comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Pray for Iran 😭💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la bandar pahlavi
Pray for Iran 😭💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la bandar pahlavi
Dimona iko wapi mkuu!
Hii Dimona iliyopigwa iko wapi sheikh?Pray for Iran, Mimi kama muislamu wa masjid mchambawima nawaombea dua ndugu zangu katika imani
Mkuu nimewauliza wale kila saa wanapost to muda huu israel na marekani zinashambulia sehem fulani
Wanajaribu kubalance the scale!!!Mkuu nimewauliza wale kila saa wanapost to muda huu israel na marekani zinashambulia sehem fulani
Mbona hii ya Dimona hawapost?
Angalia Tv muda huu wanareport kilichokea Arad mbona humu hawapost!!!Wanajaribu kubalance the scale!!!
Hakuna sehemu Israel inalindwa kushinda Dimona, ilivyochakazwa Leo means Israel kwisha habari Yao, sasa hivi utaanza kusikia kelele za Ceasefire,Eweeh msomi kiladha, popote pale ulipo!
Turudishane darasani.
Haya, define MASS CASUALTY!
View attachment 3561225
Kumbuka, Trump na Netanyahu ni MAZUZU, walijua kabisa haya yatatokea!!!