Semistocles
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,932
- 1,126
F-35 haifui dafu kwa pangaboi zetu.
viva pangaboi, viva Tanzania.
viva pangaboi, viva Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo sio mungu mungu gani unae muamini anauwa binadamu watoto nk.kutumia hilo taifa tumia akili kufikiria sio kila kitu mungu[emoji10]Israeli ni taifa teule la Mungu àitwaye Jehova.
ukiona umepigana nao na umeshinda ujue Bwana Mungu Jehova. Ameruhusu.
Ninachoshukuru serikali ya tz ni kufungua ubalozi Israeli maana imeandikwa atakayewabariki Israeli atabarikiwa ayakayewalaani atalaaniwa.
Sasa na wewe unasema nini? Huyo ndugu amejaribu kuonyesha vile kusema Israel ni taifa la mungu na sisi waafrika kukubali ni ujinga tu. Hakuna kulialia hapoSasa wewe unatuambia nini, kawaida ya Waafrika kulialia kwamba wanaonewa wakati wenyewe wavivu balaa. Israel kainchi kadogo sana lakini wanajituma hadi wanakua tishio kwa mataifa makubwa na yenye uwezo mkubwa.
Israel ni jimbo la USA...Sasa wewe unatuambia nini, kawaida ya Waafrika kulialia kwamba wanaonewa wakati wenyewe wavivu balaa. Israel kainchi kadogo sana lakini wanajituma hadi wanakua tishio kwa mataifa makubwa na yenye uwezo mkubwa.
Mweleze bhana.Sasa na wewe unasema nini? Huyo ndugu amejaribu kuonyesha vile kusema Israel ni taifa la mungu na sisi waafrika kukubali ni ujinga tu. Hakuna kulialia hapo
Israel alikua na project ya kutengeneza ndege zake za kivita toka kitambo na hyo project yao iliitwa LAVI ila walizuiliwa na US hii ni ili kuzuia competition ambayo ingekua kati ya ndege za US kipind hcho F16&F15 na hzo za LAVI hivyo Israel akaamua kuiuza ile project kwa China ndo ikazaa J10 fighter jet.... Halafu Israel kwenye kuongezea teknolojia yake kwenye vifaa wanavyouziwa na US hyo ni kawaida na wamekua wakifanya hvyo Mara nying, hats ukiangalia F15&16s za israel kwenye performance ni tofaut na za mataifa mengine na zimeshirik missions nying za kijesh tena nyingine zilizohitaj stealth jets... Pia Israel ndo yeye peke yake aliyeruhusiwa na US kuinstall software&hardware,weapons za kwake mwenyewe km alivyofanya F16 hii itafanya F35s za israel kuwa tofaut na F35s za mataifa mengine.Sijawai kusikia israel katengeneza ndege zaid ya kununua vifaa vya kivita kwa makampuni ya Lookheed martin, Boeing Defense , Space & Security na Northrop Grumman sasa linapokuja swala la kuongezea kitu napata ukakasi sana kwa jinsi ninavyojua Technology ya kijeshi ilivyo
F -35 ni ndege ya kivita ijulikanayo kama Next generation au 5th G F - 35 au kwa jina jingine ni Lockheed Martin F-35 Lightning II ni joint strike fighter ni kampuni mbili za Lookheed martin na Boeing Defense , Space & Security ambapo zilitakiwa kutengeneza ndege ambayo itakuwa na uwezo wa kutumika na air force na Navy kama tunavyojua Navy majini wakat aif force ni angani na sifa moja wapo ndege hii inauwezo kwa kutua na kupaa kama
Helicopter ambapo kulikuwa na ndege moja tu ya fighter yenye uwezo huo nayo ni AV-8B Harrier II iliyotengenezwa kwa ushirikiano wa US na UK na makampuni ya McDonnell Douglas ambayo kwa sasa ni Boeing na British Aerospace
BAE Systems kumbuka awa BAE systems ndo waliotuuzia Rada Tanzania
pia katka mchakato huo Boeing walitengeneza X -35 na Lookheed martin alitengeneza F -35 kwa nini 35 ni kwa sababu kwanza 3 iwe na uwezo wa kufanya vitu vitatu ambavyo ni
1 kutokuonekana kwenye Rada
2 kuwa na uwezo wa kutumika na Navy kwa maana ya kutua kama Helicopter
3 multirole fighters.
