Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Baada ya hii vita Marekani atakosa soko la silaha kwa namna fulani sababu silaha zake zimeonesha udhaifu mkubwa dhidi ya silaha na Iran, inawezekana pia Iran soko lake la silaha likakua kwa namna fulani ikiwa vikwazo vitaondolewa na kwa kuwa silaha zake zimeonesha ubora
 
Nasikia kizimkazi ndio capital ya Machoko na mabwabwa, yamezidi hata San Francisco, halafu usitujazie server na takataka za ai
Typical ***** by nature
Nenda katengeneze AI weka hapa kama unavyodai, punga wewe acha kupanua matako na kubadili dushe angani
 
Iran naye fala tu, yaani unashindwa kumkamata rubani yupo kwenye ardhi yako siku 2, huyu angekuwa ni rubani wa Iran kaangukia Israel nusu saa isingepta kashadakwa, hii ni kutokana na ubovu wa ujasusi wa Iran😀 natamani hii mission ya kibabe itengenezewe movie fulani kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…