Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

220.png
 
Kwanza mjue Iranian sio eneo dogo kama eneo la Gaza

Iranian inamajiji mengi na Makubwa Sana !!

huwezi kuyatwanga yote kiasi watu wasiweze kukaa Wanatumia Majiji yao mengi kuama kutoka seem moja.+

Iyo Gaza tu bado sio mji wote uliopigwa bado Kuna seem hakujaguswa kabisa!!!.

Wananchi wa Iranian washaonesha kwa Dunia Kuwa wanaunga mkono utawala wao wa Kislamu.

Hakuna zaidi kitatokea!!!
Hii vita bado ni changa, Iran ni nchi yenye matatizo mengi ya kiuchumi kwa raia wake.. serikali inatumia pesa nyingi kwenye mambo ya kijeshi kuliko kuboresha maisha ya raia wake

Imagine inchi iliyoendelea kama Iran kwao maji tu ni tatizo sugu😀

Vita vya marekani na Israel hua vinabadirika siku hadi siku, kuna simu wataanza kushambulia miundombinu ya raia kama anavyo Russia kwa Ukraine hapo Iran atakua na hali ngumu sana kwa raia wake

USA na Israel wakiona malengo yao yanafeli, lazma wataanza kuwabinya raia 😀
 
Unahabari na kinachoendelea kweli au umakariri tu Marekani super power Israeli Taifa teule? Achana na story za vijiweni.
 
Ungeleta taarifa zako za uhakika
Acha kulalamika kama kisichana Cha balehe
Ndio nyie machoko wenyewe walokole
mavi wa vijijini mnameza kila upupu
Yaani jinga moja liandike kuna milipuko bila taarifa kamili halafu mko huko maporini mnashangilia
Nenda kaangalie update za Russia na Ukraine kama utamkuta huyo kilaza mwenzenu
 
💥💥💥💥
Jeshi la Israel: Sasa Tumeanza tena mfululizo wa mashambulizi kwenye miundombinu ya serikali ya kigaidi ya Iran kwenye miji ya Tehran, Shiraz na tabriz
Miundombinu tena!?
Vita inaenda kuwa tamu!

Kuna uwanja wa ndege unaitwa Ben Gurion, huo ukila kiberiti itakuwa furaha yangu ya wiki.
 
Miundombinu tena!?
Vita inaenda kuwa tamu!

Kuna uwanja wa ndege unaitwa Ben Gurion, huo ukila kiberiti itakuwa furaha yangu ya wiki.
Mkuu ulikua usingizini? Mbona siku zote miundombinu inashambuliwa. Hapo ni muendelezo wa taarifa kwa muda huu sio kwamba ndio wameanza leo
 
Unahabari na kinachoendelea kweli au umakariri tu Marekani super power Israeli Taifa teule? Achana na story za vijiweni.
Au unataka useme Iran ni super power au umelenga nini please malizia sentensi yako😎
 
Back
Top Bottom