Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la chabahar port
 
💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora ukanda wa kusini wa bahari. Milipuko mikubwa sana
 
Q: Iranians aren't rising up like you asked, what's up with that? Trump: "They put out statements that if you protest, you will be shot and killed. The protestors have no guns." "It's very hard for them to protest. I fully understand it."

Boots on ground itakuwa ni Wairan wenyewe ni suala la muda
 
Back
Top Bottom