Lebanon watalipiza,Yemeni watalipiza na Hamas watalipiza.apo gaza yamebaki magofu tu jipeni moyo
apo gaza yamebaki magofu uko lebanon kunawaka moto kaja yemen kichwakichwa kachezea kipigo cha mbwa koko
Ninyi tulieni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lebanon watalipiza,Yemeni watalipiza na Hamas watalipiza.apo gaza yamebaki magofu tu jipeni moyo
apo gaza yamebaki magofu uko lebanon kunawaka moto kaja yemen kichwakichwa kachezea kipigo cha mbwa koko
Ilipigwa buckerbuster Moja tu,kwenye kambi ya wakimbizi wa Palestine,kelele zilifika mbinguni je wakipiga 20 SI Gaza yote imeshapinduliwa miguu chini kichwa juu,sema wanaangalia na uwepo wa raia wema TU.Gaza haijashindikana vita kuisha mapema sema ni hawa magaidi wa hamas kutumia miundo mbinu ya kiraia na kuvaa kiraia kipindi cha mapigano
hahahaa kwanza pole na msiba... iran bado mchumba tuu yule ni mtoto wa kike bado anapigwa kijinga sana asee hadi anatia aibu..Uliza tukufundishe kuliko kuleta mada za kiduwanzi.
-Kifo cha Haniyeh kinaweza kufanyika kiwepesi kwasababu Iran kuna wayahudi zaidi ya laki 8 wanaishi,hivyo kumpata pandikizi wa shambulio ni rahisi,ni kama Alshabaab wanavyoshambulia Kenya kiwepesi kwasababu wasomali wapo wengi Kenya,hivyo haimaanishi kubwa Kenya dhaifu mbele ya Somalia.
-Kifo cha Ebrahim Raisi Netanyahu alishakataa na kukanusha kuwa hahusiki kabisa.
-Shambulizi la Yemeni pale Hodeidah limefanywa kwa usaidizi wa mabwana zake wa magharibi.
Usidhani kuwa Lebanon,Yemeni na Gaza hawatalipia kisasi.
-Iran ni mbabe na mtawala wa Middle east kwasababu hakuna taifa linalopingana na yeye pale.Na yeye ndiye mkuu wa axis of resistance.
hahahahaaaa.. waarabu kama yemen wanajifanya ni vichaa wasio na cha kupoteza, ila myahudi ni kichaa na nusuLebanon watalipiza,Yemeni watalipiza na Hamas watalipiza.
Ninyi tulieni.
pole sana asee naona umechanganyikiwa hadi uwezo wa kufikiri umeisha inaonesha hujaamini kabisa unasema eti iran kuna wayahudi ndo mana israel inafanya mashambulizi ndani ya irani, je kwan israel kwenyewe hakuna waarabu? mbona iran haiwezi kurusha hata njiwa ndani ya israel?Uliza tukufundishe kuliko kuleta mada za kiduwanzi.
-Kifo cha Haniyeh kinaweza kufanyika kiwepesi kwasababu Iran kuna wayahudi zaidi ya laki 8 wanaishi,hivyo kumpata pandikizi wa shambulio ni rahisi,ni kama Alshabaab wanavyoshambulia Kenya kiwepesi kwasababu wasomali wapo wengi Kenya,hivyo haimaanishi kubwa Kenya dhaifu mbele ya Somalia.
-Kifo cha Ebrahim Raisi Netanyahu alishakataa na kukanusha kuwa hahusiki kabisa.
-Shambulizi la Yemeni pale Hodeidah limefanywa kwa usaidizi wa mabwana zake wa magharibi.
Usidhani kuwa Lebanon,Yemeni na Gaza hawatalipia kisasi.
-Iran ni mbabe na mtawala wa Middle east kwasababu hakuna taifa linalopingana na yeye pale.Na yeye ndiye mkuu wa axis of resistance.
