Mama yangu si wewe. Kuanzia uanze kushabikia hao Wayahudi umenufaika na nini?Kamuulize mama yako atajibu huo UHARO wako!!!
matusi tena. Imekusaidia nini?. Unashabikia binadamu wenzako kupata majangaKamuulize mama yako atajibu huo UHARO wako!!!
Walilazimishwa na nani kufanya mauaji ya kutisha Oct 07,2023? Mbona wao walibaka,kuteka na kuua watu wasio na hatia na hukusema?. Leo hii baada ya kibao kubadirika unajifanya wewe Una utu sana?Watu wanakufa tena hata sio wahusika wewe unachekelea
unajishaua Israel kushinda wakati unajua kwa uhakika kuwa bila Marekani na nchi za Europe kumpa msaada angekwishafyekwa pale jangwani.Kamuulize mama yako atajibu huo UHARO wako!!!
Visingizio vya kijinga kabisa!! Unataka kuniambia Iran yeye hapati misaada kutoka nchi nyingine?unajishaua Israel kushinda wakati unajua kwa uhakika kuwa bila Marekani na nchi za Europe kumpa msaada angekwishafyekwa pale jangwani.
Heshimu wakubwa zako dogoKamuulize mama yako atajibu huo UHARO wako!!!
Hapa ulikuwa unamaanisha nini kijana?Neno Gencide
Wewe echo sijui gecko, mbona una matusi hivyo!!! Au wewe demu??? Halafu tambua kwamba mwanaume yabidi awe na ndevu, mwanamke hatakiwi kuwa na ndevu na hata akiwa na ndevu kila mtu atamshangaa, sasa wewe unashangaa mwanaume kufiga ndevu? Utadonyolewa dogo.Tangia uanze kushabikia Wafuga Midevu na Majini wenzako umenufaika na nini?