Hao watu wanaotumia hisia badala ya uhalisia na facts nilishawa ignore.Wewe tembo (Iran) hata akikonda hawezi kuja kuwa kama sisimizi (Tanzania).
Irani alipigana vita miaka nane, amewekewaa vikwazo since then (1979)...... Leo hii inapigana na nchi mbili ambazo zina uchumi mkubwa Sana kuzidi yeye, zina high tech, zinafanya zinavyojisikia (hata siku moja US-Israel hawajawai kuwekewa vikwazo kwa udhalimu wanaoufanya).... Lakini Iran inawaonyesha kwamba na yeye ni ngangari na jemedari kweli kweli. 😁😁😀
Tanzania vita dhidi ya Idd Amini WA Uganda ilitufanya turudi ñyuma kiuchumi miaka Mia. Yaani, Uganda Tu alitutoa kamasi na nchi yetu ikateteleka pakubwa Sana.
Kwa hiyo, nahitimisha kwa kusema kuifananisha Iran na Tanzania ni sawa ma kufananasha mbio za farasi na mbio za mbuzi. Irani Ni level ya farasi Sisi ligi yetu ni ya mbuzi (Ligi ya mchangani), japokuwa Makamanda wa Nkunda wanatudanganya kwamba nchi yetu ni ya sita kijeashi duniani 😁😁😲
Mtu ukimsoma anaongea vitu pointless kabisa aisee.