Na 5 ni iwe ya kizazi cha 5 Kwani ndege za fighter zina Generation pia
ndo maana utaona wote ndege zao zinaishia na 35
Baada ya kukamilisha ndege hzo mbili za X -35 na F -35 makampuni ya Boeing na Lookheed walizikabdhi kwa ajili ya TEST na ndege ya Lookheed martin ya F -35 iliibuka mshindi na Lookheed kupewa kandalasi ya kutengeneza ndege hzo ambapo mpaka sasa ameshatengeneza ndege zipatazo 192 ndege hz zina speed ya supersonic yani speed ya zaid ya sauti inauwezo wa kutembea KM 1929 sawa na 1199 Mph
pamoja na mazuri mengi ya ndege hii zipo changamoto zinazozikabili ndege hii ambayo ni kwenye upande wa Dog fight imeonesha kufanya vibaya ambapo mpaka sasa ndege bora kabisa kwa upande wa Dog fight ni Sukhoi su -35 ya Urusi ikifatiwa kwa ukaribu na F - 16 US amboyo ni ya mwaka 1978 na imetengenezwa na Lookheed martin sasa kinachochanganya watu ni kwa nini hii F 35 wametengeneza Lookheed na hii F 16 wametengeneza Lookheed inakuwaje wameshindwa kuifanya hii kuwa best kwa Dog fight zaid ya F 16 Jibu ni kuwa F 35 ni steath fighter au kwa maana nyingine aionekani kwenye rada so itakuwa ngumu kukutana na mapambano ya hana kwa hana na ndege zingne za kivita za adui
Bad newz ni kuwa aliekuwa engneer wa Lookheed martin na mmoja wa waliokuwa kwenye Develop ya ndege hii Mr Su Bin mmarekani mwenye asili ya china aliweza kuuza siri na Tech ya ndege ya F 35 kwa China na wachina wakatengneza yao na inajulikana kama Shenyang J -31 ambayo ni copy & paste ya F 35 bwana Su Bin alikamatwa lakini alikuwa ameshatuma file zote za kutengeneza ndege hyo na alihukumiwa kifugo cha miaka 5 jela
Sijawai kusikia israel katengeneza ndege zaid ya kununua vifaa vya kivita kwa makampuni ya Lookheed martin, Boeing Defense , Space & Security na Northrop Grumman sasa linapokuja swala la kuongezea kitu napata ukakasi sana kwa jinsi ninavyojua Technology ya kijeshi ilivyo

Hilo wamejitungia wenyewe wa Israel. Mungu hawezi kuwa mbaguzi hivyo. Wasrel wenyewe wengi hawamfuati JesusTaifa teule. Mungu mbaguzi kweli
Kwahyo sisi wengine ikiwemo wewe mungu hajatuteua..?Israeli ni taifa teule la Mungu àitwaye Jehova.
ukiona umepigana nao na umeshinda ujue Bwana Mungu Jehova. Ameruhusu.
Ninachoshukuru serikali ya tz ni kufungua ubalozi Israeli maana imeandikwa atakayewabariki Israeli atabarikiwa ayakayewalaani atalaaniwa.
Mtu mweus alilaniwa kakaWaafrika hatuendelei kwasababu ya mawazo kama haya......
Halafu hiyo S400 unayosema kuwa haifui dafu kwa F35 sasahivi kuna dude linaitwa S500 upgrade ya kumtungua huyo F35 na generations zake. Wataalam wanakwambia Deadly ime get deadlier
Una launch vipi missile bila kuwa na radar? Sometym acheni ku quote kama huna info za kutosha ni kujidhalilisha tu.Unadhan watu wanacheza na hyo miLauncher, watu wanacheza na rada coz u can't hit wat u can't see.
Halafu hiyo S400 unayosema kuwa haifui dafu kwa F35 sasahivi kuna dude linaitwa S500 upgrade ya kumtungua huyo F35 na generations zake. Wataalam wanakwambia Deadly ime get deadlier
Sijawai kusikia israel katengeneza ndege zaid ya kununua vifaa vya kivita kwa makampuni ya Lookheed martin, Boeing Defense , Space & Security na Northrop Grumman sasa linapokuja swala la kuongezea kitu napata ukakasi sana kwa jinsi ninavyojua Technology ya kijeshi ilivyo
F -35 ni ndege ya kivita
Ungeelewa nilichokiandika hapo juu ndo hicho ulichojijibu hpo kwenye comment yako.Una launch vipi missile bila kuwa na radar? Sometym acheni ku quote kama huna info za kutosha ni kujidhalilisha tu.
Kila S300, S400 na S500 zina Long Range Surveillance Radar, Command Vehicle, Engagement Radar na Launch Vehicles.
Itafikia kipindi sasa tutaona aibu kujiita watz, watu hata udadisi tuu unawashinda wamekaa kubisha bisha hata kwa vitu ambavyo ni vi rahisi sana tena vya chekechea
Ungeelewa nilichokiandika hapo juu ndo hicho ulichojijibu hpo kwenye comment yako.