Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Sasa kama soko linaungua katikati ya mji na zimamoto ndio wanakimbizana kwenda mtoni kuchota maji na soko zima linateketea unapaita ujasiri wapi wa kusema nchi ya Iran Haina jeshi?

Sio eneo lote la nchi Lina coverage ya wanajeshi na pengine haikuwa kipaumbele chao kutumia wanajeshi ambao wako bize MAENEO mengine ya kimkakati kwenda kumsaka mtu mmoja ambae mwisho wa siku asinge saidia kuzuia marekani na Israel kushambulia Iran
Walitangaza dau 90,000$ kwa raia atakafanikisha kutoa location lakini wapi mzee.. mtaongea kila neno ili kuficha aibu lakini hii ni failure!
 
MWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI KWA TRUMP KIBOKO YA ALLAH NA MAGAIDI 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥

BREAKING NEWS

Baada ya saa 48 za taharuki, hofu, na msako mkali katika milima ya Iran, rubani wa pili (Weapons Systems Officer) wa ile F-15E Strike Eagle ameshaokolewa alfajiri ya leo, Jumapili, Aprili 5, 2026.

"WE GOT HIM!" — Tangazo la Trump

Rais Trump, kupitia mtandao wake wa Truth Social saa chache zilizopita, amethibitisha uokoaji huo kwa maneno ya ushindi:

"Ndugu Wamarekani... Jeshi la Marekani limetekeleza moja ya operesheni za kishujaa na hatari zaidi za uokoaji (SAR) katika historia ya nchi yetu... Shujaa wetu sasa yuko SALAMA!"

Trump anasema:

TUMEMPATA!

Wamarekani wenzangu, katika saa chache zilizopita, jeshi la Marekani limefanikiwa kutekeleza moja ya operesheni za uokoaji (Search and Rescue) za ujasiri mkubwa zaidi katika historia ya Marekani, kwa ajili ya mmoja wa maafisa wetu muhimu wa kikosi, ambaye pia ni Kanali anayeheshimika sana, na ninafuraha kuwajulisha kuwa sasa yuko salama kabisa!

Shujaa huyu alikuwa nyuma ya mistari ya adui katika milima hatari ya Iran, akiwindwa na maadui wetu ambao walikuwa wakimkaribia zaidi kila saa, lakini hakuwa peke yake kwa sababu Amiri Jeshi Mkuu, Waziri wa Ulinzi, Mwenyekiti wa Wakuu wa Majeshi, na wanajeshi wenzake walikuwa wakifuatilia eneo lake saa 24 kwa siku na kupanga kwa makini uokoaji wake.

Kwa maelekezo yangu, jeshi la Marekani lilituma ndege nyingi zikiwa na silaha kali zaidi duniani ili kumwokoa. Alipata majeraha, lakini atakuwa sawa.

Operesheni hii ya ajabu ya uokoaji imeongezeka juu ya mafanikio ya kumwokoa rubani mwingine jasiri jana, jambo ambalo hatukuthibitisha wakati huo kwa sababu hatukutaka kuhatarisha operesheni ya pili ya uokoaji.
Hii ni mara ya kwanza katika historia ya kijeshi ambapo marubani wawili wa Marekani wameokolewa, kwa nyakati tofauti, ndani kabisa ya eneo la adui.

HATUTAWAHI KUMWACHA MWANJESHI WA MAREKANI NYUMA!

Ukweli kwamba tumeweza kufanikisha operesheni hizi zote mbili bila Mmarekani hata mmoja kuuawa au hata kujeruhiwa unaonesha tena kuwa tumefikia ubora mkubwa wa anga na nguvu juu ya anga ya Iran.

Huu ni wakati ambao Wamarekani wote—Republican, Democrat, na wengine wote—wanapaswa kujivunia na kuungana. Tuna jeshi bora zaidi, lenye weledi mkubwa na lenye nguvu zaidi katika historia ya dunia.

MUNGU IBARIKI MAREKANI, MUNGU IBARIKI WANJESHI WETU, NA HERI YA PASAKA KWA WOTE!
 
Nilishawaambiwa kwamba, Iran kwa ujasusi ni HAKUNA KITU. Watu wanaingia nchini kwako wanaua viongozi wako na wanaingia na kumwokoa mwanajeshi wao na kisha kutoka. IRGC wote waliokuja kumsaka mwanajeshi wa Marekani wameuawa na Delta force.
 
Nani ana ushahidi huyo Pilot ameokolewa?.

Video iko wapi, picha iko wapi?
Hapa Marekani inaweza kuwa inacheza psychological game, kuboost morali ya Jeshi lake na kucover defeat.

