Israel sasa ana jeuri ya F-35, inabidi kukaa mbali naye

Russia told them if they believe in what is called stealth, then let them fly over Syria with the intention of hitting Assad's men, they will be met by rude shock. Did they try? US is only better than others in propaganda.
Mbna mwezi huu Israel kashambulia bhna...Huyo Russia hata waarabu walishawah kumlalamikia anauwauzia rada feki... Hlf kinachonishangaza wao kila siku kusema stealth tec ya US ni mbovu wakt wao miaka na miaka wanashindwa kuimalizia stealth tec kwenye 5th gen fighter jet yao huku wakihangaika kudukua stealth project za US wakiongozwa na mzee na kukopi (China)...Wanasema za mwenzao mbovu wakati tumeziona kwenye battle na zimeonyesha mafanikio makubwa from F117 to B2 spirit bomber tena against hzohzo modern Soviet radars.
 
Where was that battle held pitting Russia's S range of air defence system against US stealth technology?
 
Rejea Iraq, operation allied force, operation orchard(electronic warfare against SAM),operation mole cricket, operation opera, etc.
You seem not to understand what weapon systems you are refering to. Fo back to books and do a thorough reading.
 
sp
Halafu hiyo S400 unayosema kuwa haifui dafu kwa F35 sasahivi kuna dude linaitwa S500 upgrade ya kumtungua huyo F35 na generations zake. Wataalam wanakwambia Deadly ime get deadlier


speed ya ayo madude ni 7.8 times speed of sound
 
Ukiwa na akili ndogo ...ni janga kwel kwel
 
Wewe cyo Mkristo.... hakuna mkristo kama wewe......
Wacha uongo.
Mimi ni Mkristo na huwezi kunibadilisha. Narudia Israel ya akina Natanyahu na waisrael wa leo sio wale walioandikwa kwenye biblia right?? Nenda kasome vizuri Biblia utaratibu utakaotumiwa na wana wa Israel kurudi kwenye nchi yao ya ahadi na nini kitatokea watakapofika pale kwenye nchi ya ahadi. Achana na ushabiki na mafundisho uliopewa kwa miaka gede gede) na wewe unaufahamu wako fikirisha kichwa chako
 
Milokole kwa kutukuza isael noma.Kamwe siwezi kuamini maneno ya milokole.Waanzishe forum yao humu wasije kabisa
 
Baada ya haya maelezo marefu ungejiongeza kidogo tu, kwa swali kwa nini hii misaada yote Us waipeleke Israel na si Tanzania? Kerry jana/juzi katumia zaidi ya saa 1.30 kujitetetea maamuzi yao hapo UN kuhusu Israel. Netanyau katumia dakika chini ya 15 kumpuuza.​

Na washawasha!


 
Hahahahahahahah kwanza nasikitika au kuna uwezekano ww umemsikiliza Mr Benjamin Netanyahu lakini kwa bahati mbaya umjui huyu jamaa nataka tu kukwambia Benjamin Netanyahu ni watu wa aina ya Rais wa Philippines Mr Rodrigo Duterte so ata angetumia sec 5 kujibu nilkuwa na hata US walikuwa wanajua atajibu nini na hii ni kutokana na tabia yake na kiburi chake na TRUST ME Obama kabla ajatoka oficn tarehe 20 Mwez wa 1 lazima atafanya kitu ambacho israel hawatakipenda na kinaweza pelekea kuwekewa vikwazo vya Uchumi
 
Obuma ana malizia urais wake kwa aibu kubwa tu, huyu ana unafiki flani juu ya Israel. Na wenyewe Israel wana lijua hilo kuwa lime sababishwa na background yake kule Indonesia alipo kuwa ana lelewa na baba wa kufikia. Na wayahudi wali mbeep akibwabwaja juu yao kwa kupitia kinasa sauti/mic enzi zile na yule wa France.

Walipo muona haelewi wame mtengeneza kupitia mrusi katika uchaguzi. Sasa kabakia kufukuza wana diplomasia wa urusi katika kudhania pengine atailinda heshima inayo mponyoka. Ili kumuonesha kuwa warusi wame mpuuza na maamuzi yake hayana uzito wowote wamesema hawata respond kihivyo, wao wana msubiria rafiki yao Rais Trump apewe rungu ambaye kesha wapongeza kwa huu uamuzi.

Na washawsha!



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…