Israel ni nchi ya ki-Demokrasi hakuna ubaguzi wowote kwa mtu yeyote

Israel ni nchi ya ki-Demokrasi hakuna ubaguzi wowote kwa mtu yeyote

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Muisraeli wa Buza yupo busy kweli kweli 😂😂😂😂
 
Kuna watu wengi sana wakishakula Maharage ya jana wanakula mstari wa mbele kueneza uongo wa kila aina kuhusu Israel.

Wengi wanaoeneza uongo huo hata hawajui Historia ya Israel na hawajawahi kufika katika nchi hiyo wengi wamemezeshwa uongo na viongozi wao wa kidini na wengine wamevutwa tu na hisia zao Potovu kuhusu Israel!!

View: https://x.com/lizarosen0000/status/1926907680750178416?s=61

View: https://x.com/huntersofnazis/status/1927107906647871785?s=61

We ndo huyo jamaa hapo nini? Hongera zako.
 
Hao ndio wale black Jews nini? Waethiopia mliowapiga dawa za kupunguza kasi ya kuzaliana wasiwe wengi? Wenye shida ya uzazi? Kati hao ndio wayahudi original? Abadani myahudi halisi original yake sio whites, Babu Yao race yake alikua Issac alikua black..
 
Yaani Israel na Palestina, watu wanaeneza propaganda mbaya dhidi ya Israel. Ni kama ambavyo Wazungu siku zote wanaeneza propaganda mbaya dhidi ya Nchi za Africa unless nchini ya Africa iwe na Serikali ambayo ni KIBARAKA WA WAZUNGU
 
Mwamba UZI wa jana adi leo watazamaji ni 104 tu ujagundua tu kuwa unampigania Shetan watu wamekuchoka kuangalia jinsi ulivo Uchi pambania Haki Utapendwa na watu..
 
Mwamba UZI wa jana adi leo watazamaji ni 104 tu ujagundua tu kuwa unampigania Shetan watu wamekuchoka kuangalia jinsi ulivo Uchi pambania Haki Utapendwa na watu..
Kwa watazamaji 104 Mbona kwangu ni wengi sana!!! Mimi hata mmoja tu anatosha maana nitakuwa nimepanda mbegu kuliko makapi 2,000!.

Kwa taarifa yako mimi siko hapa kusifiwa au kuwa na followers lukuki Mimi niko hapa kutoa habari za kweli na kupinga upotoshaji mliokuwa mnaufanya kabla ya ujio wangu.

Najua mnaumia sana sana tu lakini nawashauri tu mvumilie maana sitaacha kuwakosoa maana jukwaa hili mlikuwa mmelichafua sana kwa Vinyesi vyenu vya uongo,upotoshaji mkubwa dhidi ya Israel.
 
Wewe ndio mpotoshaji no 1 ata wanaokuunga mkono wanafaamika nao ni walewale kondooo waliopotea jangwan!!!
 
Back
Top Bottom