Israel sasa ana jeuri ya F-35, inabidi kukaa mbali naye

Israel sasa ana jeuri ya F-35, inabidi kukaa mbali naye

Israeli ni taifa teule la Mungu àitwaye Jehova.

ukiona umepigana nao na umeshinda ujue Bwana Mungu Jehova. Ameruhusu.

Ninachoshukuru serikali ya tz ni kufungua ubalozi Israeli maana imeandikwa atakayewabariki Israeli atabarikiwa ayakayewalaani atalaaniwa.
Ww jamaa ovyo kabisa
 
Kama kuna mbabe basi ni Japan hawa watu msione wametulia waulize China na Marekani walishakula kichapo mpaka mmarekani akaamua kushusha Atomic bomb kuwatuliza.
 
Israeli ni taifa teule la Mungu àitwaye Jehova.

ukiona umepigana nao na umeshinda ujue Bwana Mungu Jehova. Ameruhusu.

Ninachoshukuru serikali ya tz ni kufungua ubalozi Israeli maana imeandikwa atakayewabariki Israeli atabarikiwa ayakayewalaani atalaaniwa.
Kumbe MUNGU ni wajuzi tu hapa 1948.
 
Sio kweli S400 haiwezi kuzitungua wangeshaanza mbwe mbwe syria kusaidia waasi lakini wanaogopa aibu ya kudhalilishwa kwa ndege ya garama kuliko ya mabilion kutunguliwa na kifaa cha mamilion..ni wamerakani hawa hawa walioneshwa kuwa Aegis combat system zao sio lolote kw Warusi mwaka jana.
 
Israeli ni taifa teule la Mungu àitwaye Jehova.

ukiona umepigana nao na umeshinda ujue Bwana Mungu Jehova. Ameruhusu.

Ninachoshukuru serikali ya tz ni kufungua ubalozi Israeli maana imeandikwa atakayewabariki Israeli atabarikiwa ayakayewalaani atalaaniwa.
Kama ni wateule wa Mungu basi kuna haja gani yakuwa na madege yakuuwa watu ilihali wao hulindwa na Mungu, wakijiandaa wengine mnasema magaidi! Ipo siku Mungu atakuonyesheni kuwa hao watu walishalaaniwa na wataishi kwa mashaka milele.
 
Iman kitu mbaya sanaa
 
Hapo ndio tunakosea eti wayahudi wa leo ndio wale walionenwa ndani ya biblia. Hujui, nenda kasome biblia vizuri kwa weledi vinginevyo utatoka mtupu nas utarudi hapa na uongo huo huo. Israel bila USA hamna kitu. tunataka taifa teule lisilo mtegemea USA
 
Kama ni wateule wa Mungu basi kuna haja gani yakuwa na madege yakuuwa watu ilihali wao hulindwa na Mungu, wakijiandaa wengine mnasema magaidi! Ipo siku Mungu atakuonyesheni kuwa hao watu walishalaaniwa na wataishi kwa mashaka milele.
Mimi ni Mkristo, sikubaliani na hawa wauaji eti ni wateule wa Mungu. Deception, watu wamelishwa uongo na wameukubali. Taifa la Israel limesimikwa pale na USA kupunguza threat ya waarabu na ndio maana kwa 100% Israel kiulinzi inamtegemea sana USA na wala sio MUNGU wetu tunayemuomba. Taifa teule lipo linakuja na sio hilo lililopachikwa 1948 na wauaji wenzao
 
Waafrika hatuendelei kwasababu ya mawazo kama haya......
Na tatizo watu wengi hatutaki kusoma ili tuujue ukweli ili utuweke huru. Israel ya leo sio taifa teule na wayahudi wa leo sio wale wayahudi walioandikwa kwenye biblia. subiri wenyewe wanakuja
 
Mimi ni Mkristo, sikubaliani na hawa wauaji eti ni wateule wa Mungu. Deception, watu wamelishwa uongo na wameukubali. Taifa la Israel limesimikwa pale na USA kupunguza threat ya waarabu na ndio maana kwa 100% Israel kiulinzi inamtegemea sana USA na wala sio MUNGU wetu tunayemuomba. Taifa teule lipo linakuja na sio hilo lililopachikwa 1948 na wauaji wenzao

Nakubaliana na wewe
Uko sahihi 200%
 
Hii ndege ina uwezo wa kuruka na kusafiri kwa umbali mrefu bila kuonekana na pia mashambulizi yake ni hatari. Inakushushia mabomu kama mvua.

Hata kifaa cha Mrusi S-400 hakina ujanja dhidi ya hii ndege. Trump amekurupuka kwa kukosoa lakini ametulizwa na wazee wenye dunia.
Kwa jumla, Israel ameagiza zingine hamsini kama hizi, ikumbukwe pia Wayahudi huwa wanajiongezea mambo yao wenyewe, hivyo watazifungua na kufanya yao humo ndani na kuzifanya kuwa na uwezo mkubwa.

Miafrika yetu macho.....

161211131046-israel-f35-delivery-lee-pkg-00002119-exlarge-169.jpg

Jerusalem (CNN)On an early morning in the summer of 1967, Israeli Mirage jets screeched across the desert of Egypt's Sinai Peninsula. Wave after wave of warplanes destroyed hundreds of Egyptian planes, leaving many of them smoldering on the tarmac. That decisive attack guaranteed Israel's air superiority for the remainder of the Six Day War.

And over the past five decades, Israel has sought to maintain its superiority in the skies over the Middle East.
Two of Lockheed Martin's F-35s, the most advanced fighter jet in the region, arrived in Israel on Monday. Israel has ordered 50 of them from the United States. Each has a price tag of more than $100 million.
The jets will be stationed at an air force base in Israel's Negev desert, with Lieutenant Colonel Yotam leading the squadron.

