Emmanuel Alden
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 387
- 485
Pagan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana kalili tuu hao, hata sijui Tanzania yetu nayo ni Taifa Teule la Ccm....Taifa teule. Mungu mbaguzi kweli
Huo ukombozi wa kuwaua watoto na kina mama pamoja na wazee hapo Palestina....??Mungu hana ubaguzi lakini kaamua kuanzishia ukombozi wa dunia nzima kupitia Israeli
Huo ndio ukweli.
israel hii sio sawa na ya enzi za mitume sahv wamekua moja ya washirika wenye kutenda maovu tuuIsraeli ni taifa teule la Mungu àitwaye Jehova.
ukiona umepigana nao na umeshinda ujue Bwana Mungu Jehova. Ameruhusu.
Ninachoshukuru serikali ya tz ni kufungua ubalozi Israeli maana imeandikwa atakayewabariki Israeli atabarikiwa ayakayewalaani atalaaniwa.
Marekan tena kapokea kichapo toka kwa Urusi, Lini hyo au movie gn hyo?Sioni msaada wa hizo ndege kwa Israel kama Marekani mwenyewe kapokea kichapo cha haja huko Aleppo mpaka amejisalimisha kutoka kwa urusi.
Ulete na maandiko kabisa...maana hata arudipo Kristo kuweka utawala wake wa miaka 1000 hatakaa Loliondo au pengine popote kama babu alivyosema Bali in Jerusalem.Ndugu yangu naomba nikujulishe kwamba siku ya pentekoste ilihitimisha uteule wa taifa la Israel.
Ngoja waje wale watu wa Allaah sijui nn, utasikia tu..
Hakafu hii statment hutolewa huku Tanzania pekee na makanisa ya kilokole. Wazungu hawana huu ujinga wa kuota sijui taifa teule. Huu ni upuzi wa kimasikini. Na hata Isaraeli wenyewe huwa wanashangaa kuambiwa taifa teuleIsraeli ni taifa teule la Mungu àitwaye Jehova.
ukiona umepigana nao na umeshinda ujue Bwana Mungu Jehova. Ameruhusu.
Ninachoshukuru serikali ya tz ni kufungua ubalozi Israeli maana imeandikwa atakayewabariki Israeli atabarikiwa ayakayewalaani atalaaniwa.
Ndo mnavyo fundishwa na mzee wa upako?Mungu hana ubaguzi lakini kaamua kuanzishia ukombozi wa dunia nzima kupitia Israeli
Huo ndio ukweli.
Unaowasifia hao hawana habari na ww yaan kwa ufupi ni kwamba unajipendekeza!!!Israeli ni taifa teule la Mungu àitwaye Jehova.
ukiona umepigana nao na umeshinda ujue Bwana Mungu Jehova. Ameruhusu.
Ninachoshukuru serikali ya tz ni kufungua ubalozi Israeli maana imeandikwa atakayewabariki Israeli atabarikiwa ayakayewalaani atalaaniwa.
Tunapeleka vijana israel au russia miaka 2 kabla ya kununua...Hehehe umetisha, halafu nani atakua rubani maana panahitajika ujuzi wa kipekee kuyaendesha na kudumisha.
Yaani kifaa kimoja hicho kinatosha kuwapiga Bongo hadi mutie akili. Kinachezea kwenye anga yenu bila kuonekana, kinageuza tu kwenda kuongeza mafuta na mabomu. Yaani Israel au Marekani hatohitaji kuhusisha ndege zaidi ya mbili kuipiga nchi yoyote Afrika, moja tu inageuza geuza kwenye anga yenu hadi muombe yaishe.
haya mambo nayapenda sana nitarudi kusoma baadae kwa utulivuHii ndege ina uwezo wa kuruka na kusafiri kwa umbali mrefu bila kuonekana na pia mashambulizi yake ni hatari. Inakushushia mabomu kama mvua.
Hata kifaa cha Mrusi S-400 hakina ujanja dhidi ya hii ndege. Trump amekurupuka kwa kukosoa lakini ametulizwa na wazee wenye dunia.
Kwa jumla, Israel ameagiza zingine hamsini kama hizi, ikumbukwe pia Wayahudi huwa wanajiongezea mambo yao wenyewe, hivyo watazifungua na kufanya yao humo ndani na kuzifanya kuwa na uwezo mkubwa.
Miafrika yetu macho.....
![]()
Jerusalem (CNN)On an early morning in the summer of 1967, Israeli Mirage jets screeched across the desert of Egypt's Sinai Peninsula. Wave after wave of warplanes destroyed hundreds of Egyptian planes, leaving many of them smoldering on the tarmac. That decisive attack guaranteed Israel's air superiority for the remainder of the Six Day War.
And over the past five decades, Israel has sought to maintain its superiority in the skies over the Middle East.
Two of Lockheed Martin's F-35s, the most advanced fighter jet in the region, arrived in Israel on Monday. Israel has ordered 50 of them from the United States. Each has a price tag of more than $100 million.
The jets will be stationed at an air force base in Israel's Negev desert, with Lieutenant Colonel Yotam leading the squadron.
Israel greets first F-35 jets from US - CNN.com
Mashine hii hapa kiboko ya F-35. Russian PAK FA T50
Waafrika hatuendelei kwasababu ya mawazo kama haya......
Kiongoz hv katika pitapita yako ulishakutana na hiki ndani ya israel?Israeli ni taifa teule la Mungu àitwaye Jehova.
ukiona umepigana nao na umeshinda ujue Bwana Mungu Jehova. Ameruhusu.
Ninachoshukuru serikali ya tz ni kufungua ubalozi Israeli maana imeandikwa atakayewabariki Israeli atabarikiwa ayakayewalaani atalaaniwa.
Mungu wa hivo mimi huwa namuitaga mshenziTaifa teule. Mungu mbaguzi kweli
how?Ndugu yangu naomba nikujulishe kwamba siku ya pentekoste ilihitimisha uteule wa taifa la Israel.