Iran wanadai wametungua hellicopter mbili na ndege ya tanker ya kunywesha hizo hellicopter
Press Secretary of the Central Headquarters of "Khatam al-Anbia" of the IRGC:

The enemy's unsuccessful attempts, with the help of the Almighty and the timely actions of the joint forces of the Islamic Revolutionary Guard Corps, the Army of the Islamic Republic of Iran, the heroic "Basij" and law enforcement forces, to rescue the pilot of a downed fighter jet failed.

Enemy aerial targets in the south of Isfahan, including two Black Hawk helicopters and one C-130 military transport aircraft, were hit. They are currently destroyed and burning in the fire of strikes by the forces of the Islamic Republic.
 
Taarifa hii ndiyo zawadi bora ya Pasaka kuwahi kuipokea tangu kuzaliwa.

Trump ,ndiyo Rais wengine wote ni maraisi .

Trump, kama si mwanangu basi mjukuu wangu atabeba jina lako,tena si jina la Donald bali jina la Trump maana kuna vilaza wengi wanaitwa Donald but Trump is only you.

Mungu akubariki sana na walaaniwe wote wanaokulaani.

Wote wapenda Amani ya kweli na waseme amina .
 
Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Mike Waltz amewapongeza wanajeshi wa Marekani kwa kufanikisha oparesheni ya kumuokoa mwanajeshi mwenzao aliyekuwa amekwama Iran baada ya ndege yao kudunguliwa.

Rais Trump naye ameitaja oparesheni hiyo kama hatari zaidi kuwahi kutokea katika historia ya Marekani.

#RFIKiswahili #iran #usarmy
 
Mimi ninachoamini ni kuwa hii vita bado ngumu pande zote na nikutokana na kinachoendelea lakini wewe unaamini Israel ndio anapiga tu ila Iran haishambulii unaona huo utofauti?

Lakini endelea kuamini unachopenda mkuu 🙏
IMG_20260405_100132.jpg

Endelea kuamini
 
Ajabu ni kwamba ndege inapigwa inaanguka ndani ya Iran ila Marekani anaingia na kuchukua watu wake! Sasa hio nchi ina keshi kweli? Rubani wa ndege mlioipigia mnashindwa kumpata ila USA anatoka huko ndege zake anakuja kumchukua huyo rubani.
Binafsi bado naamini huyu rubani alisaidiwa kujificha na wananchi wa Iran, ambao ninauhakika walilipwa vizuri.
Kingine wanajeshi wengi wa Iran wameuliwa kwenye hii OP
 
Nani ana ushahidi huyo Pilot ameokolewa?.

Video iko wapi, picha iko wapi?
Hapa Marekani inaweza kuwa inacheza psychological game, kuboost morali ya Jeshi lake na kucover defeat.

Iran wanadai wametungua hellicopter mbili na ndege ya tanker ya kunywesha hizo hellicopter
Hajaokolewa mkuu. Yuko jela Tehran.
 
Marekani analeta propaganda za Rambo na Chuck Norris kwenye misitu ya Vietnam.

Hii ishu ina harufu ya ufekifeki, na Propaganda ili kuficha aibu ya Marekani ya wiki hii.
Wanafurahia kumuokoa rubani mean while ndege iliyokuwa inasemekana kuwa haionekani kwenye radar imetunguliwa kama maembe Hilo tu lilitosha kuwa fanya waone haya na waukimbie huu Uzi
 
Binafsi bado naamini huyu rubani alisaidiwa kujificha na wananchi wa Iran, ambao ninauhakika walilipwa vizuri.
Kingine wanajeshi wengi wa Iran wameuliwa kwenye hii OP

New york times inadai eti ndege zao mbili zilizotumwa kumchukua rubani , Wamarekani waliamua kuziharibu wao wenyewe kwa kuwa ziligoma kupiga kazi, eti kisha wakaagiza nyingine tatu zije zikamilishe mission. Nani anaweza kukubali drama hii kirahisirahisi?.
 
Ndio akili za kiisilamu zilivyo na Iran wote mnapoona uhai wa mtu sio muhimu kulinganisha na vifaa ndio maana missiles zimejengewa shelters ina wananchi wako exposed kama uchi wa kuku
Wangekua ni Iran wangemtelekeza mwanajeshi wao 😄

Jamaa wajinga sana,wanadai wao kufa ni thawabu,yaani wangemuacha huko huko ajifie milimani

Wa Iran ni mahodari kwa kuongea tu hawana lolote
 
Back
Top Bottom