Israel sasa ana jeuri ya F-35, inabidi kukaa mbali naye

Israel sasa ana jeuri ya F-35, inabidi kukaa mbali naye

Haya naona ni maandalizi tosha ya kuubomoa ule msikiti wa wale waarabu,,
Ni bora wakaanza kuondoa mambo yao taratibu kuhamishia kwao Makha.
YEHOVA anataka mji wake sasa ivi.
 
Israeli ni taifa teule la Mungu àitwaye Jehova.

ukiona umepigana nao na umeshinda ujue Bwana Mungu Jehova. Ameruhusu.

Ninachoshukuru serikali ya tz ni kufungua ubalozi Israeli maana imeandikwa atakayewabariki Israeli atabarikiwa ayakayewalaani atalaaniwa.
israel hii sio sawa na ya enzi za mitume sahv wamekua moja ya washirika wenye kutenda maovu tuu
 
Sioni msaada wa hizo ndege kwa Israel kama Marekani mwenyewe kapokea kichapo cha haja huko Aleppo mpaka amejisalimisha kutoka kwa urusi.
Marekan tena kapokea kichapo toka kwa Urusi, Lini hyo au movie gn hyo?
 
Ndugu yangu naomba nikujulishe kwamba siku ya pentekoste ilihitimisha uteule wa taifa la Israel.
Ulete na maandiko kabisa...maana hata arudipo Kristo kuweka utawala wake wa miaka 1000 hatakaa Loliondo au pengine popote kama babu alivyosema Bali in Jerusalem.
Angalia Ufunuo 7 anasemaje kwa wokovu wa watakao toka Israel, kwa mini wamewekwa kwa idadi inayojulikana kabisa kwa kila kabila???
. Pentekoste haihusiani na ahadi ya Mungu kwa Ibrahim kuongezwa wazao wake japo nao imewapas kuokoka na kumwamini Yesu Kristo.
Na hakika; "MKUBWA ATAMTUMIKIA MDOGO" yaani hill halibadiliki.
 
Tanzania kupitia rais wetu Magufuli kwakuwa anamjua Yesu na kumwamini ni mwokozi na ameokoka basi amefungua na kulibariki taifa la Israeli
 
Ngoja waje wale watu wa Allaah sijui nn, utasikia tu..

Hahahaha,

Yaan umechoka kuwavumilia mzee umeon bora unyanyue kidole ili uonekane, ndugu, maisha yote muudhi anae kuudhu alie kaa kimya nawe nawe mkalie kimya.
 
Israeli ni taifa teule la Mungu àitwaye Jehova.

ukiona umepigana nao na umeshinda ujue Bwana Mungu Jehova. Ameruhusu.

Ninachoshukuru serikali ya tz ni kufungua ubalozi Israeli maana imeandikwa atakayewabariki Israeli atabarikiwa ayakayewalaani atalaaniwa.
Hakafu hii statment hutolewa huku Tanzania pekee na makanisa ya kilokole. Wazungu hawana huu ujinga wa kuota sijui taifa teule. Huu ni upuzi wa kimasikini. Na hata Isaraeli wenyewe huwa wanashangaa kuambiwa taifa teule
 
Mungu hana ubaguzi lakini kaamua kuanzishia ukombozi wa dunia nzima kupitia Israeli

Huo ndio ukweli.
Ndo mnavyo fundishwa na mzee wa upako?
Mnakesha kuisifia Israeli ili hari jamaa kwanza hawana time na wa Africa na ni wabaguzi wakubwa wa Waafrica au hujui wanacho fanyiwa Waafrica kule?
 
Israeli ni taifa teule la Mungu àitwaye Jehova.

ukiona umepigana nao na umeshinda ujue Bwana Mungu Jehova. Ameruhusu.

Ninachoshukuru serikali ya tz ni kufungua ubalozi Israeli maana imeandikwa atakayewabariki Israeli atabarikiwa ayakayewalaani atalaaniwa.
Unaowasifia hao hawana habari na ww yaan kwa ufupi ni kwamba unajipendekeza!!!
 
Hehehe umetisha, halafu nani atakua rubani maana panahitajika ujuzi wa kipekee kuyaendesha na kudumisha.

Yaani kifaa kimoja hicho kinatosha kuwapiga Bongo hadi mutie akili. Kinachezea kwenye anga yenu bila kuonekana, kinageuza tu kwenda kuongeza mafuta na mabomu. Yaani Israel au Marekani hatohitaji kuhusisha ndege zaidi ya mbili kuipiga nchi yoyote Afrika, moja tu inageuza geuza kwenye anga yenu hadi muombe yaishe.
Tunapeleka vijana israel au russia miaka 2 kabla ya kununua...

