Israel sasa ana jeuri ya F-35, inabidi kukaa mbali naye

Huyo sio mungu mungu gani unae muamini anauwa binadamu watoto nk.kutumia hilo taifa tumia akili kufikiria sio kila kitu mungu[emoji10]
 
Sasa wewe unatuambia nini, kawaida ya Waafrika kulialia kwamba wanaonewa wakati wenyewe wavivu balaa. Israel kainchi kadogo sana lakini wanajituma hadi wanakua tishio kwa mataifa makubwa na yenye uwezo mkubwa.
Sasa na wewe unasema nini? Huyo ndugu amejaribu kuonyesha vile kusema Israel ni taifa la mungu na sisi waafrika kukubali ni ujinga tu. Hakuna kulialia hapo
 
Israel ni jimbo la USA...
 
Halafu hiyo S400 unayosema kuwa haifui dafu kwa F35 sasahivi kuna dude linaitwa S500 upgrade ya kumtungua huyo F35 na generations zake. Wataalam wanakwambia Deadly ime get deadlier

Sasa na wewe unasema nini? Huyo ndugu amejaribu kuonyesha vile kusema Israel ni taifa la mungu na sisi waafrika kukubali ni ujinga tu. Hakuna kulialia hapo
Mweleze bhana.
 
Israel alikua na project ya kutengeneza ndege zake za kivita toka kitambo na hyo project yao iliitwa LAVI ila walizuiliwa na US hii ni ili kuzuia competition ambayo ingekua kati ya ndege za US kipind hcho F16&F15 na hzo za LAVI hivyo Israel akaamua kuiuza ile project kwa China ndo ikazaa J10 fighter jet.... Halafu Israel kwenye kuongezea teknolojia yake kwenye vifaa wanavyouziwa na US hyo ni kawaida na wamekua wakifanya hvyo Mara nying, hats ukiangalia F15&16s za israel kwenye performance ni tofaut na za mataifa mengine na zimeshirik missions nying za kijesh tena nyingine zilizohitaj stealth jets... Pia Israel ndo yeye peke yake aliyeruhusiwa na US kuinstall software&hardware,weapons za kwake mwenyewe km alivyofanya F16 hii itafanya F35s za israel kuwa tofaut na F35s za mataifa mengine.
 
Attachments

  • Screenshot_2016-12-17-15-03-58.png
    62.7 KB · Views: 54
  • Screenshot_2016-12-17-15-06-49.png
    51.2 KB · Views: 46
  • Screenshot_2016-12-17-15-22-52.png
    110.1 KB · Views: 49
  • Screenshot_2016-12-17-15-23-12.png
    45.2 KB · Views: 48

Mkuu unajua Kfir kama hujui bora ukae kimya Israel ina tengeneza ndege na wakati mwingine wanafanya modification.
 
Kwahyo sisi wengine ikiwemo wewe mungu hajatuteua..?
 
Hapa adabu itapatikana tuu ndio mtajua nini maana yakuwa taifa la MUNGU.
 
Halafu hiyo S400 unayosema kuwa haifui dafu kwa F35 sasahivi kuna dude linaitwa S500 upgrade ya kumtungua huyo F35 na generations zake. Wataalam wanakwambia Deadly ime get deadlier

Unadhan watu wanacheza na hyo miLauncher, watu wanacheza na rada coz u can't hit wat u can't see.
 
Unadhan watu wanacheza na hyo miLauncher, watu wanacheza na rada coz u can't hit wat u can't see.
Una launch vipi missile bila kuwa na radar? Sometym acheni ku quote kama huna info za kutosha ni kujidhalilisha tu.

Kila S300, S400 na S500 zina Long Range Surveillance Radar, Command Vehicle, Engagement Radar na Launch Vehicles.

Itafikia kipindi sasa tutaona aibu kujiita watz, watu hata udadisi tuu unawashinda wamekaa kubisha bisha hata kwa vitu ambavyo ni vi rahisi sana tena vya chekechea
 
Halafu hiyo S400 unayosema kuwa haifui dafu kwa F35 sasahivi kuna dude linaitwa S500 upgrade ya kumtungua huyo F35 na generations zake. Wataalam wanakwambia Deadly ime get deadlier

Unadhan watu wanacheza na hyo miLauncher, watu wanacheza na rada coz u can't hit wat u can't see.
 
Halafu mkuu unashindwa kuelewa makampuni yote uliyo yataja hapo yana tenda ya kutengenezewa mabawa ya ndege na vipuri vyake! Makampuni ya Israel ndiyo yanayo tengeneza mabawa yenye ubora ya ndege

Vitu vingine bora ukauliza

Nikulize swali kidogo, kwanini Marekani anailinda Israel? Yaani kuigusa Israel ni sawa na kuigusa Marekani

Yaani Wamarekani wanaingia mikataba na Israel wanawauzia techn na project wanaenda kuifanyia marekani halafu israel wanaenda kuzinunua zile ndege na zikifika israel wanaenda kuziongezea technologia yao tena ya hali ya juu!

Marekani haiwezi kusavaivu bila israel! Pale israel pana vichwa haswa
 
Ungeelewa nilichokiandika hapo juu ndo hicho ulichojijibu hpo kwenye comment yako.
 
Ungeelewa nilichokiandika hapo juu ndo hicho ulichojijibu hpo kwenye comment yako.

Ulitakiwa ujue kuwa hakuna Missile attack or shield ya aina yoyote duniani ambayo haiko guided na radar. Na ndio maana sikutegemea utoe comment ya aina ile coz ni ya kitoto sana.

Au ulitaka kuwa nikisema nimenunua desktop computer basi nitaje na keyboard, mouse na nyaya nyaya zake.

So nilivyosema ni S500 ulitaka nikutajie na kila kifaa chake. Poor you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…