City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la navaaran Tehran
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la navaaran Tehran
Ndio uone uongo huo sasa.Inasemekana kwa mujibu wa Israel hakuna kombora hata moja la Iran hadi sasa lililogusa ardhi ya myahudi
We HABARI zako nyingi ni uongo mtupu
😄 Hata kipindi Cha Magu alivyokufa wakati tetesi zilivyo Anza kuzagaa mboga mboga wakiachia clip yake ya zamani , so hizi mbinu za kishamba sana zimepitwa na wakati
Sasa si ukanushe Kwa evidenceNdio nyie machoko wenyewe walokole
mavi wa vijijini mnameza kila upupu
Yaani jinga moja liandike kuna milipuko bila taarifa kamili halafu mko huko maporini mnashangilia
Nenda kaangalie update za Russia na Ukraine kama utamkuta huyo kilaza mwenzenu
Tuletee za kweli basi mkuuWe HABARI zako nyingi ni uongo mtupu