Israel sasa ana jeuri ya F-35, inabidi kukaa mbali naye

Ww jamaa ovyo kabisa
 
Kama kuna mbabe basi ni Japan hawa watu msione wametulia waulize China na Marekani walishakula kichapo mpaka mmarekani akaamua kushusha Atomic bomb kuwatuliza.
 
Kumbe MUNGU ni wajuzi tu hapa 1948.
 
Sio kweli S400 haiwezi kuzitungua wangeshaanza mbwe mbwe syria kusaidia waasi lakini wanaogopa aibu ya kudhalilishwa kwa ndege ya garama kuliko ya mabilion kutunguliwa na kifaa cha mamilion..ni wamerakani hawa hawa walioneshwa kuwa Aegis combat system zao sio lolote kw Warusi mwaka jana.
 
Kama ni wateule wa Mungu basi kuna haja gani yakuwa na madege yakuuwa watu ilihali wao hulindwa na Mungu, wakijiandaa wengine mnasema magaidi! Ipo siku Mungu atakuonyesheni kuwa hao watu walishalaaniwa na wataishi kwa mashaka milele.
 
Iman kitu mbaya sanaa
 
Hapo ndio tunakosea eti wayahudi wa leo ndio wale walionenwa ndani ya biblia. Hujui, nenda kasome biblia vizuri kwa weledi vinginevyo utatoka mtupu nas utarudi hapa na uongo huo huo. Israel bila USA hamna kitu. tunataka taifa teule lisilo mtegemea USA
 
Kama ni wateule wa Mungu basi kuna haja gani yakuwa na madege yakuuwa watu ilihali wao hulindwa na Mungu, wakijiandaa wengine mnasema magaidi! Ipo siku Mungu atakuonyesheni kuwa hao watu walishalaaniwa na wataishi kwa mashaka milele.
Mimi ni Mkristo, sikubaliani na hawa wauaji eti ni wateule wa Mungu. Deception, watu wamelishwa uongo na wameukubali. Taifa la Israel limesimikwa pale na USA kupunguza threat ya waarabu na ndio maana kwa 100% Israel kiulinzi inamtegemea sana USA na wala sio MUNGU wetu tunayemuomba. Taifa teule lipo linakuja na sio hilo lililopachikwa 1948 na wauaji wenzao
 
Waafrika hatuendelei kwasababu ya mawazo kama haya......
Na tatizo watu wengi hatutaki kusoma ili tuujue ukweli ili utuweke huru. Israel ya leo sio taifa teule na wayahudi wa leo sio wale wayahudi walioandikwa kwenye biblia. subiri wenyewe wanakuja
 

Nakubaliana na wewe
Uko sahihi 200%
 

acha uongo na western propaganda izi ndege ni za propaganda zaid haziko proved kua efficient ktk combat kabisa, rate of failure ni kubwa sana vs performance mpaka sasa final design haijafanyiwa na ku pass combat testing! it cant fly kwa mda mrefu kwan it uses too much fuel haiwez kukaa angan hata zaid ya 2hrs.

stealth does not work, ni aina gani tu ya rada unatumia infact rada za 40's zinaweza ku detect izi ndege kwa sababu zina long wavelength na short frequency ndio mana yugoslavia waliweza kuitungua stealth plane bila shida ni western propaganda tu.
 
Iyo ndege haiwezi shindana na Su-35 ya mrusi aisee kilichoniboa mimi niishushe iyo ndege hadhi kwa su-35 ni kutoeza kufanya cobra manuva..
 
boss umesamalize poa sana hapa ungefungua blog yako ungeuza sana
nmepata link wwazungu wamejaribu zifananisha hizo zote

Special: F-35 vs China J-31 & Russia PAK-FA
na kwenye swala la kununua vifaa vya kijeshi nakutotengeneza nilisoma mahali kua majority wa scientist wa marekani ni waisrael so mwisho wa siku wanajua watapata tu technology
 
Wapi ulipoiona inashusha mabomu kama mvua,,,mda mwingine wazungu wanatudanganya sana..Lazima tutumie akili kufikiri,,,.
 
Unadhan watu wanacheza na hyo miLauncher, watu wanacheza na rada coz u can't hit wat u can't see.
Russia told them if they believe in what is called stealth, then let them fly over Syria with the intention of hitting Assad's men, they will be met by rude shock. Did they try? US is only better than others in propaganda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…