza hivi karibuni, miaka ya 90 kwa mdomo na juzi juzi 2007 walivyoshinda uchaguzi ndio wakawa wanapewa material support.

So mkuu usidanganye watu wazima humu kwamba Kundi la kishia lebanone zimetengenezwa na Wasocialist wa Kisunni wa Palestine haimake sense yoyote kwa MTU anaejua siasa za huo Ukanda.
 
ukiwa pale uae ukiangalia simu yako saa unakuta imeandika 39:40 hiyo inatoka na kuchezewa kwa mfumo wa gps mambo ya jamiing na spoofing ndiyo maana iran wanatumia mfumo wa china wa beidui
Anatumia Beidou Mda mrefu Sana, USA hawezi mruhusu atumie GPS, anafahamu hili toka wakati ana design hizo missile.
 
angalia ulivyo yaani unamaanisha kwa kuwa hizbolah ni shia hawawezi kuwa ni wapalestina waliokimbilia Lebanon na kwa taarifa tu ni kubwa Lebanon ilikuwa nchi ya amani kabisa na ndoa nchi iliyokuwa na wakristo wengi zaidi hapo mashariki ya kati lakini walipokubali kuwapokea hao wakimbizi wa kipalestina (hizbolah wa sasa) wakaanza
kuwauwa wote waliokuwa kinyume na imani yao mpaka kuna waziri Mkuu mkristo walimuuwa
Duh we jamaa wewe!
Nenda kaisome Beirut crisis.
Wakimbizi wa Palestina hawahusiki na Hizbollah hata KIDOGO.
Hivi unajua kama ndani ya Hizbollah kuna WAKRISTO!?
Huyo waziri mkuu unayemzungumzia aliyeuawa ni fitina ya Israel.
Israel iliwafadhili SUNNI ili wapindue serikali ya kikristo Lebanon,Shia ndio waliowaokoa wakristo kupitia hizbollah.
Ndio maana wakristo wanaikubali Hizbollah na sunni ndio wanaipinga hizbollah.
Hiyo Israel mnayoiona ya maana inawanyanyasa sana wakristo hapo mashariki ya kati.
 
Back
Top Bottom