Transcend
 
Hii ndege ina uwezo wa kuruka na kusafiri kwa umbali mrefu bila kuonekana na pia mashambulizi yake ni hatari. Inakushushia mabomu kama mvua.

Hata kifaa cha Mrusi S-400 hakina ujanja dhidi ya hii ndege. Trump amekurupuka kwa kukosoa lakini ametulizwa na wazee wenye dunia.
Kwa jumla, Israel ameagiza zingine hamsini kama hizi, ikumbukwe pia Wayahudi huwa wanajiongezea mambo yao wenyewe, hivyo watazifungua na kufanya yao humo ndani na kuzifanya kuwa na uwezo mkubwa.

Miafrika yetu macho.....

161211131046-israel-f35-delivery-lee-pkg-00002119-exlarge-169.jpg


Jerusalem (CNN)On an early morning in the summer of 1967, Israeli Mirage jets screeched across the desert of Egypt's Sinai Peninsula. Wave after wave of warplanes destroyed hundreds of Egyptian planes, leaving many of them smoldering on the tarmac. That decisive attack guaranteed Israel's air superiority for the remainder of the Six Day War.

And over the past five decades, Israel has sought to maintain its superiority in the skies over the Middle East.
Two of Lockheed Martin's F-35s, the most advanced fighter jet in the region, arrived in Israel on Monday. Israel has ordered 50 of them from the United States. Each has a price tag of more than $100 million.
The jets will be stationed at an air force base in Israel's Negev desert, with Lieutenant Colonel Yotam leading the squadron.


Israel greets first F-35 jets from US - CNN.com
haya mambo nayapenda sana nitarudi kusoma baadae kwa utulivu
 
Israeli ni taifa teule la Mungu àitwaye Jehova.

ukiona umepigana nao na umeshinda ujue Bwana Mungu Jehova. Ameruhusu.

Ninachoshukuru serikali ya tz ni kufungua ubalozi Israeli maana imeandikwa atakayewabariki Israeli atabarikiwa ayakayewalaani atalaaniwa.
Kiongoz hv katika pitapita yako ulishakutana na hiki ndani ya israel?
76.1% jewish
16.2% Muslim
2.1% christian
1.6% Druze ni kama muslim tu walijitenga karne ya 11
4% Wapagani


Sasa bhasi nimekuwekea hvyo ujue pili ni waafrica tu ndo tumebaki kuitetea israel kwa kuleta vifngu vya dini leo tembea dunia nzima huwezi kukuta watu wanaitetea israel kwa kuleta udini badala la facts wanasema human lie but facts& evidence don't watu wanatetea kitu au kupinga vitu kwa facts na evidence si udini na ndo maana udini unasehemu special hata kwenye mashule ya kidini wanafundisha kwa kutumia vitabu ambavyo wengine hata wasio na dini wanafundishiwa na dini limekuwa ni somo leo kwenye sayansi waaamini kuwa binadamu tumetokana na sokwe na swali likitoka kwenye mitiani tunajaza hvyo hvyo lakini tukienda misikitini na makanisani tunaamini kuwa ni binadamu chanzo chake ni Adam&Eve


Wenzetu linapokuja swala la kuitaji utaaramu au akili wanaruhusu akili na weledi kufanya kazi na kama Mtu ana haki yake wanampa hata kama ni Tanzania ndo imefanya vizuri wanaipa sifa zake bila kujari ukubwa au udongo
Na ndo maana hata kama israel wanafanya vibaya wanaambiwa live bila ya kupepesa Macho lakini wangekuwa wanaleta udini israel wangekuwa wanaambiwa kitu??? Mfano leo israel wakavamia kijeshi Tanzania utashindwa kupigana na kuacha wanajeshi wa Israel kuua ndugu na jamaa zako kisa Imeandikwa atakae ipinga israel amelaaniwa???

Leo hata ukiangalia list ya passport zenye nguvu dunian israel haipo


The world's powerful passports

1 Germany, 177 countries can be visited without a visa 1
2 Sweden, 176
Finland, France, Italy, Spain, United Kingdom, 175

3 Belgium, Denmark, Netherlands, United States, 174

4 Austria, Japan, Singapore, 173

5 Canada, Ireland (Republic of), Korea (Republic of, South), Luxembourg, Norway, Portugal, Switzerland, 172

6 Greece, New Zealand, 171

7 Australia, 169

8 Malta, 168

9 Hungary, Czech Republic, Iceland, 167

Ukiangalia passport hata ya US ipo namba ngapi??? wangekuwa wanafata vile ambavyo tunaamini wengi US na Israel si zingekuwa number 1 kuna vitu vingne hata US imepitwa na Nchi zingne si kila kitu lazima iwe number moja tu same to Israel
Tusipende kuleta Ukada hata kwenye vitu vinavyoitaji akili na maarifa tu kupata jibu
 
Back
Top Bottom