Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Aisee kuna ule uzi wa Ukraine na Russia mpaka leo unatembea na ulikuwa unashereheshwa na taarifa za uhakika na ushahidi
Ila kwenye huu Uzi wa kimbulula unaoshibikewa na walokole mavi kuna mpumbavu mmoja anaewapanga na viemoji vya moto na milipuko mikubwa
Lete update mkuu


Kuwaita majina uyatakayo haitabadirisha chochote, wewe tuma update tuone wanavyotwangana
 
Mwenyewe anakuambia wamemaliza Navy wote. Haya sasa kwa nini anamlilia Mchina aongee na Iran wafungue Hormuz. Yaani uangamize Navy yote ila bado unaogopa kukusindikiza meli kama alivyojitapa.Jana Iran kaanza kudondosha mizigo ya tani tani, wenyewe wanasema wameishika anga, haya mizigo ya tani tani imeaanza kudondoka kwenye ardhi ya Myajudi.

View: https://m.youtube.com/watch?v=ptRGY5xHIGg
 
tutamkumbuka tz mwamba
 

Attachments

  • 1773635582279.jpg
    1773635582279.jpg
    101.7 KB · Views: 15
Hivi Trump zinamtosha kweli ?
Kwenye mahojiano ana sema wameangamiza jeshi la maji na anga la Iran alafu wakati huo anazilazimisha nchi nyingine zimsaidie kuufungua mlango wa horumuz sasa waende kuufungua dhidi jeshi lipi au mapepo au?
 
Mwenyewe anakuambia wamemaliza Navy wote. Haya sasa kwa nini anamlilia Mchina aongee na Iran wafungue Hormuz. Yaani uangamize Navy yote ila bado unaogopa kukusindikiza meli kama alivyojitapa.Jana Iran kaanza kudondosha mizigo ya tani tani, wenyewe wanasema wameishika anga, haya mizigo ya tani tani imeaanza kudondoka kwenye ardhi ya Myajudi.

View: https://m.youtube.com/watch?v=ptRGY5xHIGg

Abbas Araghchi amesema nchi zilizofanya mazungumzo kuomba kupita Hormuz wameziruhusu na wanayo orodha yake ila orodha wanaiweka siri.
Nahisi hawa jamaa wanaambiwa walipe ndio wapite sio bure.
 
Hivi Trump zinamtosha kweli ?
Kwenye mahojiano ana sema wameangamiza jeshi la maji na anga la Iran alafu wakati huo anazilazimisha nchi nyingine zimsaidie kuufungua mlango wa horumuz sasa waende kuufungua dhidi jeshi lipi au mapepo au?
Ndio maana viongozi wa Ulaya wanamgwaya maana washamuona nati zimepotea.
 
Kawaambie waandishi wa habari wa kimataifa na wana IT sio mimi mkuu.
Kama umeumia meza antipain.
niumie mimi au nyie mnao amini uongo ni suna aina hasa uongo unaomhusu asiye muislamu; Ahsante kwa kahawa
 
LIVE UPDATES

Trump berates NATO, pushes China for help with Iran war fallout​

The US president vows to “remember” who ignored his calls for a joint deployment to the Strait of Hormuz
Published 14 Mar, 2026 21:45 | Updated 16 Mar, 2026 04:16
Trump berates NATO, pushes China for help with Iran war fallout

Oil tankers and cargo ships line up in the Strait of Hormuz, March 11, 2026 © AP / Altaf Qadri
President Donald Trump has warned European NATO members of a “very bad future” if they reject his plea for help with securing the Strait of Hormuz. Tehran insists the critical maritime energy chokepoint remains open to everyone – except for “hostile” nations.

Countries that receive oil through the Strait of Hormuz “must take care” of securing it, Trump reiterated over the weekend, calling on the UK, France, Japan, South Korea and even China to join “a team effort.”

“If there’s no response or if it’s a negative response, I think it will be very bad for the future of NATO,”
Trump told the Financial Times.

In response, the Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) has dared Trump to send in US warships to back his repeated claims that Iran’s navy was “essentially decimated.”

“Didn’t Trump say that Iran’s navy has been destroyed? If so, let him send his ships into the Persian Gulf if he dares,”
an IRGC spokesman said.
====
Sikutarajia US awe katika Hali hii kwa Tambo zake zote zile. Yeye ndiye aliwazodoa EU. UK, France, German kwenye suala la Russia kuwa wanaubavu wa kumkabili peke Yao Russia!? Sasa Iran ambaye amekuwa kwenye vikwazo zaidi ya miongo minne anamtoa jasho na 'k*masi' namna hii kweli?! Naanza kumuona Hawk wa kuchora, Aisee!!!
 
Abbas Araghchi amesema nchi zilizofanya mazungumzo kuomba kupita Hormuz wameziruhusu na wanayo orodha yake ila orodha wanaiweka siri.
Nahisi hawa jamaa wanaambiwa walipe ndio wapite sio bure.
Mpaka sasa India ndiye ameruhusiwa, hata juzi Trump alimuomba Waziri wa India aongee na viongozi wa Iran. Iran ndiye anaye amua nani apite na nani abaki, hata India wameruhusiwa kupitisha meli zao mbili tu zilizo beba Gas.

Ambao wameruhusiwa kupitisha meli mda wowote China na Russia.
 
Back
Top Bottom