Ngongo Unapodhani wewe unajua kuliko wengine unakatiwa pia kujua wapo wenzio wanajua kulko ww pia Mkuu
ze kokuyo wewe unazungumzia Israel Aerospace Industries (IAI) hili ndio shirika pekee ndani ya israel wana deal na Aerospace ,Defence na Tech na project hyo unayoizungumzia ni ya mwaka 1980 project ya Lavi ilikuja kushindwa mwaka 1987 baada ya bunge la israel kuachana nayo si kwa kukatanzwa na US kama ulivyosema na chanzo cha bunge kuikataa ni kutokana na bajeti ya program yani program cost kuwa kubwa sana ndio maana siku hizi kuna joint strike project kwa ajili ya kupunguza mzigo wa project cost F -35 yenyewe tu project cost yake ni US$ 1.508 trillion sasa ni fedha nying sana kwa nchi ndo maana zinashirikiana nchi zaid ya moja kwenye hzo project
coz project cost ni kama una Bet kwani unaweza poteza fedha nying lakini uspate kile ulichokuwa au ubora uliokuwa unataka ww
Mimi naomba
Ngongo uniambie ni ndege gani ambayo ipo kwenye service mpaka sasa iliyotengenezwa israel pia unitajie jina lake na jina la kampuni au taasisi iliyoitengeneza Taasisi pekee iliyondani ya israel ni IAI ambayo kwa sasa inadeal na Aircraft maintenace na Aircraft upgrade hizi ni ndege za kiraia yani Business Aircraft
ze kokuyo Tech za kijeshi ni tofauti sana na tech za kiraia tech ya kijeshi ipo mbele ya tech ya kiraia kwa zaid ya miaka 50 kwa maendeleo ya kitechnology wakat tech ya kiraia mnategemea mtu tech ya kijeshi ilishapita huko kwenye miaka ya 1957
Tech ya kijeshi ni tech ambayo inatumia akili sana na kikitengenezwa kitu kinatengenezwa in Best Performance : na ndo maana uwezi kukuta kitu au silaha ya kijeshi ina grade sijui hii ni grade number 1 au 2 no uwezi kukuta eti kuna fake kama ilivyo vitu vya kiraia so kama ikitengenezwa ndege au bunduki au kombora linatengenezwa in best performance no room for manuvaring na pia unatakiwa kujua project za kijeshi huwa ni Top secret projects kama unaweza kuifanya au kuiongezea vitu basi ww ni best so kwa nini usiweze kutengeneza yako????
Jambazi hakuna Top sectet project kama project za kijeshi na makampuni ya Aeurospace ,Defence na Tech uwa anatoi kitu kinachoitwa Outsource projects hata siku moja kamapuni inatengeneza yenyewe kila kitu kuanzia Iron Bolts mpaka engine sio kama mashirika ya kiraia kama airbus au boeing wao wana outsource kazi zao leo kampuni best katika kutengeneza engine za ndege dunian ni Rolls - Royce ambapo ndege best kwa sasa ya Boeing 787 Dreamliner na Airbus A380 zote zinatengenezewa engine zake na Rolls -Royce ya nchini England au Uk lakini kampuni zote kubwa za Aerospace na Def wanateneza kila kitu wenyewe kutokana na project zao kuwa ni Top secret na mambo ya kijeshi huwa ni siri sana hakuna nchi dunian inayopenda uwezo wake wa kijeshi ujulikane zimebaki ni kutabiri tu lakini hakuna nchi dunian inayojulikana tena kwa data makini juu ya uwezo wake wote wa nguvu za kijeshi
kampuni zote kubwa dunian za mambo ya kutengeneza vifaa vya kijeshi na mambo ya Tech za kjeshi hakuna hata moja ipo israel top 20 zote
1 Lockheed Martin Corp.
2 Northrop Grumman Corp.
3 Raytheon Co.
4 Boeing Co.
5 General Dynamics Corp
hzo ni 5 pia umezungumzia kuwa bila israel US is no more?????? acha kufikiria vitu kwa uwezo wa 1 G sasa hv tupo 4 G inawezekana vipi inchi ambayo imepata uhuru mwaka 1948 ukasema bila hyo hakuna US iliyopata uhuru na maendelea toka miaka ya 1776 nchi yenye miaka zaid ya 240 ikjitawala kweli??? israel mpaka leo bajeti ya nchi yao 50% inachangiwa na US na kila mwaka Israel wanapokea fund ya Us $ 4 billion kwa ajili ya jeshi pekee sasa duh napata tabu kuamini maneno yako
Kitu kingne uchumi wa israel na sifa mnazoipa mbona haviendani???? kwa taarifa yenu South africa ni tajiri na inauchumi mkubwa kuliko israel Nigeria pia ina uchumi mkubwa kuliko israel mimi nimekaa Dizengoff Streets, Tel Aviv kwa miez 8 na mpaka kiwanda cha IAI kilichopo Lod 15 km kusini mashariki mwa Tel Aviv nimefika sasa hzi sifa mbona na maisha ya srael ni tofauti south Africa ni kuzuri kuliko israel leo kwa sifa mnazotoa tulitegemea kuwe kama Dubai kwa sababu cku zote sifa zinaendana na maendeleo
Jambazi The Genius Behind wa US na Russia katika maendeleo yake katika kijeshi na kisayansi yameanza kwenda kwa kasi baada ya vita vya pili vya dunia kuisha na US na Russia walichukua wanasayasi wengi sana wa Germany kumbuka US alichukua magharibi na Russia alichukua mashariki ya Ujerumani nataka kukwambia Ujerumani wale ni hatari hii Tech unayoiona sasa tayali mjerumani alikuwa nayo miaka ya 1940 na mjerumani ndio taifa la kwanza dunian kuwa na Alien na UFO hitler alikuwa mbali sana na ndo maana mpaka alpata kiburi cha kutaka kupigana na dunia unadhani ni mchezo ujerumani ilichangiwa na nchi zote unazoziona ww kuwa ni hatari mpaka watanganyika tulikwenda kupigana upande wa UK
Germany kapigana vita vya dunia na nchi hzo kutoka mwaka 1939 to 1945 ww unafikiri kupigana na United States of America
Soviet Union
Axis powers
miaka 6 unapigana tu unadhani ni mchezo????
kingine naona watu wengi mnachanganya kwa nini marekani ameichagua israel kuwa mdau wake mkuu middle east zipo sababu ambazo zinafanya US amtumikie isreal hvyo lakini si sababu zinazosemwa na wengi
Tatizo letu watanganyika linapokuja swala la israel hata kama ni lakuitaji utaaramu au akili ndogo tu kufikiri sisi tunaleta Ukada tu