bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 8,094
- 7,853
kwani na Israel hakuna wanajeshi waliouwawa, au umeganda na propaganda za tv za ulaya na marekani ambazo kwa asilimia kubwa hawatangazi? Hukuliona lile jengo lao ambalo lilikusanya wanasayansi kibao lilipopigwa na wanasayansi wao kufariki, au na uwanja wa ndege wao ulipochakazwa?Visingizio vya kijinga kabisa!! Unataka kuniambia Iran yeye hapati misaada kutoka nchi nyingine?
Kama Russia ambayo inaitwa Supapawa inasaidiwa na nchi zingine itakuwaje sasa kwa nchi kama Iran ambayo viongozi wake wa kijeshi zaidi 30 waliuwawa kijinga akiwemo Mkuu wa majeshi itakuwaje!? Acha visingizio vya kijinga na kipumbavu!!!!
Acha ujinga usilete mambo ya kusikia hapa!! Mnadanganywa tu na Propaganda uchwarawakati Iran kagaragazwa kama mtoto!!kwani na Israel hakuna wanajeshi waliouwawa, au umeganda na propaganda za tv za ulaya na marekani ambazo kwa asilimia kubwa hawatangazi? Hukuliona lile jengo lao ambalo lilikusanya wanasayansi kibao lilipopigwa na wanasayansi wao kufariki, au na uwanja wa ndege wao ulipochakazwa?
Ningekushauri ukasikiliza pande zote mbili uondoe hiyo bias yako.
mjinga ni wewe usiyejuwa hata kufanya analysis ya reports zinazooyeshwa kwenye tv.Acha ujinga usilete mambo ya kusikia hapa!! Mnadanganywa tu na Propaganda uchwarawakati Iran kagaragazwa kama mtoto!!
Mtu hasiye kuwa na inborn/inbuilt analytical mind hizo analytical skills atazitoa wapi - zaidi ya kuatukana tukana watu/member tuu!!mjinga ni wewe usiyejuwa hata kufanya analysis ya reports zinazooyeshwa kwenye tv.
Si ajabu hata hicho kiingereza kinakupita pembeni.
Jifunze analytical skills stupid!
Hahahahah!! inachekesha na kusikitisha sana.Sijasoma wala kufungua hii video but wewe inakusaidia nini?
Mbona ni Syria apo echolimai vipi Mbona unawaibisha walokole wenzio😀😀Nimekuwa nikiwaambia Wafuga Midevu na Majini kila wakati kuwa Majeshi ya Israel ni miamba isiyotikisika huko Mashariki ya Kati mpaka huko kwa wa aje I!!
Pichani hapo ni Damascus Syria hebu waangalie askari wa Syria wanavyozimenya mbio kukimbia baada ya ndege-vita za Israel kute Bełda jiji hilo asubuhi ya leo.
Kuna mtu ana pikipiki badala ya kuiwasha akimbie nayo yeye kaamua akimbie kwa mguu ama kweli Israel ni kiboko!!
Toka lini Magaidi wakawa binadamu! Uliona walivyofanya Oct 07,2023? Au nawe unajitoa ufahamu!!!
Tos mwiko nyuma huo ujambeNimekuwa nikiwaambia Wafuga Midevu na Majini kila wakati kuwa Majeshi ya Israel ni miamba isiyotikisika huko Mashariki ya Kati mpaka huko kwa wa aje I!!
Pichani hapo ni Damascus Syria hebu waangalie askari wa Syria wanavyozimenya mbio kukimbia baada ya ndege-vita za Israel kute Bełda jiji hilo asubuhi ya leo.
Kuna mtu ana pikipiki badala ya kuiwasha akimbie nayo yeye kaamua akimbie kwa mguu ama kweli Israel ni kiboko!!
Wewe nani katukanwa hapo?Mtu hasiye kuwa na inborn/inbuilt analytical mind hizo analytical skills atazitoa wapi - zaidi ya kuatukana tukana watu/member tuu!!
Please jaribu ku-revisit majibu jibu yake humu ndio utamjua ni binadamu wa type hipi na alikuwa raised/brought up kwenye mazingira gani - so sad!!