Israel greets first F-35 jets from US - CNN.com

acha uongo na western propaganda izi ndege ni za propaganda zaid haziko proved kua efficient ktk combat kabisa, rate of failure ni kubwa sana vs performance mpaka sasa final design haijafanyiwa na ku pass combat testing! it cant fly kwa mda mrefu kwan it uses too much fuel haiwez kukaa angan hata zaid ya 2hrs.

stealth does not work, ni aina gani tu ya rada unatumia infact rada za 40's zinaweza ku detect izi ndege kwa sababu zina long wavelength na short frequency ndio mana yugoslavia waliweza kuitungua stealth plane bila shida ni western propaganda tu.
 
Iyo ndege haiwezi shindana na Su-35 ya mrusi aisee kilichoniboa mimi niishushe iyo ndege hadhi kwa su-35 ni kutoeza kufanya cobra manuva..
 
Sijawai kusikia israel katengeneza ndege zaid ya kununua vifaa vya kivita kwa makampuni ya Lookheed martin, Boeing Defense , Space & Security na Northrop Grumman sasa linapokuja swala la kuongezea kitu napata ukakasi sana kwa jinsi ninavyojua Technology ya kijeshi ilivyo

F -35 ni ndege ya kivita ijulikanayo kama Next generation au 5th G F - 35 au kwa jina jingine ni Lockheed Martin F-35 Lightning II ni joint strike fighter ni kampuni mbili za Lookheed martin na Boeing Defense , Space & Security ambapo zilitakiwa kutengeneza ndege ambayo itakuwa na uwezo wa kutumika na air force na Navy kama tunavyojua Navy majini wakat aif force ni angani na sifa moja wapo ndege hii inauwezo kwa kutua na kupaa kama
Helicopter ambapo kulikuwa na ndege moja tu ya fighter yenye uwezo huo nayo ni AV-8B Harrier II iliyotengenezwa kwa ushirikiano wa US na UK na makampuni ya McDonnell Douglas ambayo kwa sasa ni Boeing na British Aerospace
BAE Systems kumbuka awa BAE systems ndo waliotuuzia Rada Tanzania

pia katka mchakato huo Boeing walitengeneza X -35 na Lookheed martin alitengeneza F -35 kwa nini 35 ni kwa sababu kwanza 3 iwe na uwezo wa kufanya vitu vitatu ambavyo ni
1 kutokuonekana kwenye Rada
2 kuwa na uwezo wa kutumika na Navy kwa maana ya kutua kama Helicopter
3 multirole fighters.
Na 5 ni iwe ya kizazi cha 5 Kwani ndege za fighter zina Generation pia
ndo maana utaona wote ndege zao zinaishia na 35

Baada ya kukamilisha ndege hzo mbili za X -35 na F -35 makampuni ya Boeing na Lookheed walizikabdhi kwa ajili ya TEST na ndege ya Lookheed martin ya F -35 iliibuka mshindi na Lookheed kupewa kandalasi ya kutengeneza ndege hzo ambapo mpaka sasa ameshatengeneza ndege zipatazo 192 ndege hz zina speed ya supersonic yani speed ya zaid ya sauti inauwezo wa kutembea KM 1929 sawa na 1199 Mph
pamoja na mazuri mengi ya ndege hii zipo changamoto zinazozikabili ndege hii ambayo ni kwenye upande wa Dog fight imeonesha kufanya vibaya ambapo mpaka sasa ndege bora kabisa kwa upande wa Dog fight ni Sukhoi su -35 ya Urusi ikifatiwa kwa ukaribu na F - 16 US amboyo ni ya mwaka 1978 na imetengenezwa na Lookheed martin sasa kinachochanganya watu ni kwa nini hii F 35 wametengeneza Lookheed na hii F 16 wametengeneza Lookheed inakuwaje wameshindwa kuifanya hii kuwa best kwa Dog fight zaid ya F 16 Jibu ni kuwa F 35 ni steath fighter au kwa maana nyingine aionekani kwenye rada so itakuwa ngumu kukutana na mapambano ya hana kwa hana na ndege zingne za kivita za adui

Bad newz ni kuwa aliekuwa engneer wa Lookheed martin na mmoja wa waliokuwa kwenye Develop ya ndege hii Mr Su Bin mmarekani mwenye asili ya china aliweza kuuza siri na Tech ya ndege ya F 35 kwa China na wachina wakatengneza yao na inajulikana kama Shenyang J -31 ambayo ni copy & paste ya F 35 bwana Su Bin alikamatwa lakini alikuwa ameshatuma file zote za kutengeneza ndege hyo na alihukumiwa kifugo cha miaka 5 jela
boss umesamalize poa sana hapa ungefungua blog yako ungeuza sana
nmepata link wwazungu wamejaribu zifananisha hizo zote

Special: F-35 vs China J-31 & Russia PAK-FA
na kwenye swala la kununua vifaa vya kijeshi nakutotengeneza nilisoma mahali kua majority wa scientist wa marekani ni waisrael so mwisho wa siku wanajua watapata tu technology
 
Wapi ulipoiona inashusha mabomu kama mvua,,,mda mwingine wazungu wanatudanganya sana..Lazima tutumie akili kufikiri,,,.
 
Unadhan watu wanacheza na hyo miLauncher, watu wanacheza na rada coz u can't hit wat u can't see.
Russia told them if they believe in what is called stealth, then let them fly over Syria with the intention of hitting Assad's men, they will be met by rude shock. Did they try? US is only better than others in propaganda.
 
Back
Top Bottom