Israel uchumi taabani, Vita si Lele mama

Israel uchumi taabani, Vita si Lele mama

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
1. Hii ni vita dhidi ya wanamgambo tu, Tena walio dhaifu zaidi katika mahasimu wao:

IMG_20240416_145940.jpg

2. Kwamba uchumi wa Israel ndiyo huu?

IMG_20240416_143529.jpg

3. Kwamba madeni ndiyo haya?

IMG_20240416_145827.jpg

4. Wanaeleweka washirika waliojiapiza kusimama nao daima.

IMG_20240416_150025.jpg

5. Kwa hakika ni kipi bora kuliko amani?
 
Hata mlete nn hapa Iran lazima aliwe kichwa Iran wanasibr kichapo ww unataft faraja kwa kuleta stats za uongo Benjamin ashatamka kiwapiga mijamaa na ndev zao washajificha
 
Attachments

  • 20240416_002251.jpg
    20240416_002251.jpg
    196.1 KB · Views: 1
Wakati huo huo mnasema Marekani ni mchumba tu kwa Irani

Kama ndivyo, kwa nini Marekani asichapwe kwanza ili Israel adhofu moja kwa moja mkuu

Ukimaanisha wapi mimi na nani nimesema hivyo ndugu?
 
Kwa hiyo hao anaopambana nao uchumi wao ndiyo umenawiri?Stori za kujiliwaza hizi!Wenzako wanapigika,wewe unatuletea hadithi za kuchekesha.
 
Kwa hiyo hao anaopambana nao uchumi wao ndiyo umenawiri?Stori za kujiliwaza hizi!Wenzako wanapigika,wewe unatuletea hadithi za kuchekesha.

1. Kwa yeye anapougulia maumivu kumbe wewe unadhani anadhangilia?

2. Tungeyajulia wapi sisi haya bila yeye kuamua kuuvunja ukimya?

3. Au wewe wadhani amependa hata kuukiri ukweli huo?
 
Itakuwa habari mbaya mno kwa kina Bams, MK254 na wenzao wanaojua kusifu na kushukuru kwa lolote la Israel, kama wale kina @lucas_mwashambwa tu, wa pande za huku kwetu.
Haya ngoja tukuonyeshe tu jinsi uchumi wa Israel ulivyo Imara kuliko uchumi wa Iran huyo mpiga mayowe miskitini

Pesa ya Israel Shekel 1=Dollar 0.27 ya Marekani

Pesa ya Iran Real 600,000=Dollar 1 ya Marekani

Interest rate Iran 23% wakati ya Israel 4.75 %

Inflation rate Iran 49% wakati ya Israel inflation rate ni 2.6%

Ukiangalia hizo takwimu kiiuchumi Iran si chochote wala lolote mbele ya Israel
 
Ila Waisrael kwa propaganda, nawavulia kofia.

Ati "our weakeast enemy"

Iran naye ametest kapu lao la vita. Sijui watawaita nini, 'our Second last weakest enemy'?

Msisahahu Kazi ziendelee, ni kazi tu.

Chagua kwa Umakini 2025 Vita zetu bado zipo mbeleni.
 
Haya ngoja tukuonyeshe tu jinsi uchumi wa Israel ulivyo Imara kuliko uchumi wa Iran huyo mpiga mayowe miskitini

Pesa ya Israel Shekel 1=Dollar 0.27 ya Marekani

Pesa ya Iran Real 600,000=Dollar 1 ya Marekani

Interest rate Iran 23% wakati ya Israel 4.75 %

Inflation rate Iran 49% wakati ya Israel inflation rate ni 2.6%

Ukiangalia hizo takwimu kiiuchumi Iran si chochote wala lolote mbele ya Israel
Haijalishi il hapa duniani lazima tuheshimiane.
 
Back
Top Bottom