Israel sasa ana jeuri ya F-35, inabidi kukaa mbali naye

Israel sasa ana jeuri ya F-35, inabidi kukaa mbali naye

Sasa huyu mungu gani anayekuwa upande wa mashoga na wauaji wa huko Israel?

Mungu ni wa wote, hata weye ulipo hapo una dhambi tena lukuki.
Jua linawaka juu ya wezi and wabakaji, wanaowahukumu mashoga ni binadamu tena watenda dhambi kama nyinyi sio Mungu.
Mungu angekuwa na fikra kama zako na wanadamu wenziyo hakungesalia hata mtu mmoja duniani leo.
Huenda hata hakungezaliwa shoga hata mmoja leo hii.
Jirekebishe.
 
Tunapeleka vijana israel au russia miaka 2 kabla ya kununua...

Transcend

Hili haliiuziwi kila yahye ...
Washirika,tena wachache tu!....nyinyi ni wakomunisti wa jadi,mtawapa wakomunisti tekinolojia hii.
Kangojeeni F-36 za Uchina/Urusi.
Lazima uwe closest ally.
 
Hii ndege ina uwezo wa kuruka na kusafiri kwa umbali mrefu bila kuonekana na pia mashambulizi yake ni hatari. Inakushushia mabomu kama mvua.

Hata kifaa cha Mrusi S-400 hakina ujanja dhidi ya hii ndege. Trump amekurupuka kwa kukosoa lakini ametulizwa na wazee wenye dunia.
Kwa jumla, Israel ameagiza zingine hamsini kama hizi, ikumbukwe pia Wayahudi huwa wanajiongezea mambo yao wenyewe, hivyo watazifungua na kufanya yao humo ndani na kuzifanya kuwa na uwezo mkubwa.

Miafrika yetu macho.....

161211131046-israel-f35-delivery-lee-pkg-00002119-exlarge-169.jpg


Jerusalem (CNN)On an early morning in the summer of 1967, Israeli Mirage jets screeched across the desert of Egypt's Sinai Peninsula. Wave after wave of warplanes destroyed hundreds of Egyptian planes, leaving many of them smoldering on the tarmac. That decisive attack guaranteed Israel's air superiority for the remainder of the Six Day War.

And over the past five decades, Israel has sought to maintain its superiority in the skies over the Middle East.
Two of Lockheed Martin's F-35s, the most advanced fighter jet in the region, arrived in Israel on Monday. Israel has ordered 50 of them from the United States. Each has a price tag of more than $100 million.
The jets will be stationed at an air force base in Israel's Negev desert, with Lieutenant Colonel Yotam leading the squadron.


Israel greets first F-35 jets from US - CNN.com
Hii ndege ni hatari ila wanasema S 400 zikiwa zaidi ya tatu hiyo ndege inashughulikiwa hata hivyo Russia ina develop S 500 wanasema ndio kiboko ya Fifth generation zote.
 
Hii ndege ni hatari ila wanasema S 400 zikiwa zaidi ya tatu hiyo ndege inashughulikiwa hata hivyo Russia ina develop S 500 wanasema ndio kiboko ya Fifth generation zote.
S400 yenyewe haisimami peke yake mbele ya 5th gen aircraft ndo maaana huwa zinaunganishwa na BUK, Pantisir,Tor, air defences systems.
 
Ukiwaondoa

USA
Urusi
China

North Korea ndio mwanaume sababu anafanya development yeye mwenyewe ,licha ya kuwekewa vikwazo vya kila namna lkn wanahangaika kuzalisha teknolojia yao.


Israel.
S.Korea
Japan

Hawa hamna kitu bila ya USA hawawezi kusurvive..kila mwaka USA anawapa dollar billion kadhaa za kijeshi na dollar billion kadhaa za kiuchumi..Israel ndio kbs ,budget yao hutegemea msaada wa USA


North Korea ndio mwanaume pekee ,ana hustle kwenye teknolojia ,ana hustle kwenye uchumi..kawekewa vikwazo wee lkn bado anakomaa
 
Mungu ni wa wote, hata weye ulipo hapo una dhambi tena lukuki.
Jua linawaka juu ya wezi and wabakaji, wanaowahukumu mashoga ni binadamu tena watenda dhambi kama nyinyi sio Mungu.
Mungu angekuwa na fikra kama zako na wanadamu wenziyo hakungesalia hata mtu mmoja duniani leo.
Huenda hata hakungezaliwa shoga hata mmoja leo hii.
Jirekebishe.
Ndo hivo sasa msiseme Israeli taifa teule kama ni hivo mataifa yote basi.
 
Marekan tena kapokea kichapo toka kwa Urusi, Lini hyo au movie gn hyo?
Wiki iliyopita hiyo Syria warusi wamemchapa mpaka anaomba UN waingilie kati kusimamisha mapigano katika mji wa allepo
 
Walivyomchapa walitungua ndege zake ngp au walilipua meli zake ngap?
Marekani wanapigana Syria bega kwa bega na opposition pamoja na Isis undercover. Utangoja sana kuamini hili ninalokwambia.
 
Acheni uzushi eti haionekani
Ilishawahi kupita kwenye anga
Ya Russia China Iran N korea
Wakashindwa kuiona? Au ndiyo
Mahaba niue
kimsingi hizo ndege tangu zinatengenezwa mpaka kutumika nimuda sasa..sio rahisi Russian wakakaa kimya bila lolote kufanyika mfano T 50 PAK ndo kwanza zipo ktk majaribio ni ukweli usiopingika F 35 ni ndege zinazosubiri ardhi kama zikigusa sehemu flan flan...swali lamsingi why Iran wamenunua S 300 tena kwa pesa nyingi wakati wanajua IDF wana access ya F 35?
 
Back
Top Bottom