We ndo huyo jamaa hapo nini? Hongera zako.Kuna watu wengi sana wakishakula Maharage ya jana wanakula mstari wa mbele kueneza uongo wa kila aina kuhusu Israel.
Wengi wanaoeneza uongo huo hata hawajui Historia ya Israel na hawajawahi kufika katika nchi hiyo wengi wamemezeshwa uongo na viongozi wao wa kidini na wengine wamevutwa tu na hisia zao Potovu kuhusu Israel!!
View: https://x.com/lizarosen0000/status/1926907680750178416?s=61
View: https://x.com/huntersofnazis/status/1927107906647871785?s=61
Kwa watazamaji 104 Mbona kwangu ni wengi sana!!! Mimi hata mmoja tu anatosha maana nitakuwa nimepanda mbegu kuliko makapi 2,000!.Mwamba UZI wa jana adi leo watazamaji ni 104 tu ujagundua tu kuwa unampigania Shetan watu wamekuchoka kuangalia jinsi ulivo Uchi pambania Haki Utapendwa na watu..
Wewe ndio mpotoshaji no 1 ata wanaokuunga mkono wanafaamika nao ni walewale kondooo waliopotea jangwan!!!Kwa watazamaji 104 Mbona kwangu ni wengi sana!!! Mimi hata mmoja tu anatosha maana nitakuwa nimepanda mbegu kuliko makapi 2,000!.
Kwa taarifa yako mimi siko hapa kusifiwa au kuwa na followers lukuki Mimi niko hapa kutoa habari za kweli na kupinga upotoshaji mliokuwa mnaufanya kabla ya ujio wangu.
Najua mnaumia sana sana tu lakini nawashauri tu mvumilie maana sitaacha kuwakosoa maana jukwaa hili mlikuwa mmelichafua sana kwa Vinyesi vyenu vya uongo,upotoshaji mkubwa dhidi ya Israel.
Sio Muisraeli ni bwabwa la buza,Muisraeli wa Buza yupo busy kweli kweli ππππ