Huamini kama Haniya kafa 😂😂Uliza tukufundishe kuliko kuleta mada za kiduwanzi.
-Kifo cha Haniyeh kinaweza kufanyika kiwepesi kwasababu Iran kuna wayahudi zaidi ya laki 8 wanaishi,hivyo kumpata pandikizi wa shambulio ni rahisi,ni kama Alshabaab wanavyoshambulia Kenya kiwepesi kwasababu wasomali wapo wengi Kenya,hivyo haimaanishi kubwa Kenya dhaifu mbele ya Somalia.
-Kifo cha Ebrahim Raisi Netanyahu alishakataa na kukanusha kuwa hahusiki kabisa.
-Shambulizi la Yemeni pale Hodeidah limefanywa kwa usaidizi wa mabwana zake wa magharibi.
Usidhani kuwa Lebanon,Yemeni na Gaza hawatalipia kisasi.
-Iran ni mbabe na mtawala wa Middle east kwasababu hakuna taifa linalopingana na yeye pale.Na yeye ndiye mkuu wa axis of resistance.
Ninaamini kafa ndio maana nimesema kifo cha Haniyeh KIMEFANIKIWA kwasababu Iran kuna wayahudi zaidi ya laki 8 kama raia wa Iran.Je utajuaje kama kuna mapandikizi wa MOSSAD!?Huamini kama Haniya kafa 😂😂
Ona ulivyo punguani.pole sana asee naona umechanganyikiwa hadi uwezo wa kufikiri umeisha inaonesha hujaamini kabisa unasema eti iran kuna wayahudi ndo mana israel inafanya mashambulizi ndani ya irani, je kwan israel kwenyewe hakuna waarabu? mbona iran haiwezi kurusha hata njiwa ndani ya israel?
Kuna jambo ambalo Israel anafanya halafu analikataa!?hahahaa kwanza pole na msiba... iran bado mchumba tuu yule ni mtoto wa kike bado anapigwa kijinga sana asee hadi anatia aibu..
halafu unasema kifo cha raisi wa iran netanyahu alikataa kuhusika kwa hiyo ulitaka akubali kuhusika? kweli naona umechanganyikiwa.. ebu tulia kwanza presha ishuke..kunywa kikombe kimoja cha kahawa kwanza ushushe sukari.
Hujitambui.Nikupige wakati umekaa na watoto wangu uliowateka?Nitakuwa najipiga.Umeelewa?Vita ya pale ghaza imeonesha uwezo halisi wa jeshi la Israeli linapo lipigana vita bila kusaidiwa kieneo kidogo kama ghaza kinawatoa jasho karibia mwaka sasa. Yaani ingetokea vita kati ya Israeli na jwtz ya hapa Tanzania nakuhakikishia ndani ya wiki 2 tu mama Samia angeteua wakuu wapya wa wilaya za Tel aviv,haifa,netanyau, galilee,na, Jerusalem
Tafadhali waombe Moderators wabadilishe Heading yako hapo na isomeke Israel ni Mbabe wa dunia na hakuna wa Kumuweza sawa?Kitendo cha Israel Kumuua Haniya akiwa nchini Iran kwa shambulizi ambalo hata Iran wenyewe hawajui limefanyikaje, kuwapiga wahouth na kulipua maghala yao ya mafuta na kupiga na Lebanon kwa wakati mmoja, kinaonesha kwamba jamaa anamkono wa kupiga mashariki ya kati muda wowote na saa yeyote anayoamua yeye.
Kifo cha kiongozi wa Hamas akiwa nchini Iran pamoja na kifo cha rais wa iran kwa ajali ya helicopta katika mazingira ya kutatanisha kinaonesha kwamba Iran bado ni kama mtoto mdogo anayejaribu kupambana na Baba yake. Kama Israel anafanya mauaji hayo ndani ya ardhi ya Iran je hizo teknologia za Iran zinazosifiwa huku kila siku ziko wapi?
