Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

IRAN Ina majeshi ya Aina MBILI
1. Jeshi la kisiasa( Serikali)
2. Jeshi la Waislam ( Hawa ndio waliopindua nchi ya Iran na kuigeuza kua dollar ya kiislam)

Tamaa ya waislam ni kutaka kua super power ndio maana kiongozi wa kiislam ana nguvu kuliko Raisi wa nchi.

Hii nchi tayar imesha tembelewa na Islael mtoa roho.
Soon vita hivi vya Islael, Us Vs Iran vikitulia lazima ndani ya nchi kutatokea mapigano ya wenyewe Kwa wenyewe.
Hawa Islam from Iran + Islam from Buza Akili hawana,
: Kaulimbiu ni ile ile.:
IRAN/Waislam ni marufuku kumiliki siraha za NYUKLIA la sivyo viongozi wake wote watakua wanamfuata Khemenei huko alipo.

FB_IMG_1773664946945.jpg
 
Wewe Kula Matobwe tu ya Iran huyajui
Hiyo Huruma Jipe kwanza ww na Taifa lako la B msumi
Ww huna akili unashadadia ujinga !! Ya huku yamekushinda unaleta Wenge kusifia taifa linaloenda kujifia mazima.
 
New York Post report claims US intelligence believes Iran’s new Supreme Leader Mojtaba Khamenei may be gay, a claim that reportedly surprised Donald Trump, who “laughed aloud” during the briefing.Sources say Trump “couldn’t contain his surprise and laughed aloud.”One official reportedly “has not stopped laughing about it for days.”Intelligence reportedly suggests Mojtaba had “a long-term sexual relationship with his childhood tutor.”The claim was “derived from one of the most protected sources that the government has.”One source said: “The fact that this was elevated to the highest of high levels shows there’s some confidence in this.”

Kwamba Ayatollah hana marinda
 
Aisee kuna ule uzi wa Ukraine na Russia mpaka leo unatembea na ulikuwa unashereheshwa na taarifa za uhakika na ushahidi
Ila kwenye huu Uzi wa kimbulula unaoshibikewa na walokole mavi kuna mpumbavu mmoja anaewapanga na viemoji vya moto na milipuko mikubwa
Jikite kwenye kuleta update za ukweli.
Huna haja ya kuwatukana.
 
Iran muda mfupi uliopita wametuma vimondo vingine (wave ya 56 ya operation ya ahadi ya kweli (True Promise)), wamelenga ghala la makombora ya kimkakati ya Rafael kusini mwa Israel.

Baada ya Iran kuhakikisha Israel imepungukiwa Interceptors, sasa inatuma makombora yale mazitomazito na mapya

Rumours zinasema Israel imeanza kumuomba Trump aitishe ceasefire.
 
Back
Top Bottom