Israel ndiyo mbabe wa Mashariki ya Kati

apo gaza yamebaki magofu tu jipeni moyo



apo gaza yamebaki magofu uko lebanon kunawaka moto kaja yemen kichwakichwa kachezea kipigo cha mbwa koko
Lebanon watalipiza,Yemeni watalipiza na Hamas watalipiza.
Ninyi tulieni.
 
Inabidi ifikie kipindi tuache kushupaza shingo kuhusu hili, tunamchukia Mzayuni, lakini ni mtu na nusu.
 
Gaza haijashindikana vita kuisha mapema sema ni hawa magaidi wa hamas kutumia miundo mbinu ya kiraia na kuvaa kiraia kipindi cha mapigano
Ilipigwa buckerbuster Moja tu,kwenye kambi ya wakimbizi wa Palestine,kelele zilifika mbinguni je wakipiga 20 SI Gaza yote imeshapinduliwa miguu chini kichwa juu,sema wanaangalia na uwepo wa raia wema TU.
 
hahahaa kwanza pole na msiba... iran bado mchumba tuu yule ni mtoto wa kike bado anapigwa kijinga sana asee hadi anatia aibu..

halafu unasema kifo cha raisi wa iran netanyahu alikataa kuhusika kwa hiyo ulitaka akubali kuhusika? kweli naona umechanganyikiwa.. ebu tulia kwanza presha ishuke..kunywa kikombe kimoja cha kahawa kwanza ushushe sukari.
 
Lebanon watalipiza,Yemeni watalipiza na Hamas watalipiza.
Ninyi tulieni.
hahahahaaaa.. waarabu kama yemen wanajifanya ni vichaa wasio na cha kupoteza, ila myahudi ni kichaa na nusu
 
pole sana asee naona umechanganyikiwa hadi uwezo wa kufikiri umeisha inaonesha hujaamini kabisa unasema eti iran kuna wayahudi ndo mana israel inafanya mashambulizi ndani ya irani, je kwan israel kwenyewe hakuna waarabu? mbona iran haiwezi kurusha hata njiwa ndani ya israel?
 
Huamini kama Haniya kafa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huamini kama Haniya kafa πŸ˜‚πŸ˜‚
Ninaamini kafa ndio maana nimesema kifo cha Haniyeh KIMEFANIKIWA kwasababu Iran kuna wayahudi zaidi ya laki 8 kama raia wa Iran.Je utajuaje kama kuna mapandikizi wa MOSSAD!?
Ni kama Kenya wanavyoshambuliwa kirahisi ndani ya mipaka yao na Alshabaab,ni kwasababu Wasomali wapo wengi sana Kenya.
Hata sisi Tanzania alshabaab ikiamua kutunyuka kwa kushtukiza inaweza vizuri tu.
Maana msikute mmekaa kumbe Hussein Bashe mfuasi wa Alshabaab.
Shida ni wayahudi wanaokaa Iran.
 
Ona ulivyo punguani.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Israel waarabu wapo na ndio maana wameweza kushambulia OCTOBER 7 kirahisi.
Pia ndio maana wameweza kushambulia kaskazini Israel kirahisi.
Ila suala la assassination attempt la kiongozi ni jambo lengine.
Iran na waajemi sio waarabu.
Hakuna Wairan ambao wanaishi Israel kwa idadi kama wayahudi wanaoishi Iran.
Ndio maana kwa Israel kupandikiza MOSSAD ni rahisi kuliko wa Iran kupandikiza jasusi Israel.
Acha kufikiria kwa makalio.
 
Kuna jambo ambalo Israel anafanya halafu analikataa!?
Jibu ni HAPANA.
Israel akifanya jambo basi hulitangaza na kujitapa.Hata alivyolipua balozi ya Iran pale Syria alijitapa na kusambaza video kibao akijisifu.
Mbona hilo la Ebrahim alilikataa?
Ndio ujue kweli hakufanya.Aya wee unayesema alifanya lete ushahidi.
 
Hujitambui.Nikupige wakati umekaa na watoto wangu uliowateka?Nitakuwa najipiga.Umeelewa?
 
Tafadhali waombe Moderators wabadilishe Heading yako hapo na isomeke Israel ni Mbabe wa dunia na hakuna wa Kumuweza sawa?
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™
 
Kwa hiyo unajua zaidi kuliko Israel wanavyojua au unabuni tu?🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mkuu kiongozi wa Israel Netanyahu AMEKATAA KATA KATA kuwa hajahusika na kifo cha rais wa Iran.
Sasa mwenzangu unayeishi Majimatitu unapata wapi nguvu ya kukazana kuwa Israel anahusika!??
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™πŸ™πŸ™Na ukamuamini?
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™πŸ™πŸ™Na ukamuamini?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Lazima nimuamini kwasababu mbili ama tatu;
-Kwanza hakuna ushahidi wa yeye kuhusika na pia usafiri wa rais ndio ulikua usafiri wa zamani kuliko helikopta zote.
-Pili yeye amekanusha kwa mdomo wake hajahusika.
-Tatu Netanyahu ni mtu wa kusema kama kafanya kitu,mfano alipolipua balozi ya Iran ndani ya Syria video walisambaza na kujitapa.Kwahiyo mpaka amekataa basi lazima uamini hajahusika.
 
Upo sahihi sana.🀣🀣🀣
 
mauaji ya haniya amekubali kwamba ni yeye ameyafanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…