Je, Iran ambae anataka kutawala mashariki ya kati ataweza kupambana na Myahudi?
Iran ajaribu kuwaangalia wenzake Egypt na Saudia walivotulia maana wanamjua vizuri kaka yao Myahudi a.k.a mtoto wa Baba mkubwa.
🤔🤔🤔🤔🤣🤣🤣🤣🤣🙏Uliza tukufundishe kuliko kuleta mada za kiduwanzi.
-Kifo cha Haniyeh kinaweza kufanyika kiwepesi kwasababu Iran kuna wayahudi zaidi ya laki 8 wanaishi,hivyo kumpata pandikizi wa shambulio ni rahisi,ni kama Alshabaab wanavyoshambulia Kenya kiwepesi kwasababu wasomali wapo wengi Kenya,hivyo haimaanishi kubwa Kenya dhaifu mbele ya Somalia.
-Kifo cha Ebrahim Raisi Netanyahu alishakataa na kukanusha kuwa hahusiki kabisa.
-Shambulizi la Yemeni pale Hodeidah limefanywa kwa usaidizi wa mabwana zake wa magharibi.
Usidhani kuwa Lebanon,Yemeni na Gaza hawatalipia kisasi.
-Iran ni mbabe na mtawala wa Middle east kwasababu hakuna taifa linalopingana na yeye pale.Na yeye ndiye mkuu wa axis of resistance.
Kwa hiyo unajua zaidi kuliko Israel wanavyojua au unabuni tu?🤣Kuna jambo ambalo Israel anafanya halafu analikataa!?
Jibu ni HAPANA.
Israel akifanya jambo basi hulitangaza na kujitapa.Hata alivyolipua balozi ya Iran pale Syria alijitapa na kusambaza video kibao akijisifu.
Mbona hilo la Ebrahim alilikataa?
Ndio ujue kweli hakufanya.Aya wee unayesema alifanya lete ushahidi.
😂😂😂😂 Mkuu kiongozi wa Israel Netanyahu AMEKATAA KATA KATA kuwa hajahusika na kifo cha rais wa Iran.Kwa hiyo unajua zaidi kuliko Israel wanavyojua au unabuni tu?🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🙏🙏🙏Na ukamuamini?😂😂😂😂 Mkuu kiongozi wa Israel Netanyahu AMEKATAA KATA KATA kuwa hajahusika na kifo cha rais wa Iran.
Sasa mwenzangu unayeishi Majimatitu unapata wapi nguvu ya kukazana kuwa Israel anahusika!??
😂😂😂😂😂😂Lazima nimuamini kwasababu mbili ama tatu;🤣🤣🤣🤣🤣🙏🙏🙏Na ukamuamini?
Upo sahihi sana.🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂Lazima nimuamini kwasababu mbili ama tatu;
-Kwanza hakuna ushahidi wa yeye kuhusika na pia usafiri wa rais ndio ulikua usafiri wa zamani kuliko helikopta zote.
-Pili yeye amekanusha kwa mdomo wake hajahusika.
-Tatu Netanyahu ni mtu wa kusema kama kafanya kitu,mfano alipolipua balozi ya Iran ndani ya Syria video walisambaza na kujitapa.Kwahiyo mpaka amekataa basi lazima uamini hajahusika.
mauaji ya haniya amekubali kwamba ni yeye ameyafanya?Kuna jambo ambalo Israel anafanya halafu analikataa!?
Jibu ni HAPANA.
Israel akifanya jambo basi hulitangaza na kujitapa.Hata alivyolipua balozi ya Iran pale Syria alijitapa na kusambaza video kibao akijisifu.
Mbona hilo la Ebrahim alilikataa?
Ndio ujue kweli hakufanya.Aya wee unayesema alifanya lete ushahidi.
Je alionesha waraka wa kukataa!?mauaji ya haniya amekubali kwamba ni yeye ameyafanya?