zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Waisrael very smart compared to who?? Mbona IQ wise wamezidiwa hata na ASEAN countries kama S.Korea na malaysia?? Au mnatoaga wapi data kusema Israel ni bright kuliko mataifa mengine.😀😀😀 ulipaswa ukubali tu bila chuki WAISRAEL NI VERY SMART. jamaa wapo vizuri sana. Hayo mataifa mengine yamekuwa yakisaidia na ussr na yakisadiana yenyewe kwa yenyewe bado yameshindwa kuiondoa israel ilipo. Tunaweza tukawa tunawachukia waisrael ila kwenye credit tuwape credit
Kingine elewa hoja yangu.... Nachouliza mbona before 1948 Israel (Jews) walikuwa wakiunda majeshi wanapigwa au hizo akili na nguvu wamezipata post-1948?? Ndio maana nikasema kuanzia 1948 wamekuwa wakipata support kubwa toka USA na UK na ndio ina wasustain mpaka sasa mfano ona UN kule palestina kuwa taifa imekuwa kikwazo kisa US, hata issue ya Israel kuadhibiwa kwa kuvamia makazi ya Palestina imekuwa shida sababu ya mgongo wa USA kwahiyo ni mfia dini tu ndio atakayesema Israel ina survive bila msaada wa US.
Sasa naomba unisaidie mkuu kama Israelites wana akili sana na nguvu ilikuwaje majeshi yao mfano ZZW kutandikwa vibaya sana kwenye World war 2 au 1st and 2nd crusades za millenium ya kwanza huko france na spain??
Pia kwanini hakuna vita wamewahi shida kabla ya 1948 ila wameanza kushinda baada ya kuwa rafiki wa US post-1948?? Kma wana akili iweje baada ya 1948 na sio kabla?? Kama ni taifa teule iweje baada ya 1948 na sio kabla??
Ukiweza nisaidia hapa ndio ntakuelewa maana utakuwa umenipa facts sio illusions za kidini