Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Hahaha mimi wakuza nyanya tandale labda unanifanisha ns.mjomba wako.Yaani wewe unayechuuza nyanya hapo Tandale Sokoni ndio uwe na akili kushinda waisraeli hivi una akili timamu kweli..😧😧 Wewe huijui Israel lakini mdogo mdogo utakuja kuifahamu hilo taifa teule.
Endeleo kuota mjomba wako huko Tela Aviv yuko kwenye mashimo ya panya ana ogopa kipigo.