Israel ndiyo mbabe wa Mashariki ya Kati

Je alionesha waraka wa kukataa!?
That's a game of death.Unategemea akubali tu?Anakubali sehemu ambazo ameacha ushahidi.Anyway,kwa hiyo tukisema Israeli haijahusika,ina maana hao wanaouwawa kumbe huwa tayari wana maadui wao!?
 

washambuliaji wa october 7 walitokea ndani ya israel au walitokea palestina wakavuka fence ndo wakaingia ndani?

hao waarabu walioshambulia kaskazini israel kirahisi walitokea wapi? si hezboah? kwani hezbola wapo israel au lebanoni?

iran ni muajemi ila washirika wake wote wa mashariki ya kati ni waarabu yeye peke yake ndo muajemi kumbuka hapa kigezo ni ushia sio uajemi wala uarabu

kwa hiyo kama kigezo cha kupandikiza ujasusi ni hicho basi ujue kwamba israel waarabu wapo kumbuka kwamba hezbola walishapandikiza jasusi wa kiarabu ambae ni muisrael kwenye jeshi la israel lakini hakuchukua hata wiki moja akaliwa kichwa unachotakiwa ukubali ni kwamba israel kwa intelijinsia yuko mbele ya muarabu na hicho ndo kinachompa jeuri ya kukaa mashariki ya kati, muajeni akili yake aliiweka kwenye makombora na droni ambazo hata hizo zimeshamshinda

pia kusema kwamba hakuna wairan wengi ndani ya israel unataka kumaanisha kwamba kigezo cha kupandikiza ujajusi kwenye nchi ni idadi ya watu sio? kagame kapandikiza majasusi wangapi hapa east africa? vipi we shehe ubwabwa?
 
Wewe jamaa unaonekana hujui maana halisi ya intellijensia inavyofanya kazi , huwezi kusema swala lilikuwa jepesi kwasababu kulikuwa na Wayahudi Iran...Hivi unajua huyo jamaa alikuwa akilindwa na serikali ya Irani yenyewe maana alikuwa ni target ya Israeli muda wote.

Kitendo cha MOSSAD kuuwa kibarazani kwa Iran ni tusi kubwa sana na inaonyesha ni kwa namna gani muunganiko wa intellijensia ndani ya Iran upo Shallow.

Nikukumbushe tu MOSSAD wamekamilisha misheni nyingi sana za kijasusi Iran kuliko Kitengo chochote kile duniani ,hata hizo ambazo zilifanikishwa na CIA na M16 zote MOSSAD alishirikishwa kutoa tarifa muhimu
 
Je alionesha waraka wa kukataa!?
hahahaaaa.. unataka akubali au akatae ili iweje? yeye alishasema atadeal na viongozi wa hamas waliopanga mashambulizi israel..sasa kukubali au kukataa kwake sio point
 
That's a game of death.Unategemea akubali tu?Anakubali sehemu ambazo ameacha ushahidi.Anyway,kwa hiyo tukisema Israeli haijahusika,ina maana hao wanaouwawa kumbe huwa tayari wana maadui wao!?
Inategemea na kipi unazungumzia mkuu.
Kama suala la Ebrahim Raisi uadui wa ndani pia ulizungumziwa.
 
hahahaaaa.. unataka akubali au akatae ili iweje? yeye alishasema atadeal na viongozi wa hamas waliopanga mashambulizi israel..sasa kukubali au kukataa kwake sio point
Unaruka ruka kama maharage yanayoiva.
 

Shekhe ubwabwa
 
Sio kama sijui bali inaonesha kuwa HUELEWI NINI NINAZUNGUMZIA.

