hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,678
- 27,653
Iran katika Mashambulizi yake ya Maombolezo mpaka sasa ameshaanza kutumia Silaha zake za hali ya juu na technogia yake ya juu. Wakati ambao wenzake kama Israel wao wanatumia bado silaha na technogia za kawaida kabisa na ni katika kujilinda tu. Si vita bali bado ni operation tu