Kitendo cha Israel Kumuua Haniya akiwa nchini Iran kwa shambulizi ambalo hata Iran wenyewe hawajui limefanyikaje, kuwapiga wahouth na kulipua maghala yao ya mafuta na kupiga na Lebanon kwa wakati mmoja, kinaonesha kwamba jamaa anamkono wa kupiga mashariki ya kati muda wowote na saa yeyote anayoamua yeye.
Kifo cha kiongozi wa Hamas akiwa nchini Iran pamoja na kifo cha rais wa iran kwa ajali ya helicopta katika mazingira ya kutatanisha kinaonesha kwamba Iran bado ni kama mtoto mdogo anayejaribu kupambana na Baba yake. Kama Israel anafanya mauaji hayo ndani ya ardhi ya Iran je hizo teknologia za Iran zinazosifiwa huku kila siku ziko wapi?
Je, Iran ambae anataka kutawala mashariki ya kati ataweza kupambana na Myahudi?
Iran ajaribu kuwaangalia wenzake Egypt na Saudia walivotulia maana wanamjua vizuri kaka yao Myahudi a.k.a mtoto wa Baba mkubwa.