Labda nikueleweshe kiwepesi.
Hivi Iran ina uwezo wa kuweka pandikizi Israel!?
Jibu no ni ngumu,kwasababu ataanzia wapi na kwa namna gani!?
Ila Israel anao uwezo wa kupandikiza MOSSAD kwasababu ya jamii ya kiyahudi inayoishi na URAIA KAMILI pale Iran.
Hiyo jamii ina hadi haki ya kugombea uongozi na kuwa na nyadhifa tofauti serikalini.
Hivyo ni rahisi kwa wao kuweka pandikizi kama wakitaka.
Maana STARTING POINT wanayo tayari.Hadi jeshini pia wana haki ya kuwania nafasi.
Utajuaje kama moja ya walinzi walikua ni jamii hiyo ya wayahudi!?
Hata Egypt Israel ilifanikiwa kujipenyeza mkondo wa nile kwasababu wana jamii ndani ya Egypt.
Unaleta ujuaji mwingi halafu jambo dogo sana unashindwa kulielewa.
 
hata uturuki baada ya kuitishia israel, wamejikuta kwenye kampeni kwamba NATO imfute uanachama. na nato wakifanya hivyo tu maana yake makombora yote ya nato ya nukes yaliyopo uturuki watayaondoa, na nato hawataisaidia uturuki kwenye vita yeyote na uturuki haitakuja kufikia ndoto yake ya kujiunga na EU. ikumbukwe kwamba, uturuki ndio taifa pekee halijulikani lipo bara gani, kila bara wanamkataa, ukisema ulaya hawapo ulaya ,ukisema Asia hawapo asia wanajifanya wazungu. ni mazmbukuku tu hata hawaeleweki.
 
Wewe ndio huelewi , unadhani Pandikizi lazima awe na asili ya Israeli , Bro upo Shallow sana kwenye mambo ya ujasusi, unadhani hio misheni ya kimauaji imekamilishwa na Myahud pekee hapo kuna usaliti umetokea ..Sio kwamba Irani anashindwa kupandikixa.shushu Israeli kwasababu raia wake hawapo Israeli , sababu ni moja tu uwezo hana kwasababu mfumo wa intelligensia wa Israeli upo strong, hebu nenda kapekue pekue mtandaoni ujifunze , mimi mambo ya Ubishani siwezi
 
Na mimi sibishani kwasababu huwa siwezi majadiliano na mtu MUCH KNOW.
Baki unachoamini na mimi nitabaki nachoamini.
Much know huwa simuwezagi mimi.
Nenda salama.
 
Mbona umechanganyikiwa shehe hata unachoandika kinaonyesha umepagawa na kifo cha Haniyeh bado kidogo kina kuja kifo cha Nasrullah
Israeli anafeli anadhani kuua viongozi kutazima moto wa kifuu wanaopelekwa idf hii ni ideology alikufa arafat tena walimuua lakini shughuli iko pale pale hata kaa kwa amani watu wanaongozwa na aya sio Ismail Haniyeh
 
Na mimi sibishani kwasababu huwa siwezi majadiliano na mtu MUCH KNOW.
Baki unachoamini na mimi nitabaki nachoamini.
Much know huwa simuwezagi mimi.
Nenda salama.
sawa ila pointi yako ya kusema ili ujasusi ufanikiwe ni lazima kuwa na raia wa asili ndani ya taifa husika ni pointi nyepesi sana katika Ulimwengu wa kijasusi , narudia sikatai pointi yako lakini ni nyepesi sana.
Hakuna anaezaliwa kuwa jasusi huwa wanatengenezwa , ni rahisi kuwezesha ujasusi kwa kumtumia Native kuliko yule mwenye vinasaba na nchi adui , hio ni kwasababu ya Coverup , KAJISOMEE
 
ao watoto wanauliwa na hamas wenyewe kama wanaume kweli wanaendaje kujificha kwa watoto na wamama Israel anajibu mashambulizi ukouko walipo.
hizo ni dhana zako unazolishwa na western media ambazo zinamilikiwa na yahudi
 
Hukuona akitoa tangazo la raia wa kawaida wahamie kusini mwa Gaza ili wapambane na Hamas kwa wepesi...

Vita vya mtaani ni vigumu kuliko vita vya piga popote...
hakuna kusini wala kaskazini kwa Gaza kote anapiga tu, anataka awamalize apate ile ardhi
 
Israel ni US,British na France Middle East.Israel ni jimbo na sio nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…