Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kile wamekutanana nacho kwa Wairani
Hawakutegemea kwasasa Serikali ya Trump inawasiwasi kupoteza Udhibiti wa Mabunge yote mawili !!!

Na wezao Democratic kupitia kamati zao za mambo ya Nje na ulinzi na usalama kipindi ichi ndio wanataka kwenda kukagua Military Base maeneo ya Middle East lengo waje na report
kuchagiza kupitishwe muswada wa uchunguzi

waitwe wakuu wa Jeshi watoe maelezo upya hasara za jumla kwenye zile kambi zao ni zipi

Democratic wanajua fika wakitumia vema fursa yasasa sio Bunge tu mpaka Uchaguzi mkuu watamondoa kiwepesi
kabisa Trump ✍️
 
Hapo Hormuz hakipiti kitu bila idhini ya kiranja wa dunia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…